maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Watu Maarufu na Bidhaa za Wanyonge

    DHANA YA UMAARUFU Jamii ni mkusanyiko wa watu wenye hali na mitazamo tofauti wakiwa chini ya mamlaka moja ambapo kila mmoja ana mchango kwa maisha ya mwingine. Katika jamii zilizoendelea, hali ya kutegemeana ni kubwa kutokana na kila mwanajamii kuwa na shughuli halali inayoathiri maisha ya...
  2. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Hawa ni watu maarufu duniani ambao viatu vyao vimekosa mvaaji

    Za asubuhi wakuu, leo nakuja na makala ya watu maarufu duniani, ambao wameacha alama kubwa katika tasnia zao na mpaka leo hakuna alietokea kuziba mapengo yao. 1) Mohammedi Ali Huyu ni bingwa, mbabe na mtemi wa masumbwi ulimwenguni kote. Mohammed Ali ambae alizaliwa 17 January 1942, huko...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Misemo maarufu kutokea kwa wadau wa mchezo wa soka nchini Tanzania

    Wadau wa michezo hamjamboni nyote? Tufurahi Kidogo kwa kukumbushana misemo/ maneno maarufu yatumiwayo na wadau wa michezo hususani Soka Mimi nianze kama ifuatavyo Hamna Mchezaji hapo! Hapo tumepigwa! Unamuwekaje Kapombe Sub! Huyo kocha hamalizi msimu! Sasa endelea Tukuumbuke kushirikiana...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kampuni ya upimaji ardhi maarufu kama Ardhi Plan

    Habari wana jamvi, Miaka kadhaa iliyopita nilinunua ardhi maeneo ya Kigamboni kupitia kampuni ya Ardhi Plan. Ofisi zao zilikuwa pale maeneo ya Shaurimoyo, Ilala ila kwa sasa hawapatikani/hawapo tena maeneo yale. Nimejaribu kuwatafuta kupitia namba zao za simu ambazo zinapatikana kwenye...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji wa muda mrefu Sobogani Zabron maarufu Erick Kisauti amefariki Dunia

    Mchekeshaji wa muda mrefu Sobogani Zabron maarufu Erick Kisauti amefariki Alfajiri ya leo akiwa nyumbani Kwa Ndugu zake Kibaha Mkoani Pwani. Mchekeshaji mwenzie, Masai Nyota aliyewahi kufanya nae kazi mbalimbali za sanaa ambaye amesema ni taarifa za ukweli na amezipokea asubuhi ya leo na kwamba...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msanii maarufu wa Rwanda, Yvan Buravan afariki Dunia kwa saratani

    Mwanamuziki maarufu Nchini Rwanda, Yvan Buravan (27) amefariki Dunia baada ya kusumbuliwa na Saratani ya Kongosho. Msiba umetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2022 akiwa India alipokuwa akipatiwa matibabu. Buravan alianza kupata umaarufu mwaka 2016 kupitia wimbo wake wa Malaika, baada ya...
  7. 0743919950

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukaidi wa sheria kutoka kwa madereva na wamiliki vyombo vya usafiri maarufu kama bodaboda

    Katika nyakati hizi tofauti na nyakati za nyuma kidogo, dunia imejaliwa kufanya gunduzi mbalimbali za sayansi na tekinolojia ikiwemo gunduzi bora kabisa za vyombo mbalimbali vya usafiri ikiwemo pikipiki. Vivyo hivyo kwa Tanzania usafiri huu wa pikipiki maarufu kama boda boda umeleta ufanisi...
  8. Dibwi Method

    JamiiForums Tanzania Kutoka Selecao mpaka La Albiceleste – yafahamu majina ya maarufu ya timu 32 zitakazocheza Kombe la Dunia 2022

    Na Godian Method Kombe la Dunia ndiyo michuano mikubwa zaidi ya kimataifa katika mpira wa miguu, ambapo watu, Sanaa na tamaduni za mataifa mbalimbali huungana.Michuano hii ya soka, hudumu kwa muda wa mwezi mmoja, tukishuhudia mataifa bora 32 yakichuana vikali katika jitihada za kuhakikisha...
  9. system hacker

    JamiiForums Tanzania Ipi gari maarufu (wengi wanamiliki) mkoani kwako? Ipi gari maarufu kwenye nchi uliotembelea?

    Tujuzane, huku tukiendelea kusubiri sherehe za namba E mwezi huu mwishoni August ama September, 2022.
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Bongo kila kitu kinawezekana, Mandonga kawa maarufu kuliko hata Shabani Kaoneka ambaye ndiye bingwa

    Bongo kila kitu kinawezekana. Mandonga kawa maarufu kuliko hata Shabani kuoneka ambaye ndiye bingwa wa pambano.
  11. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Fahamu Mauaji ya Kisiasa ya Watu Maarufu

    Mauaji ya kisiasa ya watu maarufu katika historia Katika historia, dunia imeshuhudia mauaji mengi ya kisiasa, ambayo yana sababu na nia tofauti. Baadhi yamesababisha vita vya umwagaji damu na uharibifu mkubwa na mengine yamebadilisha mkondo wa historia. Kwa ufupi haya ni baadhi ya mauaji ya...
  12. kali linux

    JamiiForums Tanzania Makabila Maarufu Tanzania na Aina za gari (vehicle make & models) wanazopendelea

    Mie naanza na hawa. Wasukuma = Klugger na Harrier Wachaga = Rav4 na Prado. Wahaya = Rav4 Wamakonde = RangeRover:) (Wakimuiga ndugu yao Konde Boy) Wengine jazieni
  13. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii maarufu Bi Hindu amefariki Dunia leo Julai 9, 2022

    Taarifa za huzuni kubwa Msanii mkongwe Nchini Tanzania, Chuma Suleiman almaarufu Bi Hindu ametutoka leo Jumamosi Julai 9, 2022 akiwa Magomeni nyumbani kwake. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mjukuu wake huku sababu ya kifo chake ikitajwa kuwa ni maradhi ya muda mrefu. Bi Hindu ni...
  14. Lavan Island

    JamiiForums Tanzania Kesi za watu maarufu duniani na hukumu zake

    Visa na mikasa ya kesi maarufu duniani na hukumu zake Visa na Vikasa ya Kesi Maarufu Duniani na Hukumu Zake ni mwanzo wa vitabu nitakavyokuwa nikivitoa kwa awamu ambapo vitabu hivyo vitakuwa na mkusanyiko wa kesi mbalimbali zilizowahi kutokea katika nchi mbalimbali duniani na kuvuta hisia za...
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu Maisha ya mtaani

    Karibuni muulize maswali namna gani kwa kijana was umri wa Kuanzia 18s anaweza kuishi mtaani bila kumtegemea mtu na kuweza kulipa bills zake , Kama Kodi ya nyumba au chumba , umeme maji na nk na kuweza kuchoma nyama weekend . Karibuni ...binafsi Nina 24 yrs ila nimeingia mtaani huu mwaka 7...
  16. Rurakha

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kwa huduma mpya za uwakala kwa Benki ya NMB kupitia simu ya mkononi maarufu kama (NMB Pesa Fasta)

    Salaam Naomba kutoa maoni yangu kwa huduma mpya ya uwakala wa NMB maarufu kama NMB pesa fasta Binafsi ninafanya biashara ya uwakala nina miliki mashine ya NMB kwa ofisi moja pia nilifungua biashara nyingine ya uwakala kama sehem ya kuongeza mapato knilifanikiwa kupata pos ya CRDB na nyinginezo...
  17. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    1. JOHN LENNON (MUIMBAJI) Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale...
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kupiga picha na watu maarufu, kunakuongezea vipi, unafuu katika maisha yako?

    Watu wengi hupenda, au kulazimisha kupiga picha na watu maarufu katika nyanja mbali mbali. Leo tunataka tujiulize; zile picha huwa zinamanufaa gani katika maisha yako; hasa katika utafutaji wa kipato chako cha kila siku.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mchoro maarufu wa "Mona Lisa" watupiwa keki na mtalii

    Mei 29, mchoro maarufu wa Leonardo da Vinci "Mona Lisa" kwenye Jumba la Makumbusho la Louvre huko Paris, Ufaransa, ulitupiwa keki na mwanaume mmoja aliyejifanya kuwa mwanamke mzee mlemavu anayetumia kiti cha magurudumu, na cream nyeupe ilipakwa kwenye kifua cha Mona Lisa. Kwa bahati nzuri...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Panya road hatari maarufu Mungu Moshi waibuka halmashauri ya Mlimba-Morogoro

    Maisha na mali ya wananchi wa halmashauri ya Mlimba kata ya Mngeta na Mchombe yako hatarini kutokana na kuimbuka kwa kundi hatari la panya road maarufu kwa jina la Mungu moshi yaani bangi ndiyo Mungu wao. Vijana hawa kati ya miaka 15 mpaka 25 wanajihusisha na uporaji kwa kutumia mapanga, visu na...
Back
Top Bottom