Kumuonyesha Mbwembwe za Kishamba Adui aliyekuzidi Akili, Maarifa na Mbinu ni Upumbavu mkubwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,034
Na kibaya zaidi huyo Unayejitutumua kumuonyesha Mbwembwe zako si tu anakumudu bali anakujua ulivyo na mpaka Jikoni na Chumbani Kwako pia anakujua.

Wewe hujiulizi tu hata Miwani niliyovaa si ya kawaida ( ni ya Kinjagu tupu ) na nilikataa Kusalimiana kwa kupeana Mikono na Wanafiki Watatu kwakuwa nawajua Wananiwinda mno na huenda walikuwa na Sumu mikononi mwao hivyo ningepeana nao tu Mikono huenda leo hii Wakata Viuno Afrika na Walima Kahawa wangeshakuwa Wanafurahia Kuondoka / Kufa Kwangu?

Mkono nilipeana na Jirani na Ndugu yangu ambaye Kanilea, Kanifunza mengi ya Kimedani na Kinjagu na tumeoa Kumoja Wake zetu Warembo japo sasa Utu uzima umeshawapigia Hodi.
 
Back
Top Bottom