Mchoro maarufu wa "Mona Lisa" watupiwa keki na mtalii

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,010
1,034
VCG111370937709.jpg


Mei 29, mchoro maarufu wa Leonardo da Vinci "Mona Lisa" kwenye Jumba la Makumbusho la Louvre huko Paris, Ufaransa, ulitupiwa keki na mwanaume mmoja aliyejifanya kuwa mwanamke mzee mlemavu anayetumia kiti cha magurudumu, na cream nyeupe ilipakwa kwenye kifua cha Mona Lisa.

Kwa bahati nzuri, mchoro huo unahifadhiwa kwenye sahani ya kioo na hivyo haukuharibiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom