maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jamaikatz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UN Ina wasiwasi na maandamano ya kenya

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa una wasiwasi sana na vurugu zilizotokea wakati wa maandamano nchini Kenya ambapo takriban watu 16 walifariki huku wengine wakiwa na majeraha huku wakitoa wito wa utulivu na kujizuia Maandamano ya Jumatano yalianza kwa amani lakini yakaishia kuwa machafuko huku...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya Posta iitwayo SWIFPACK

    📍DSM📍 🗓️26 Juni, 2025 📌MATUKIO KATIKA VIDEO YA MADEREVA WA SWIFPACK WAKIKIWASHA MTAANI. #swifpack Smoothride and Delivery
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM Yatibu Maandalizi ya Maandamano Makubwa ya Kumsindikiza Dkt. Kimei Kuchukua Fomu ya Ubunge Vunjo

    Vunjo, Kilimanjaro – 27 Juni 2025: Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Vunjo kimeingilia kati na kutibua maandalizi ya maandamano makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa ajili ya kumsindikiza Mbunge wa sasa wa Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, wakati wa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya posta iitwayo swifpack

    Umoja wa Madereva wa Mtandaoni (UMM) umefanya maandamano ya amani leo Juni 26, 2025, katika jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kutangaza na kuhamasisha matumizi ya SwifPack huduma mpya ya usafiri wa mtandaoni iliyoanzishwa na Shirika la Posta Tanzania. Huduma hii ya kisasa ilizinduliwa rasmi...
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba wa kijana aliyepigwa risasi kwenye maandamano atapeliwa zaid ya Tsh. Milioni 4 fedha ya matibabu

    Baba wa Boniface Kariuki kijana aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano nchini Kenya amenasa kwenye mtego wa matapeli waliodai kuwa maafisa kutoka Mfuko wa Afya ya Jamii (SHA), na kupoteza kiasi cha KSH 200,000 (sawa na zaidi ya TZS milioni 4) Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Iran inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa

    Iran leo inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa. Tukio hilo, linakusudiwa kuonyesha umoja na ukaidi katika kukabiliana na mashambulizi wa Israeli. Iran plans public rallies after Friday prayers amid ongoing Israeli strikes Public...
  7. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Nimetamani kupata dada mmoja mrembo wa kikenya wamenikosha sana

    Nikiwa napata lunch mahali, kwenye tv wanaonesha maandamano yanayoendelea huko Kenya, ila kilichonivutia sio hayo maandamano Bali wadada warembo wasioogopa hata risasi...nikajawa na hisia za mapenzi kwa wadada hawa Kenyans have more bigger b*lls than us tanzanians..sisi ni wachumba tu ... Yan...
  8. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Maandamano Bila Kikomo: Serikali Ishinikizwe imwachie Huru Tundu Lissu

    Katika mazingira ya kisiasa ambapo haki za msingi za raia zinaendelea kukandamizwa, maandamano ya kiraia yanabaki kuwa njia halali na ya mwisho ya wananchi kudai haki yao. Kufuatia kukamatwa na kushikiliwa kwa mwanasiasa mashuhuri Mhe. Tundu Lissu – bila msingi wa haki na kwa nia ya kisiasa –...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyekuwa akiuza barakoa wakati wa maandamano katika jiji kuu la Nairobi auawa kwa kupigwa risasi na polisi

    Polisi wa kutuliza ghasia wasababisha kifo cha kijana mmoja aliyekuwa kwenye maandamano ya kudai haki kifo cha Ojwang na hivyo kuongeza hasira ya wananchi dhidi ya ukatili wa polisi Video inayosambaa mtandaoni inawaonesha askari 2 wa kutuliza ghasia wakimfuata kijana muuza barakoa wakionekana...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kumpiga Trump yanazidi kusambaa Marekani

    Wanaukumbi. Hii si Syria, Iraq, au Yemen... hii ni Los Angeles chini ya utawala wa Marekani yenyewe. Uharibifu, machafuko na machafuko waliyopanda ulimwenguni yalianza kuwaangamiza kutoka ndani. ================ This is not Syria, Iraq, or Yemen... this is Los Angeles under the rule of...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yatangaza hali ya hatari kwa Demokrasia, yalaani njama za kukandamiza Harakati za Mabadiliko

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwaarifu viongozi, wanachama, na umma wa Watanzania juu ya hali ya hatari inayojitokeza kwa kasi dhidi ya vyama vya siasa vinavyopigania mabadiliko ya kweli nchini. Hali hii inaashiria juhudi za kurejea kwa enzi za utawala wa kiimla...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania TRUMP Atumia Jeshi kudhibiti maandamano !

    Rais wa Marekani aamuru vikosi vya kijeshi kuungana na Askari wa uhamiaji kudhibiti vurugu na maandamano yanayoendelea kupinga uondoshwaji wa wahamiaji haramu.
  13. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye maandamano ya watanzania waishio marekani IMF- Pennsylvania

    Leo tarehe 23 may, kutakuwa na maandamano makubwa sana, ya watanzania,waafrika na watu wengine, katika ofisi za makao makuu ya IMF, hapa Pennsylvania. Lengo ni kukemea udhalimu, udikteta, utekaji,ubakaji,ufilaji,na kufinywa Kwa demokrasia Tanzania. Next ni office za US Senete Stay tuned
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi Kenya wakiwa na Silaha wazingira Ubalozi wa Tanzania Nairobi kuzima maandamano ya Wanaharakati kisa Boniface Mwangi kushikiliwa Tanzania

    Jeshi la Polisi nchini Kenya limepelekwa nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi leo Mei 22, ikiwa ni hatua ya tahadhari kufuatia taarifa za maandamano yaliyopangwa kufanywa na wanaharakati wanaoshinikiza kuachiwa huru kwa mwanaharakati maarufu Boniface Mwangi. Soma, Pia: Wakenya, akiwemo Mke...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri kwa vijana: Msithubutu kushiriki vitendo vya fujo au maandamano ya ghasia ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

    Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura. Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kusindikiza mtu kikatiba imekuwa ni maandamano ya wapi mamlaka inazodi kufanya makosa kwa kudhani haita wajibishwa na huu ukatili unaoendelea

    Nchi sasa haiongozwa kwa sheria hakuna muongozo unao mtaka mtu asindikizwe kwa ukomo au idadi flani kwa jeshi la polisi kuwapiga watanzania kwa kusindikiza mtu kwa sababu za kusindikiza zina minya haki za binadamu na kuingilia uhuru wa mtu binafsi. Kusindikiza mtu kikatiba ni maandamano ya wapi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania UVCCM itisheni maandamano makubwa nchi nzima kupinga maazimio ya umoja wa Ulaya tuone kama MULIRO atayazuia

    Sijui kwanini mwachelewa wakati sababu zipo Waonyesheni mabeberu kuwa hatutaki kupangiwa na tuko huru Police wawasaidie kuratibu na watumieni wafanyakazi wote wa serikali kihamasisha yule asiyetoka katika maandamano hayo ashughulikiwe kwa mujibu wa Sheria
  18. N

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa nchini yananukia...

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza. Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima...
  19. Fbn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti ya BBC iliyofichua mauaji gen-z kipindi cha maandamano, waandishi wa habari 4 hawajulikani walipo mpaka sasa

    Kipindi cha maandamano ya gen-z kule Kenya mpaka kufikia kwenda bungeni na kutokea mauaji ambayo inashutumiwa KDF ambalo ni jeshi la Kenya kuhusika sasa, BBC ilitoa taarifa kupitia kipindi chake BBC EYE. Wahandishi wa habari walikuwa wamechukua matukio na kupeleka BBC mpaka sasa hawajulikani...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mandela aliwahi sema, Lugha walio kuwa wanaielewa Makabulu ilikuwa ni moja tu, Na Tanzania Lugha ambayo hawa watawala wanaweza ielewa ni moja tu.

    Mandela nyakati fulani aliwahi sema Makabulu lugha walio kuwa wanaielewa vyema ilikuwa ni ya Lisasi tu. Hizo Lugha zingine walikuwa hawazielewi na zilikuwa haziwaingii kabisa. Na Wazulu walivyo kuwa wanapambana na Makabulu kwa Bunduki angalau kuna wakati Makabulu walikuwa wanaelewa lugha hio...
Back
Top Bottom