maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Imagine mwanamke anapoteza maisha kwenye maandamano Kenya kama hivi ila Tanzania midume inakua chawa kwasababu ya uoga

    Hii ni kenya mwanamke kapoteza maisha Kwa kuipambania nchi yake tanzania sifa kuu ya midume inakua chawa yote ni njaa na uoga
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu 10 wauawa katika Makabiliano ya Maandamano ya Saba Saba

    Watu wasiopungua watano wameuawa katika maandamano ya Saba Saba ya leo huku makabiliano kati ya polisi wa kupambana na vurugu na waandamanaji yakizidi kushika kasi. Katika eneo la Kangemi, raia mmoja alipigwa risasi na hali yake haijafahamika, huku wengine wawili wakithibitishwa kufariki...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wamiminika kudhibiti maandamano ya Saba Saba

    Barabara zote kuu zinazoelekea jijini Nairobi zimefungwa leo huku hali ya usalama ikimarishwa katika maeneo mbalimbali ya mji, kufuatia maandamano yanayotarajiwa katika maadhimisho ya kumbukumbu ya Saba Saba. Kulingana na BBC, polisi wameweka vizuizi katika maeneo muhimu, wakizuia magari ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 TEC yasema Jumapili ni siku ya ibada na siyo ya kufanya maandanamano ya uchochezi

    Wakuu nimekutana na hii Taarifa kwa Umma je ni kwelli imetoka TEC?
  5. JamiiForums Tanzania Aliyepigwa risasi ya kichwa na polisi wakati wa maandamano ya juni 17, Kenya Ubongo umekufa

    Dah.. Boniface Kariuki, yule muuza barakoa, aliyepigwa risasi kichwani na polisi wakati wa maandamano ya Juni 17, 2025. Kulingana na msemaji wa familia, Emily Wanjira, madaktari katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta wamesema kuwa ubongo wa Kariuki umekufa (brain death), ingawa viungo vyake...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matunda ya "demokrasia" kenya inashuhudia vifo zaidi ya 16 kutokana na maandamano

    Hii ni aibu kubwa kwa wote wanaopigania ule uhuru usio na mipaka au heshima. Hii ni demokrasia gani inayoleta maafa na chaos?
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UN Ina wasiwasi na maandamano ya kenya

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa una wasiwasi sana na vurugu zilizotokea wakati wa maandamano nchini Kenya ambapo takriban watu 16 walifariki huku wengine wakiwa na majeraha huku wakitoa wito wa utulivu na kujizuia Maandamano ya Jumatano yalianza kwa amani lakini yakaishia kuwa machafuko huku...
  8. JamiiForums Tanzania Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya Posta iitwayo SWIFPACK

    📍DSM📍 🗓️26 Juni, 2025 📌MATUKIO KATIKA VIDEO YA MADEREVA WA SWIFPACK WAKIKIWASHA MTAANI. #swifpack Smoothride and Delivery
  9. M

    JamiiForums Tanzania CCM Yatibu Maandalizi ya Maandamano Makubwa ya Kumsindikiza Dkt. Kimei Kuchukua Fomu ya Ubunge Vunjo

    Vunjo, Kilimanjaro – 27 Juni 2025: Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Vunjo kimeingilia kati na kutibua maandalizi ya maandamano makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa ajili ya kumsindikiza Mbunge wa sasa wa Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, wakati wa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya posta iitwayo swifpack

    Umoja wa Madereva wa Mtandaoni (UMM) umefanya maandamano ya amani leo Juni 26, 2025, katika jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kutangaza na kuhamasisha matumizi ya SwifPack huduma mpya ya usafiri wa mtandaoni iliyoanzishwa na Shirika la Posta Tanzania. Huduma hii ya kisasa ilizinduliwa rasmi...
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba wa kijana aliyepigwa risasi kwenye maandamano atapeliwa zaid ya Tsh. Milioni 4 fedha ya matibabu

    Baba wa Boniface Kariuki kijana aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano nchini Kenya amenasa kwenye mtego wa matapeli waliodai kuwa maafisa kutoka Mfuko wa Afya ya Jamii (SHA), na kupoteza kiasi cha KSH 200,000 (sawa na zaidi ya TZS milioni 4) Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Iran inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa

    Iran leo inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa. Tukio hilo, linakusudiwa kuonyesha umoja na ukaidi katika kukabiliana na mashambulizi wa Israeli. Iran plans public rallies after Friday prayers amid ongoing Israeli strikes Public...
  13. JamiiForums Tanzania Nimetamani kupata dada mmoja mrembo wa kikenya wamenikosha sana

    Nikiwa napata lunch mahali, kwenye tv wanaonesha maandamano yanayoendelea huko Kenya, ila kilichonivutia sio hayo maandamano Bali wadada warembo wasioogopa hata risasi...nikajawa na hisia za mapenzi kwa wadada hawa Kenyans have more bigger b*lls than us tanzanians..sisi ni wachumba tu ... Yan...
  14. JamiiForums Tanzania Maandamano Bila Kikomo: Serikali Ishinikizwe imwachie Huru Tundu Lissu

    Katika mazingira ya kisiasa ambapo haki za msingi za raia zinaendelea kukandamizwa, maandamano ya kiraia yanabaki kuwa njia halali na ya mwisho ya wananchi kudai haki yao. Kufuatia kukamatwa na kushikiliwa kwa mwanasiasa mashuhuri Mhe. Tundu Lissu – bila msingi wa haki na kwa nia ya kisiasa –...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyekuwa akiuza barakoa wakati wa maandamano katika jiji kuu la Nairobi auawa kwa kupigwa risasi na polisi

    Polisi wa kutuliza ghasia wasababisha kifo cha kijana mmoja aliyekuwa kwenye maandamano ya kudai haki kifo cha Ojwang na hivyo kuongeza hasira ya wananchi dhidi ya ukatili wa polisi Video inayosambaa mtandaoni inawaonesha askari 2 wa kutuliza ghasia wakimfuata kijana muuza barakoa wakionekana...
  16. JamiiForums Tanzania Maandamano ya kumpiga Trump yanazidi kusambaa Marekani

    Wanaukumbi. Hii si Syria, Iraq, au Yemen... hii ni Los Angeles chini ya utawala wa Marekani yenyewe. Uharibifu, machafuko na machafuko waliyopanda ulimwenguni yalianza kuwaangamiza kutoka ndani. ================ This is not Syria, Iraq, or Yemen... this is Los Angeles under the rule of...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yatangaza hali ya hatari kwa Demokrasia, yalaani njama za kukandamiza Harakati za Mabadiliko

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwaarifu viongozi, wanachama, na umma wa Watanzania juu ya hali ya hatari inayojitokeza kwa kasi dhidi ya vyama vya siasa vinavyopigania mabadiliko ya kweli nchini. Hali hii inaashiria juhudi za kurejea kwa enzi za utawala wa kiimla...
  18. JamiiForums Tanzania TRUMP Atumia Jeshi kudhibiti maandamano !

    Rais wa Marekani aamuru vikosi vya kijeshi kuungana na Askari wa uhamiaji kudhibiti vurugu na maandamano yanayoendelea kupinga uondoshwaji wa wahamiaji haramu.
  19. JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye maandamano ya watanzania waishio marekani IMF- Pennsylvania

    Leo tarehe 23 may, kutakuwa na maandamano makubwa sana, ya watanzania,waafrika na watu wengine, katika ofisi za makao makuu ya IMF, hapa Pennsylvania. Lengo ni kukemea udhalimu, udikteta, utekaji,ubakaji,ufilaji,na kufinywa Kwa demokrasia Tanzania. Next ni office za US Senete Stay tuned
  20. JamiiForums Tanzania Polisi Kenya wakiwa na Silaha wazingira Ubalozi wa Tanzania Nairobi kuzima maandamano ya Wanaharakati kisa Boniface Mwangi kushikiliwa Tanzania

    Jeshi la Polisi nchini Kenya limepelekwa nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi leo Mei 22, ikiwa ni hatua ya tahadhari kufuatia taarifa za maandamano yaliyopangwa kufanywa na wanaharakati wanaoshinikiza kuachiwa huru kwa mwanaharakati maarufu Boniface Mwangi. Soma, Pia: Wakenya, akiwemo Mke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…