maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Maandamano Kenya sasa mara 2 kwa wiki

    Kimenuka! Kama Ampiclox vile doze kamili 2 x 1. Kwa kinachoitwa kuitikia shinikizo la waliochoshwa na ya bwana Ruto, sasa Tahrir mara mbili kwa wiki. Kwamba si Jumatatu peke yake ila rasmi na Alhamisi pia. Mola amsimamie Raila Amolo Odinga kuendelea kutoa masomo ya uzalendo kwa pande za...
  2. Odinga anataka Kuharibu amani ya Kenya na ya Ukanda mpo kimya ila yule wa Rwanda mlipaza sauti na kumshutumu Rais Kagame

    Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa Raila Odinga anatumiwa na Wazungu ili Kenya inayoenda Kuneemeka na Rais Ruto isitawalike. Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa Raila Odinga anatumiwa (anasaidiwa na Nchi moja jirani) yenye Vita ya chini chini ya Kiuchumi na Kenya ili Machafuko yakitokea yenyewe ifaidike...
  3. Senegal: Mmoja auawa katika maandamano ya kuipinga Serikali

    Tukio hilo limetokea Machi 20, 2023 Kusini mwa Senegal wakati wa vurugu zilizohusisha Wanausalama na waandamanaji wanaomuunga mkono Kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko. Imeelezwa kijana aliyefariki alipigwa risasi katika Mji wa Bignona wakati waandamanaji wakipinga Sonko kushtakiwa kwa tuhuma...
  4. Siasa za maandamano zinataka kuchukua nafasi ya uchaguzi

    Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, na Tunisia kuna maandamano yanayoongozwa na wanasiasa walioshindwa katika uchaguzi. Hii inaashiria kuwa hatuna wanasiasa ambao wanakubali kushindwa katika uchaguzi;ikitokea wanashindwa wanahamia kwenye maandamano na kuhujumu utendaji wa serikali zilizoshinda na...
  5. F

    Afrika Kusini, Kenya, Nigeria na Tunisia leo kuna maandamano. Hawa ni vinara wa uchumi wa Afrika wanadai maisha bora zaidi na demokrasia

    Leo nchi vinara wa uchumi wa Afrika wanaandamana kudai maisha bora, demokrasia na utawala bora. Inashangaza nchi hizi ambazo zina unafuu ukilinganisha na Tanzania katika masuala ya maendeleo wapo barabarani wanadai mambo bora zaidi. Maandamano ya amani ni njia mojawapo nzuri sana ya kudai yote...
  6. Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023

    VIONGOZI WA UPINZANI WAKAMATWA, RAIA APIGWA RISASI Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo pamoja na Wabunge Amina Mnyazi na Ken Chonga, wanaripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa kushiriki maandamano ya kuipinga Serikali katika Mji Mkuu, Nairobi Hadi hivi sasa Raia kadhaa wanaripotiwa kushikiliwa huku...
  7. Maandamano Afrika Kusini: Polisi yakanusha kuwapa 'Sungusungu' Silaha kupambana na Waandamanaji

    Polisi imekanusha kuwapa silaha Askari Jamii ili kusaidia kuzuia maandamano ya kuipinga Serikali ambayo tayari yameanza katika baadhi ya miji Chama cha upinzani, Economic Freedom Fighters, (EFF) kilidai kwamba walinda doria wa Kitongoji cha Honeydew, katika Jimbo la Gauteng, walipewa sare za...
  8. Maandamano Kenya yamekuwa ya amani toka yalipoanza. Hakuna mtu aliyekufa

    Inaonyesha kwamba watu wa Kenya ni watu wa amani. Tuone kesho itakuwa vipi. Sijui Ruto atafan6a Nini kesho. Lakini nimeona video clip,Rais wa Senegal anamfukuza Ruto kwenye mkutano AU. Anamwita Ruto mwizi wa kura.
  9. Je, Donald Trump kukamatwa Jumanne ijayo? Awataka Wamarekani (Republicans) kuanzisha Maandamano nchi nzima, Elon Musk atoa neno

    Kwenye Mtandao wake wa Truth Social, Donald Trump kapost hii habari. Wakati huoo huko Twitter, Elon Musk katoa neno. Democrats hawana Tofauti na Msoga Gang kabisa.
  10. Kuelekea siku ya Maandamano Machi 20 Nchini Kenya, Ujinga na uroho wa Madaraka vimetawala

    Nashindwa kuwaelewa hawa ndugu na jirani zetu wakenya hakika kiongozi aina ya raila ni kiongozi asiyefahamu na mroho wa madaraka kupindukia. Katiba mpya walisha ipigania wakaipata na ndio wakaitumia kwenye uchaguzi mpaka imewapa kiongozi wa chaguo la wengi lakini mambo yanaonekana bado...
  11. Odinga amwambia Ruto 'Sitishiki na siwezi kusitisha Maandamano

    Kiongozi huyo wa Upinzani amesema Maandamano na Migomo aliyoitisha dhidi ya Serikali itakayofanyika Jumatatu Machi 20, 2023 kwenye jiji la #Nairobi iko pale pale licha ya Vitisho vinavyotolewa Viongozi wa Serikali. #Odinga amesema "Ruto na Gachagua hawawezi kuelewa nilichopitia. Nimekuwa...
  12. Raila Odinga aitisha Maandamano, Ukaidi na Migomo dhidi ya Serikali ya Ruto kuanzia leo

    Kiongozi huyo wa Upinzani kupitia Muungano wa Azimio la Umoja One ameitisha Maandamano ya Nchi nzima ya Kutotii Serikali kuanzia leo Machi 9, 2023 akidai Serikali ya Rais William Ruto imepuuza matakwa ya Muungano huo. Odinga alimpa Ruto siku 14 kuharakisha kufunguliwa kwa Seva za Tume Huru...
  13. B

    Mwalimu Nyerere hakuishinda Serikali ya Kikoloni kwa maandamano, alitumia akili. CHADEMA ipo kwenye njia sahihi?

    Kulikuwa na vyama viwili TANU & UTP, Baada ya kushinda ubunge akaenda UN kuishtaki UTP iachie nchi, akashtakiwa kwa uhaini na kuzuiwa kufanya mikutano ya hadhara, akajiweka karibu na mkoloni TANU ikashinda majimbo 70/71. Je, kwanini Nyerere hakuitisha maandamano kuindoa serikali ya kikoloni?
  14. Ufaransa: Wabunge wapandisha umri wa kustaafu licha ya maandamano ya kupinga

    Wabunge wa Bunge la Seneti wamepiga Kura ilifanya mabadiliko ya Umri wa Kustaafu kutoka miaka 62 ya awali ikiwa ni ushindi kwa Rais #EmmanuelMacron aliyependekeza mipango ya marekebisho ya Pensheni. Muswada huo ulioibua Maandamano na Migomo ya Wananchi takriban Milioni 1.2 wanaopinga mabadiliko...
  15. Kwanini CHADEMA mkutano wa kumualika Rais wamefanyia Moshi ila maandamano waliyafanyia Mwanza?

    Naomba mwenye uelewa anieleweshe hii kitaalam inamaanisha nini? Kikao na Rais - Moshi Maandamano - Mwanza Chadema mipango yao hii vipi mwaionaje.
  16. BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

    Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji. --- Pia soma - BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali...
  17. Rais Macron atua Afrika licha ya maandamano ya kupinga ziara zake

    Ziara hiyo ya Rais Emmanuel Macron imeanzia Nchini Gabon na kufanya mazungumzo na Rais Ali Bongo na baadaye ataelekea Angola, Congo-Brazzaville na DRCongo ambako tayari kumeibuka vurugu za kuipinga ziara hiyo. Ziara hizo zinafuatia hatua ya #Urusi kuanza kujenga uhusiano na Nchi zilizowahi...
  18. Eric Omondi apigwa na Polisi baada ya kuongoza maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha

    MY TAKE; Hii ndiyo nchi inayosema kuna uhuru wa kujieleza[emoji23][emoji23][emoji23]
  19. Maandamano Iran bado yako pale pale, wamdhamiria kuondokana na udhulumaji wa kidini

    Huku serikali ikiendelea kuwanyonga raia wake ili imlinde 'mungu' wa dini yao, ila wananchi wamedhamiria lazima wafike mwisho wake.....hata wauawe mamilioni....wameandamana miji kadhaa kwa mpigo. Mayatollah wanalo..... ===================== Protesters in Iran have marched through the streets of...
  20. DR Congo: Watu 8 wafariki katika maandamano ya kupinga uwepo wa walinda amani wa UN

    Mamlaka zimesema watu wengine 28 wamejeruhiwa baada ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) kurusha risasi wakati wakijihami wakati wakishambuliwa na waandamanaji katika eneo la Jimbo la Kivu Kaskazini. Msafara wa UN ulishambuliwa wakati wakirejea kutoka Mji wa Goma ambapo mgari yao kadhaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…