mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya kimfumo mikopo elimu ya juu

    MAOMBI YENYE KUBAHATISHA kawaida kila mtu mwenye uhitaji ni lazima ajitutumue kuhakikisha anafanikiwa kwenye malengo yake alojiwekea kwa namna moja ama nyingne katika mazingira aliyopo na kulingana na hali alonayo. Ni mara nyingi nimesikia, nimejionea na nimejaribu nami pia katika kuhakikisha...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Athari za mabadiliko ya tabianchi kamwe hazitaisha kama dunia haikuchukua hatua kwa pamoja

    Na Pili Mwinyi Ukame, mafuriko, moto wa msituni, ukosefu wa chakula, kutoka nchi zenye mapato madogo hadi zenye mapato makubwa duniani, athari za mabadiliko ya tabianchi zimekuwa zikishuhudiwa kila siku katika sayari hii. Kati ya mwaka 1998 na 2017, hasara iliyotokana na hali mbaya sana ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi

    Mkutano wa 26 wa Nchi Zilizosaini Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP26) ulifanyika mjini Glasgow, Uingereza, na ulijadili masuala ya hali ya hewa yanayofuatiliwa na pande mbalimbali duniani. Ikilinganishwa na maeneo mengine, bara la Afrika linaathiriwa zaidi na...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania itakavyofaidika na mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki Mkutano wa ishirini na sita wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi. Mkutano huu unafanyika katika Jijini la Glasgow nchini Uingereza kuanzia tarehe 31 Oktoba mpaka tarehe 12 Novemba 2021. kujadili athari...
  5. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi, Scotland: Rais Samia ametuangusha

    Wanabodi, Kama mtanzania, inawezekana umepata nafasi kufuatilia yanayojiri nchini Scotland kwenye mkutano unaohusu mabadiliko ya tabia nchi. Mkutano huu umehudhuriwa na viongozi wengi akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alihutubia mkusanyiko huo. Tofauti na nchi kama China, Marekani na...
  6. JamiiForums Tanzania Glasgow, Scotland: Rais Samia ahutubia Mkutano wa Umoja wa Mataifa unaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Mabadiliko ya Tabianchi ni suala la Dunia nzima, hivyo suluhisho lake linapaswa kuwa la Ulimwengu wote Ameeleza kuwa hatua za pamoja zikichukuliwa na Mataifa, inawezekana kuokoa Ulimwengu. Ametoa wito kwa Mataifa yaliyoendelea kusaidia yale...
  7. JamiiForums Tanzania Leo nimewaza na kujiuliza kama Tanzania ikatokea haya itakuwaje

    Leo nimewaza ujinga wa kujiuliza kama Tanzania ikatokea haya.! Mambo ye nyewe:- * TBL (kampuni ya bia) imeokoka na kuanza kuuza soda kwenye chupa zake walizokuwa wana weka bia. * Kampuni ya Azam imeacha kutengeneza bizaa za vyakula na kuanza kutengeneza magari. * Simba na Yanga zimeshuka...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko: Viongozi wa wamachinga kufanya Press Conference Ofisi za Wamachinga Kariakoo badala ya Serena Hotel

    PIA, SOMA: - Wamachinga kufanya Press Conference Serena Hotel 20/10/2021
  9. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya vifurushi: Kwa staili hii ushindani utatoka wapi?

    Habari wana jamvi Tanzania ndio nchi ambayo tunanunua bando kwa bei rahisi sana ukilinganisha na mataifa mengine, kumekua na tendency kubadili huduma za vifurushi hasa internet kwa makampuni hilo halina tatizo kwani lengo lao ni kuongeza income. Mfano kupunguza idadi ya megabyte kwa asilimia...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CCM iwe makini na mabadiliko ya Tabia nchi, tishio la ukame na njaa siyo la kulipuuza kisiasa na kiuchumi

    Kada mkongwe mzee Mgaya ametoa rai kwa chama chake CCM kutopuuza tishio la ukame kama ilivyoripotiwa na TMA. Mzee Mgaya anasema Watanzania hawajazoea njaa na endapo itatokea hali kama ya mwaka 1980 tulipokula ugali wa yanga na ule mweusi wa unga wa mtama basi mustakabali wa CCM utakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Haya ndio mabadiliko ya tume huru yanayo pendekezwa na wana CHADEMA. Je, unakubaliana nao?

    Wanabodi, Siku mbili zilizo pita, wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) walifanya kongamano jijini Dar Es Salaam katika shughuli zao za kudai tume huru ya uchaguzi. Katika kongamano hilo, wanawake hawa walipewa majukumu ya kudai tume huru huku wanaume wakipewa majukumu ya kudai katiba mpya na wazee...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo ya kufanya yatayo leta mabadiliko

    Uchumi na Biashara kama tutatengeneza mifumo bora dhidi ya wafanya biashara wadogo (Machinga na mama ntilie) tunaweza kukuza uchumi wetu pamoja na biashara. Mfano Serikali inapo anzisha miji inapo tenga maeneo kwa ajili ya masoko, shule ,hospitali, vituo vya mabasi, nyumba za ibada nakazalika...
  13. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Katiba ya nchi si takwa la watawala, hulazimishwa na wananchi

    Kuna mtu anaweza kuja na nadharia zake dhaifu kupinga lakini huu ndio ukweli. Hakuna mtawala aliyewahi kukubali kukaa chini na kupendekeza mabaliko ya katiba bila msukumo kutoka kwa wananchi kupitia matukio magumu yatakayomlazimu kukaa kupatanishwa na mahasimu wake. Alipata kuyasoma haya...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Kuchelewa kwa kesi na mabadiliko muhimu

    KUCHELEWA KWA MAAMUZI YA KESI. Kuchelewa kwa kesi ni hali ambayo kesi inachukua muda mrefu Zaidi kuliko ule muda uliowekwa kisheria. Kwa Tanzania tatizo hili bado lipo kwa kesi za madai na jinai na kuna sababu nyingi zinachangia kuwepo na tatizo hili, zikiwepo, uchunguzi wa ushaidi kuchukua...
  15. JamiiForums Tanzania New York, Marekani: Rais Samia ashiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya TabiaNchi

    ‪Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi duniani ambapo amesisitiza juhudi za kupambana na janga hilo kutopuuzwa‬ ‪ ‪Amesema, "Bado tunataabika na changamoto kubwa ya UVIKO19 ambayo imeangusha hali ya Uchumi na kufuta mafanikio yaliyofikiwa katika...
  16. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mabadiliko ya kweli

    Habari wana jf. Ni matumaini yangu kila mmoja wetu anaendeleza harakati za kutengeneza maisha bora kwake na familia yake na taifa kwa ujumla. Kwa takwimu zilizopo Tanzania ni moja ya nchi masikini duniani licha ya utajiri mkubwa tulionao wa rasilimali ikiwemo watu, madini, vivutio vya utalii...
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Mabadiliko katika mfumo wa elimu ni lazima

    Huwa ni kawaida kuona vitu vinabadilika kutokana na mabadiliko mbalimbali. Mfano, mavazi, kutoka kwenye makuti au maganda ya mimea kwenda kwenye kuvaa nguo, jinsi ya ufanyaji kazi, kutoka kwenye utumiaji wa watu kwenda kwenye utumiaji wa mashine, vyombo vya usafiri, kutoka kutembea kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania CCM Hii ndo Hii au tutegemee Mabadiliko?

    Ni swali Tu.🤔
  19. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sitaki umasikini, ni zamu ya mabadiliko

    SITAKI UMASIKINI, NI ZAMU YA MABADILIKO. Habari wana Jamii Forum katika jukwaa la story of change. Andiko hili limelenga kuonesha nini tufanye ili kuondokana na umasikini wa aina zote hasa wa kifikra ambao ndio hupelekea aina zingine zote za umasikini . Karibu. SITAKI UMASIKINI Sitaki...
  20. JamiiForums Tanzania Chama Cha Democrat ndio wapenda mabadiliko USA, ona hii

    1. Ndio waliokuwa na Rais wa kwanza mkatoliki Kennedy. 2. Ndio waliokuwa na Rais wa kwanza mwafrika Obama. 3.Ndio wamekuwa na waziri wa kwanza mwafrika wa mambo ya nje. Powell. 4. Ndio wamekuwa na waziri wa ulinzi mweusi wa kwanza . Huyu jenerali wa Sasa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…