maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabongo bana, yaani mtu maarufu (celebrity) hajui ulipo mlima Kilimanjaro, halafu mnatupigia makelele

    Ndivyo walivyo, asilimia kubwa ya Watanzania wakiwemo wasanii na watu maarufu wengi hawajui vivutio vya kitalii kwao viko wapi, wao wapo wapo tu siku ziende, hawaitalii nchi yao kabisa, hawana desturi kama ilivyo kwetu sisi Wakenya ambapo tumegeuza kibao kabisa, tunaitalii nchi yetu kote, vijana...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtandao wa kuteka, kubaka, kupora wanawake maarufu waanza kudakwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa ni viongozi wa mtandao wa utekaji, uporaji na ubakaji wa wanawake maarufu jijini hapo. RPC wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha kukamatwa kwa watu hao na kuongeza kuna wengine wawili wamekamatwa wakihusishwa na tukio...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali yule JamiiForums Member maarufu aliyesema mapema kwa Kujiamini kuwa Simba SC anatolewa leo na akatukanwa sana aombwe Radhi upesi

    ID yake nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja hapa au wale wanaoijua wataitaja muda si mrefu kwani ni Maarufu mno. Nakumbuka alianza kwa kusema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kama ilivyo kawaida yake kuwa Yanga SC ndiyo watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League huku akitoa sababu zake za Kiufundi...
  4. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania What Next? La CAG linapita na limeshapita, Mwamba maarufu

    Hii ilikuwa ni kama last bullet yao wakitegemea kwamba wangemaliza kabisa lkn imebumu, Mwamba ni maarufu kuliko hata alivyokuwa hai, sasa nini kinakuja? Watafanya nini tena kama wamekwenda mpaka White House USA kujaribu kupambana na Mwamba lkn bado wameshindwa, nauliza what comes next ...
  5. Gama

    JamiiForums Tanzania Hofu baada mbeba chuma maarufu Cedric McMillan kufariki akifikisha miaka 44

    American bodybuilder Cedric McMillan has died at the age of 44, after health complications caused by Covid-19, and a road accident. McMillan, a long-time veteran of the US Army and National Guard, was a veteran bodybuilder and 2017 winner of the prestigious Arnold Classic. His death was...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Colosseum maarufu ya Roma ilijengwa miaka 1940 iliyopita

    Ukifika mji mkuu wa italy Rome kuna jengo maarufu liko kama uwanja wa mpira linaitwa colloseum. Jengo hilo lilijengwa AD 70-80 kama miaka 1940 hivi iliyopita. Maana yake ni kwamba baada ya miaka kama 70 hivi kupita toka yesu kristo kupaa mbinguni. Najiuliza sana wakati haya yanafanyika kule...
  7. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Member maarufu

    Kwema wakuu, Kwa wale memba maarufu humu wa mda mrefu mnaoheshimika kwenye michango yenu, Kama huna ufahamu wa jambo fulani usiwe unacomeent negative kwenye mabandiko ya watu, Baadhi ya watu wengine sijui ni uwezo mdogo wao wakiona mtu maarufu kacomment kitu wanamini ni kweli tu nao...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz atajwa kuwa mtu maarufu aliyeongelewa zaidi mtandaoni wiki hii Afrika. Rais Samia ashika nafasi ya 15

    Mtandao wa Top Charts wa nchini Nigeria umemtaja msanii Diamond Platnumz kuwa mtu maarufu aliyeongelewa zaidi katika wiki hii. Msanii huyo anakuwa wa kwanza kutoka Tanzania kuchukua nafasi hiyo.
  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wakazi: Diamond Platnumz ni maarufu ila hajui kuimba, "ukweli unauma mpaka mnanipigia simu za vitisho"

    Msanii kutoka Tanzania, Wakazi amesema kwamba Diamond Platinumz ni maarufu ila sio mzuri katika uiambaji. Kupitia ujumbe aliochapisha kwenye ukurasa wake wa Twitter, Wakazi alisema kwamba kuna tofauti kubwa kati ya umaarufu na ubora wa msanii, na hivyo kuwa maarufu haimaanishi kuwa mzuri katika...
  10. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Picha 10 maarufu zaidi duniani: nini kipo nyuma ya umaarufu huu?

    Ni picha zilizochorwa na wasanii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti kisha kufanyiwa copy na kuuzwa sehemu mbalimbali duniani. Picha hizi kila mwaka zinaingiza mamilioni kwenye majumba ya maonyesho ya sanaa. Nini sababu hasa inayowavutia watu kote duniani 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mstaafu na Mtu Maarufu anahitaji Mchango wa matibabu, wewe unadhani uta survive vipi?

    Nimejiuliza hili swali sana si kwa nia mbaya. Kwa nia njema kabisa. Prof Jay. Joseph Haule amekuwa Mbunge kwa miaka 5 akilipwa mamimilioni ya pesa. Baada ya kumaliza kipindi chake amelipwa mamilioni mengine ya kiinuna mgongo. Leo ameumwa na kulazwa kwa mwezi mmoja anadai achangiwe. Je yule...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tom Mboya, mwanasiasa maarufu kuuawa nchini Kenya

    Tom Mboya Tom Mboya aliuawa tarehe July 5 1969 Mimi nilikuwa darasa la sita hapa Dar es salaam na siku hiyo kupitia vyombo vya habari, tukapata habari za kusikitisha Afrika Mashariki kuwa, Thomas Joseph Odhiambo Mboya, aliyejulikana zaidi kama Tom Mboya ameuwawa mjini Nairobi. Wazazi wetu...
  13. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Walter Elias Disney: Baba wa filamu za animation na mwanzilishi wa kampuni maarufu duniani ya 'Disney'

    Walter Elias Disney Alizaliwa Chicago 1901, Disney alianza mapema sana kuvutiwa na maswala ya uchoraji. Aliingia kwenye madarasa ya sanaa ya michoro waksti wa utoto wake na alipotimiza miaka 18 alifanikiwa kupata kazi aliyokuwa kama commercial illustrator. Alihamia California mapema miaka ya...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Wapendwa yule mtabiri wa asili wa neema na balaa maarufu Kakakuona yuko wapi siku hizu?

    Heri ya mwaka mpya 2022. Tunashukuru Mungu kufika na hata kuweza kuinuka na kutembea. Kwenye mada. Inaweza pita mwaka wa tano au zaidi sijamsikia huyu kiumbe au mnyama wa ajabu sijui yuko kwenye kundi gani la wanyama. Kiumbe huyu KAKAKUONA mara nyingi kwenye misimu ya hali ya hewa yenye...
  15. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Wachezaji maarufu wa mpira Tanzania, ni nani aliyewaroga?

    Wakuu, Tumekuwa Tukiona Wasanii Wa Tanzania Wakisign Deals na Kampuni mbalimbali ya Kuwa Mabalozi wa kampuni husika na Kujiingizia Kipato kikubwa kwenye Mifuko Yako, Hii inatokea hata kwa Wale wasanii ambao wanavuma na Nyimbo 2 au Tatu wamekuwa Wakilamba Baadhi Ya Deals Katika kampuni. Ipo kwa...
  16. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtandao maarufu wa WhatsApp GB hii kitu kitaalamu inakaaje

    Habari za Xmas niende Moja kwa Moja kwenye mada. Majuzi nilijiunga na mtandao huu. Hapo nyuma nikiwa natumia WhatsApp ya kawaida sikuona hizi mambo....kwa namna WhatsApp GB ilivyo ukiwa online nakuona na ninaambiwa kabisa XY is online. Na mengine mengi.
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kusoma darasani, kuishi karibu au kujuana na mtu maarufu (celebrity), maisha yake yalikuwaje?

    Wale ambao mmewahi kusoma, kuishi, kujuana na watu maarufu kama wana muziki, wacheshi, waigizaji, wanamichezo, n.k watu Maarufu, maisha yao yalikuwa vipi kipindi hicho mkiwa shule mliyosoma, mtaa mlioishi, katiba urafiki ama kujuana kwenu, n.k Binafsi niwe mkweli tu, sina mtu niliewahi kusoma...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

    Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021 1. JPM 2. Bakari Mwakapachu 3. Prof Mathew Luhanga 4. Zakaria Hanspope 5. Asas 6. Haruni Zakaria 7. Summry 8. ....
  19. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania China yafuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu wa biashara za mtandaoni

    Huang Wei China imefuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo. Huang Wei, anayejulikana kwa jina maarufu la Viya, ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo ambayo imekua kwa kasi...
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kweli Dunia inaenda mbio sana leo Mbowe ni maarufu kuliko vikao vikuu vya CCM?!

    Tokea tarehe 16 hadi 18 jana huko Dodoma kulikuwa na vikao vikuu vya CCM tena vikiongozwa na Rais wa Nchi ambaye ni kiongozi wa hicho chama. Ajabu tofauti na vikao vya huko nyuma vya CCM hivi vya sasa havina mvuto na hamasa kama zamani.Yaani vimepoa kuzidiwa hata na umaarufu wa Mbowe aliyepo...
Back
Top Bottom