maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Colosseum maarufu ya Roma ilijengwa miaka 1940 iliyopita

    Ukifika mji mkuu wa italy Rome kuna jengo maarufu liko kama uwanja wa mpira linaitwa colloseum. Jengo hilo lilijengwa AD 70-80 kama miaka 1940 hivi iliyopita. Maana yake ni kwamba baada ya miaka kama 70 hivi kupita toka yesu kristo kupaa mbinguni. Najiuliza sana wakati haya yanafanyika kule...
  2. Member maarufu

    Kwema wakuu, Kwa wale memba maarufu humu wa mda mrefu mnaoheshimika kwenye michango yenu, Kama huna ufahamu wa jambo fulani usiwe unacomeent negative kwenye mabandiko ya watu, Baadhi ya watu wengine sijui ni uwezo mdogo wao wakiona mtu maarufu kacomment kitu wanamini ni kweli tu nao...
  3. Diamond Platnumz atajwa kuwa mtu maarufu aliyeongelewa zaidi mtandaoni wiki hii Afrika. Rais Samia ashika nafasi ya 15

    Mtandao wa Top Charts wa nchini Nigeria umemtaja msanii Diamond Platnumz kuwa mtu maarufu aliyeongelewa zaidi katika wiki hii. Msanii huyo anakuwa wa kwanza kutoka Tanzania kuchukua nafasi hiyo.
  4. Wakazi: Diamond Platnumz ni maarufu ila hajui kuimba, "ukweli unauma mpaka mnanipigia simu za vitisho"

    Msanii kutoka Tanzania, Wakazi amesema kwamba Diamond Platinumz ni maarufu ila sio mzuri katika uiambaji. Kupitia ujumbe aliochapisha kwenye ukurasa wake wa Twitter, Wakazi alisema kwamba kuna tofauti kubwa kati ya umaarufu na ubora wa msanii, na hivyo kuwa maarufu haimaanishi kuwa mzuri katika...
  5. Picha 10 maarufu zaidi duniani: nini kipo nyuma ya umaarufu huu?

    Ni picha zilizochorwa na wasanii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti kisha kufanyiwa copy na kuuzwa sehemu mbalimbali duniani. Picha hizi kila mwaka zinaingiza mamilioni kwenye majumba ya maonyesho ya sanaa. Nini sababu hasa inayowavutia watu kote duniani 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9...
  6. Mbunge Mstaafu na Mtu Maarufu anahitaji Mchango wa matibabu, wewe unadhani uta survive vipi?

    Nimejiuliza hili swali sana si kwa nia mbaya. Kwa nia njema kabisa. Prof Jay. Joseph Haule amekuwa Mbunge kwa miaka 5 akilipwa mamimilioni ya pesa. Baada ya kumaliza kipindi chake amelipwa mamilioni mengine ya kiinuna mgongo. Leo ameumwa na kulazwa kwa mwezi mmoja anadai achangiwe. Je yule...
  7. Tom Mboya, mwanasiasa maarufu kuuawa nchini Kenya

    Tom Mboya Tom Mboya aliuawa tarehe July 5 1969 Mimi nilikuwa darasa la sita hapa Dar es salaam na siku hiyo kupitia vyombo vya habari, tukapata habari za kusikitisha Afrika Mashariki kuwa, Thomas Joseph Odhiambo Mboya, aliyejulikana zaidi kama Tom Mboya ameuwawa mjini Nairobi. Wazazi wetu...
  8. Walter Elias Disney: Baba wa filamu za animation na mwanzilishi wa kampuni maarufu duniani ya 'Disney'

    Walter Elias Disney Alizaliwa Chicago 1901, Disney alianza mapema sana kuvutiwa na maswala ya uchoraji. Aliingia kwenye madarasa ya sanaa ya michoro waksti wa utoto wake na alipotimiza miaka 18 alifanikiwa kupata kazi aliyokuwa kama commercial illustrator. Alihamia California mapema miaka ya...
  9. H

    Wapendwa yule mtabiri wa asili wa neema na balaa maarufu Kakakuona yuko wapi siku hizu?

    Heri ya mwaka mpya 2022. Tunashukuru Mungu kufika na hata kuweza kuinuka na kutembea. Kwenye mada. Inaweza pita mwaka wa tano au zaidi sijamsikia huyu kiumbe au mnyama wa ajabu sijui yuko kwenye kundi gani la wanyama. Kiumbe huyu KAKAKUONA mara nyingi kwenye misimu ya hali ya hewa yenye...
  10. Wachezaji maarufu wa mpira Tanzania, ni nani aliyewaroga?

    Wakuu, Tumekuwa Tukiona Wasanii Wa Tanzania Wakisign Deals na Kampuni mbalimbali ya Kuwa Mabalozi wa kampuni husika na Kujiingizia Kipato kikubwa kwenye Mifuko Yako, Hii inatokea hata kwa Wale wasanii ambao wanavuma na Nyimbo 2 au Tatu wamekuwa Wakilamba Baadhi Ya Deals Katika kampuni. Ipo kwa...
  11. Tetesi: Mtandao maarufu wa WhatsApp GB hii kitu kitaalamu inakaaje

    Habari za Xmas niende Moja kwa Moja kwenye mada. Majuzi nilijiunga na mtandao huu. Hapo nyuma nikiwa natumia WhatsApp ya kawaida sikuona hizi mambo....kwa namna WhatsApp GB ilivyo ukiwa online nakuona na ninaambiwa kabisa XY is online. Na mengine mengi.
  12. Kama uliwahi kusoma darasani, kuishi karibu au kujuana na mtu maarufu (celebrity), maisha yake yalikuwaje?

    Wale ambao mmewahi kusoma, kuishi, kujuana na watu maarufu kama wana muziki, wacheshi, waigizaji, wanamichezo, n.k watu Maarufu, maisha yao yalikuwa vipi kipindi hicho mkiwa shule mliyosoma, mtaa mlioishi, katiba urafiki ama kujuana kwenu, n.k Binafsi niwe mkweli tu, sina mtu niliewahi kusoma...
  13. C

    Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

    Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021 1. JPM 2. Bakari Mwakapachu 3. Prof Mathew Luhanga 4. Zakaria Hanspope 5. Asas 6. Haruni Zakaria 7. Summry 8. ....
  14. China yafuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu wa biashara za mtandaoni

    Huang Wei China imefuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo. Huang Wei, anayejulikana kwa jina maarufu la Viya, ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo ambayo imekua kwa kasi...
  15. Kweli Dunia inaenda mbio sana leo Mbowe ni maarufu kuliko vikao vikuu vya CCM?!

    Tokea tarehe 16 hadi 18 jana huko Dodoma kulikuwa na vikao vikuu vya CCM tena vikiongozwa na Rais wa Nchi ambaye ni kiongozi wa hicho chama. Ajabu tofauti na vikao vya huko nyuma vya CCM hivi vya sasa havina mvuto na hamasa kama zamani.Yaani vimepoa kuzidiwa hata na umaarufu wa Mbowe aliyepo...
  16. Tujifunze kushukuru! Zitto hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu tangia zamani

    Niwakumbushe nyinyi mlioingia kwenye siasa juzi, mjue kwamba Zitto kwa kumuomba rais amwachilie mbowe hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu wakati ambao hawa wanaopiga kelele wote hawapo. Zitto kabla ya Lissu alikuwepo na alikuwa maarufu, kabla ya mnyika, Kigaila Heche, Msigwa, Sugu na...
  17. Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

    Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja. Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling, ambapo aliwashirikisha wanajamii wa LGBT. "Hakuna kujificha tena," aliambia vyombo vya habari vya...
  18. Mapara A Jazz yawezekana wakawa cheap zaidi kulinganisha na wasanii wengine maarufu kutoka South Africa?

    Wakali wa hit Amapiano ya John vuli gate (Mapara A Jazz) kwa mtazamo wa kiutafiti yawezekana wakawa ndio kundi cheap na rahisi kupatikana compared na makundi yenye mfanano na wao kutoka bondeni kwa Madiba. Thamani ya vitu au watu upimwa kwa Sifa mbalimbali ila kubwa ni upekee na upatikanaji...
  19. Fahamu Vivinjari (Browsers) maarufu zaidi duniani

    - Kivinjari (Browser) ni programu ya Kompyuta au Simu ambayo hufanya kazi ya kupangilia, kuleta na kuonesha maudhui kutoka kwenye tovuti. Unapobonyeza kiungo (link), unatumia kivinjari kutembelea tovuti hiyo. - Takwimu kutoka tovuti ya Global Stats Counter zinaonesha kuwa kivinjari cha Chrome...
  20. Mtumba Man afichua alivyotaka kujitoa uhai baada ya kuwa maarufu

    Tunapozungumzia Mtumba Man, wengi wanamfahamu kama mwanamume ambaye anauza mitumba akiwa anaimba na kuvalia mavazi ya wanawake nchini Kenya Je uewahi jiuliza kwa nini watu mashuhuri au vijana mashuhuri ujitoa uhai au kupatwa na msongo wa mawazo licha yao kuwa maarufu nchini? Mtumba Man akiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…