maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sijaona maandamano ila nimemwona mwanaume mmoja amekuwa Rais

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Imekuwa ni kitu ya kujiridia sana sana mara kwa mara katika maono, nimekuwa nikiona kiongoz mpya nchini Tanzania Leo nimeona mwanaume mmoja ndo amekuwa rais na baada ya huyo kuwa rais sikuona tena maandamano SAYUNI BOY
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Maandamano yasipofanikiwa basi ujue yule Mkandamizaji atakua amepata Nguvu kwa 100% kufanya atakalo bila wasi wasi

    Maandamano yasipofanikiwa basi ujue yule adui uliekua unamtisha na maandamano Utakua umempa nguvu kwa 100% ya kuwafanya atakavyo maana atajua nyie ni debe tupu.Na atazizoea kelele zenu mpaka 2030 atafanya atakavyo yeye.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwasaga (ICTC): Maandamano yanaletwa na Habari Potofu

    Mkurugenzi wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Moses Mwasaga wakati akifanya mahojiano na kituo cha redio cha Mjini FM ameeleza kuwa moja ya hasara kubwa za habari potofu kwenye taifa ni kusababisha maandamano na taharuki katika jamii. Sasa najiuliza kwa nchi nyingine ambazo zimefanya maandamano na...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

    Huyu Faris amerudia kauli zake za vitisho baada ya kusema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie amerudia tena kwa Watu waliopanga kuandamana Oktoba 29 = Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, amewasihi na kuendelea kuwaomba wananchi wa mkoa wa Kagera kujitokeza kwa wingi...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maandamano yanayotarajiwa kufanyika tarehe 29 lazima yadhibitiwe kwa sababu yatavunja haki za wengine kuchagua viongozi wao

    Kikatiba maandamano sio jambo haramu kunapokuwa na sababu ya kufanya hivyo. Ni namna ya watu kuonyesha hisia zao. Kuna mwaka UVCCM wa Mbeya walitaka kuandamana kuonyesha furaha yao kwa hotuba ya kihistoria ya masaa matatu iliyotolewa na rais mstaafu Kikwete. Haya maandamano yanayotajwa...
  6. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maandamano mtandaoni yako tayari kwa 80%, ila kwa ground raia wanakimbiza mishe zao tu

    MangeKimambi hawajui watanzania vizuri ni kwamba anajisumbua tu. Watanzania hakuna hata mmoja atakae toka kuandamana. Maandamano yao yapo mitandaoni. Kila mmoja anamtegemea mwenzake atoke na mwenzake anamtegemea mwenzake mwingine atoke
  7. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video hii ni maandamano ya wananchi Kenya wakimuonya Rais Ruto kuongeza muda wa uongozi

  8. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kama kuna mtu anataarifa za yuke jamaa alikuwa anasambaza vipeperushi vya maandamano kama kakamatwa au la

    Siku ya leo kuna jamaa alikuwa na vipeperushi vingi mno pale kituo kikuu cha train ya SGR. Na alipostukiwa alianza kukimbizwa na kikosi cha Muliro. Yeye alikuwa na Pipi piki amekimbizwa na kila chombo cha usafiri kilicho kuwa karibu. Naomba kujuzwa kwa wenye taarifa yeyote. Naona ile roho ya...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wamasai wa roliondo mjitokeze kwenye maandamano ya pamoja hii ndio nafasi yenu ya kuondoa manyanyaso mnayopitia

    Wamasai wa roliondo mjitokeze kwenye maandamano ya pamoja hii ndio nafasi yenu ya kuondoa manyanayaso mnayopitia. Mliitiwa polisi mlipigwa, mlifungiwa huduma za kijamii na wanasiasa wasio watakia mema hata kidogo, Tusimame pamoja kuhamasisha mabadiliko na uwajibikaji ili manyanyaso yenu yaishe
  10. Trainee

    JamiiForums Tanzania Maandamano ni haramu katika dini. Mkifa kwa ajili ya kuandamana nakuhakikishieni mnakwenda motoni

    Hapa siandiki kama mpiga zumari wa CCM wala siandiki kwa mihemko wala mahaba ya siasa bali nawachana ukweli wanaojidai kuhamasishana ujinga Tanzania kwa kiasi kikubwa zaidi ni waislamu na wakristo. Hakuna dalili yoyote kwenye dini hizi mbili inayoruhusu watu kufanya the so called maandamano kwa...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya oktoba 29, 2025 hayawezi kufanikiwa, japo nia yake imewapa ujumbe mkubwa mafisadi

    Ningetamani haya maandamano yatokee na sisi tufanye mapinduzi dhidi ya mafisadi na viongozi wahuni, lakini Kwa vyovyote hili halitawezekana Mafisadi na wahuni watafanikiwa kufanya uchaguzi fake Kwa amani na kujitangaza kushinda na baadaye kujiapisha na kupigiwa mizinga na jeshi letu, Sababu...
  12. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania GE2025 TLS yacharuka juu ya vitendo vya udhalilishaji wa mawakili (Tukio la Kupigwa kwa Wakili Mahinyila)

    Wanajamvi kwema? Nadhani wote tunakumbuka tarehe 15/09/2025, taifa lilishuhudia kadhia ya aibu katika Mahakama Kuu DSM. Wanachama wa CHADEMA walipigwa na kudhalilishwa na jeshi la polisi ila mbali na hayo pia Wakili Deogratius Mahinyila (ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Vijana), akiwa kazini...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA maandamano ya Oktoba 29, na taifa lililojaa watazamaji badala ya wananchi

    Ndugu zangu, kuna jambo moja linazidi kujidhihirisha katika historia yetu ya kisiasa: Tanzania bado ni nchi ya watazamaji, si ya washiriki. Ndio maana kila baada ya muda fulani, Chadema huibuka na tangazo la maandamano, mara hii Oktoba 29, kana kwamba dunia itatikisika, serikali itatetemeka, na...
  14. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Kumbe TikTok sio ya kinyonge, sikutegemea itakuwa ya kiharakati namna ile

    wamenishangaza, sikutegemea, nilijua content zao ni za SOFT life na udaku pekee, wamenifurahisha. Kumbe vijana mnapenda HAKI, kumbe vijana unapenda DEMOKRASIA, basi mmetisha. Hakuna ubaya kuwa na mizuka na mambo mengine, ila kupotezea kabisa mambo ya nchi na maisha yako ni upumbavu zaidi na...
  15. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo CRDB nayo mpaka tarehe ishirini na tisa, acheni uoga nendeni ofisini

    Yeah kama wasiojulikana walivyosema comments, hashtags hazibadilishi chochote (Nimeparaphrase tu, ila ndiyo point yao ya msimu). Ni pesa zenu, ni jasho lenu,mnaogopa nini kwenda ofisi za CRDB na kuona mnarudishiwa vipi pesa zenu au miamala inasolviwa. Nimepitia comments kwenye page za CRDB...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Oktoba 29 asubuhi na mapema, FFU, Polisi, Magereza watakuwa wamesambaa mitaani wakifanya usafi, hayo maandamano yanaanzaje ?

    Oktoba 27 na 28 barabarani na mitaani kutakuwa na mazoezi ya utayari kuanzia FFU, Polisi, Magereza hadi JW. huku wakiimba chenja, wengine wamebeba zana, nyuma kuna malori ya maji ya kuwasha, halafu kuna gari ya matangazo inapiga playback "mtapata taabu sana" kwenye mahojiano kama kawaida...
  17. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 29 Oktoba tunashirikije uchaguzi ikiwa haya hayajafanyiwa kazi?

    Watu wa Tanzania! Sasa ni wakati wa kuandamana na kutoa sauti yetu kwa nguvu ili kuzuia uchaguzi wa udanganyifu tarehe 29 Oktoba 2025. Hapa kuna hoja kuu zinazothibitisha kuwa tunahitaji kubadilisha hali hii mbaya kabla ya kura kupigwa bila haki. Jitokeze kwa wingi na tuungane pamoja! 1...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Huenda kipigo cha mwanachadema mahakamani ilikuwa kimkakati ndiyo maana media zote zimerusha

    Naomba kuwajulisha haya machache yatawasanua! Ile harassment ya wafuasi wa CHADEMA, jana (Septemba 15, 2025) ilikuwa kimkakati na ilipangwa kabisa ili kutaftia njia ya kuwashambulia kama ujumbe wa kutisha wanaopanga kuandamana! Ile haikutokea bahati mbaya, Ilipangwa kabisa ili wajae kwenye...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mange: Serikali yatoa maagizo ya kuwatambua Viongozi wa Dini wasiomuunga mkono Rais Samia

    Ameandika Mangekimambi "Amkeniiiiiii, mnalala mna raha gani na huku Mchengerwa, mkwe wa Rais katuma barua kwa wakuu wa mikoa wote wapeleke listi ya wachungaji ambao hawapo na Samia. Yani ni hivi Mchengerwa anataka listi ya majina ya wachungaji ambao hawapo upande wa Samia na list itaenda ikulu...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Vijana (Gen Z) Nchini Nepal – 2025

    Sababu za Maandamano Marufuku ya mitandao ya kijamii – Serikali ilizuia matumizi ya Facebook, Instagram, WhatsApp, YouTube n.k. kwa madai ya kiusalama. Vijana waliona hatua hiyo kama kukandamiza uhuru wa maoni. hii ni kwa mujibu wa ABP News. Ufisadi serikalini – Kulikuwa na madai ya ufisadi...
Back
Top Bottom