maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia

    Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia kujiuzulu kwake hivi karibuni. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025 , Kombo alieleza kushangazwa na kauli za Polepole...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lissu Mwanasiasa Maarufu zaidi Tanzania, Akifuatiwa na Kikwete then Samia

    Ni kweli Ili Uwe Rais Nchi hii lazima ufahamike vizuri miongoni mwa wananchi wa Tanzania. Hapo awali tulipata wanasiasa maarufu na wenye nguvu kweli kweli mifano kama Magufuli, Edward Lowasa, Nyerere etc. Ila Kwa Sasa Hali imebadilika na Mimi nimeshangaa sana, ninavyoona na mambo yalivyo ni...
  3. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania 'Influencers' na watu maarufu wanatajwa kuwa wasambazaji wakubwa wa taarifa za upotoshaji

    Abdallah Katunzi, mhadhiri msaidizi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Julai 9, 2025 akizungumza kwenye mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari kuhusu uchaguzi mkuu, amesisitiza umuhimu wa Kuthibitisha Taarifa tunazokutana nazo mtandaoni bila kujali hadhi ya mtoa Taarifa. Hii inatukumbusha kuwa hata...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Msoga, kijiji maarufu kinachompa jeuri bi mkubwa.

    Wakuu, Msoga21march21@yahoo.com, kijiji hiki tunaweza kusema ndio kijiji maarufu nchini hakuna asiye kijua. Kijiji hiki kimebeba tumaini kubwa sana kwa bi mkubwa, kila zito linalomtatiza lazima haraka sana akimbilie kijiji kile. Ukileta dharau dhidi ya kijiji kile ni ngumu sana wewe kutoboa...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mitano Tena: Kwa mfanyabiashara maarufu Izack Ngowi.

    Mitano Tena! https://www.instagram.com/p/DLaYAx8I2q5/?igsh=MTMzc2J5dGJzOTJv
  6. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

    Hello wazee,ni kitambo kama maajabu kutowaona katika pilika pilika za polisi hawa makamanda maana kama wengekuwa ma RPC basi tungesikia tu au kama wanapewa au kuhamishwa vitengo maana kiutaratibu inapotokea kiongozi anahamishwa au kupewa kijiti tunataarifiwa wazi. 1.Kamanda AHMED MSANGI,jembe...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Wasabato maarufu hapa Tanzania kwenye sanaa, michezo, siasa, system, biashara, n.k

    Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa...
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wananchi Wanauwezo Wa Kumfanya Mtu Kuwa Maarufu Au Kumrudisha Kwenye Ukapuku

    Wasanii wengi wa kwetu na watu maarufu wanasahau kuwa Raia ndio waliowafikisha pale juu kwenye mafanikio na wala sio serikali wala Mwanasiasa yeyote. Nchi kama Marekani, Wananchi walichoma magari, wengine kuyaharibu na kadharika magari ya Elon Musk baada ya kuonekana anatumika vibaya kisiasa...
  9. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Kila instagram page ya msanii au hawa watu maarufu au machawa wananchi wanawapelekea moto sana aisee

    kilal msanii akipost anaandikiwa no reform nk election 😀🤣 kila chawa akipost hoja ni hyo mpaka wengine wamejamm kufungia X kumeleta changamoto instagram huu mwaka wa moto sana endeleeni kupiga spana watanzania tuungane tupeleke moto🔥🔥
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Gitonga, mwana tiktok maarufu kutoka Kenya asema Boniphace Mwangi ni muongo wa kutupwa

    Wakenya wameshtukia uongo wa Boniphace Mwangi, wanamuanika upuuzi wake kila mahali.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Idara ya Usalama wa Taifa ya Kisiwa maarufu cha 'Puerto Rico' Watendaji wake WANACHUKIANA mno na kuna MPASUKO mkubwa sana?

    Na chuki kubwa inasemekana ni kwa miaka takribani Mitatu Minne hivi 75% ya Watendaji wa Idara hiyo kutokea Mji wa Ponce anakotoka Rais na siyo Mji Mkuu wa San Juan. Na taarifa ambazo Mtanzania Mimi GENTAMYCINE niliye na Marafiki huko Kisiwani Puerto Rico nilizonazo ni kwamba CHUKI hii kubwa na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji kwenye Ubia wa BRT maarufu kama UDART kwa kushirikiana na Emirates utaleta mapinduzi na huduma bora kwa abiria wa Dar Es Salaam. Big Up!

    Mimi ni mhanga wa kupata shida na shurba za usafiri hapa Mjini Dar. Mradi wa usafiri wa umma wa UDART umekuwa kero kwa muda mrefu. Jana nimeona taarifa kuwa kutakuwa na uwekezaji kutoka kampuni ya Emirates ambayo ina lengo la kuboresha huduma za usafiri pamoja na kuongeza nyenzo kama Mabasi...
  13. Mudawote

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA wa Kigaila alijua yeye ni maarufu

    GTs, Yaani G55 walidhani wao ni maarufu hahahah yaani Kigaila alivyoaibika hahahaha sura ngumu hana hata ushawishi kisiasa
  14. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni maarufu kuzidi Bunge?

    Nilikuwa nimesahau kuwa vikao vya bunge vinaendelea Dodoma! Muda mfupi uliopita niliingia YouTube nikakutana na "title" yenye maneno kama GWAJIMA KIKAANGONI BUNGENI. Nikifikiri kuwa suala la Gwajima limetua bungeni, niliifungua kwa ajili ya kujua kinachojiri. Kumbe ni uongo mtu! Nilikuta ni...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tunajua Humphrey Polepole alipelekwa kuwa balozi sababu alianza kuwa maarufu na angekuwa tishio katika kuteua mgombea wa Uraisi wa CCM wa 2025

    Ukiangalia safu ya watu wa CCM ambao wanaweza kuwa serious na uongozi wa Tanzania na hata mambo ya kifisadi, aliebaki labda ni Humprey Polepople. Sasa uwepo wake ndani ya Tanzania, na ukizingatia jinsi alivyoanza kujipatia umaarufu kwa hoja zake wakati wa zile seminar zake, ilibidi andolewe...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati 11 maarufu akiwemo Greta Thunberg wameamua kujitoa muhanga ili kuvunja mzingiro wa Israel kuwafikishia misaada Gaza

    Wanaharakati hao wameamua kufanya hivo kwa kupanda meli iliyoondoka bandari ya Catania kwenye visiwa vya Sicily ambavyo haviko mbali sana na Gaza. Mwezi uliopita meli kama hiyo zinazoongozwa na taasisi ya Freedom Flotilla ilishambuliwa na Israel na kuwaka moto kulazimika kuokolewa kwa...
  17. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ukitoa Askofu Gwajima ni wanasiasa au watu wapi maarufu hawajabadilika kimitazamo tangu Hayati Magufuli mpaka sasa ?

    Habari wanaJF , Ni siku nyingine tena Mwenyenzi Mungu anatupa nafasi ya kuendelea kupambana na katafuta Maisha . Binafsi namuona Askofu Gwajima ni yule yule alichoamini jana ndicho anachoamini leo . https://youtu.be/8meTag4tsR4?si=_cIUS_w1pGQCI6Z9...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Gwajima, anaweza fuata kiongozi au mtu mwingine maarufu ndani ya CCM kuja kukoleza moto kwa kuongea na waandishi wa habari

    Kwa mtazamo wangu, wakati wanaangalia au wanajipanga namna ya ku'-deal na Gwajima, siku chache zijazo, anaweza kutokea kiongozi mwingine au mtu mwingine mstaafu ndani ya CCM, ambae nae atapita mule mule alikopita Gwajima Hata hivyo, mtu huyo anaweza kuja na hoja nyingine za ziada lengo likiwa...
  19. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Kuna phrase humu JF zimeisha kuwa maarufu🤣. CCmahondaw, nyau de adriz, Ubinadamu kazi/humanity is a work..

    JF is a circus🤣
  20. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania WordPress ni Nini na Kwa Nini Ni Maarufu?

    Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, kuwa na tovuti au blog si anasa tena — ni hitaji. Na unapofikiria kuanzisha tovuti, jina moja linalojitokeza mara kwa mara ni WordPress. Lakini WordPress ni nini hasa, na kwa nini limetawala ulimwengu wa uundaji wa tovuti? WordPress ni Nini? WordPress ni...
Back
Top Bottom