Ghasia zimeibuka tena katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut, ambapo vikosi vya usalama vimetumia gesi ya kutoa machozi na mizinga ya maji dhidi ya waandamanaji ambao walikuwa wakirusha chupa na mabomu ya kienyeji karibu na jengo la bunge.
Idadi kubwa wa watu walijeruhiwa katika kadhia hiyo ya...