Serikali zimekuwa ikifuta post zinazohamasisha na kufundisha watu kujilinda wakati wa Maandamano, Basi watanzania tutatumia njia mpya kuwasiliana na kufanya mobilization.
Natoa wito kwa watu humu ndani kuunda mifumo maalum isiyokuwa censored kufundishana na kukusanya watu. Na kutoa taarifa za...
Polepole katekwa halafu yale yanayohamasisha maandamano yanasema eti tusubiri tarehe 29 hivi haya majitu yana utu kweli yaani mtu ametutetea kaacha ulaji wake hata kuhamasisha wananchi tuingie rodi imekua nongwa hao kina kwanini mnalazimisha yafanyike tarehe 29 wakati mpaka Sasa watu 10...
Wimbi la watu kutekwa limeongezeka sana na wengi ni tiktokers, kule wanaongea waziwazi kama vile wanafanya comedy, kitu wasichojua ni kua adui yuko determined na hana aibu kufanya anayotaka kufanya.
Pengine ni kweli wanaumia sana na yanayoendelea lakini pia kuna ile hali ya kupata ushujaa kwa...
Nakusudia maandamano yale yenye lengo la kupinga zoezi la uchaguzi
Kama ni hoja watu wametoa hoja zao sana na kama ni elimu watu wametoa elimu ya kutosha juu ya jambo hilo.
Sasa tufanye tathmini ndogo hapa kila mtu aoneshe upande wake anaochagua kwamba anaunga mkono au haungi mkono maandamano...
Waandamanaji waliendelea kujitokeza mitaani nchini Madagascar Oktoba 7, 2025, siku moja baada ya Rais Andry Rajoelina kumteua waziri mkuu mpya Jenerali wa Jeshi, katika juhudi za kupunguza mzozo unaoendelea. Katika mji mkuu Antananarivo, hasira zimeenea hadi sekta ya afya, ambapo mamia ya...
Maelfu ya vijana wamejitokeza tena mitaani katika mji mkuu Antananarivo, wakiendelea kushinikiza serikali kushughulikia ukosefu wa maji, kukatika kwa umeme, na ufisadi. Tizama hali ilivyokuwa wakati wa makabiliano ya polisi na waandamanaji.
Moja kwa moja.
Katika harakati zote za maandamano bongo hakuna maandamano ambayo yanajoto , hamasa , vuguvugu na muamko mkubwa kama hii ya safari hii , pamoja na hayo sioni kabisa kufanikiwa kutokana na sababu nyingi miongoni mwa hizo ni zifuatazo ;
1. Nguvu yake , umaarufu na hamasa ni...
Rejea kichwa Cha Uzi .
Kujifanya wewe mpambanaji kupambania watu wasiojitambua ni kazi ya kiboya.
Wewe Kaa na familia tulia kula ugali dagaa maisha yaendelee .
Maandamano hayo yalioyotokea katika miji mikubwa ya italia yenye wito wa kuupinga uhusiano wa kifedha, kisiasa na kijeshi kati ya Italia na Israel, na kuhakikisha misaada ya kibinadamu inaingia Gaza bila vizuizi.
*******
Hauitaji kuwa na upande kwenye kukemea maovu moyo wa utu haujafungwa...
Ukiangalia vizuri maandamano Kama vile yamekaa kichama zaidi kuliko kitaifa hata ukisikia anayehamasisha uhusisha Chadema kama Chama cha upinzani usikii wakiungamisha makundi yote kwa pamoja ndio maana Kuna wengine hawayatolei uzito au kuhamasika kuunga mkono.
Ukiangalia sehemu nyingi ambazo...
Gen Z na Watanzania wote ,hili nawahakikishia 100% hakuna Jeshi la Ulinzi liwezalo FYATUA RISASI zake dhidi ya Wananchi !!.
Infact wanachokifanya ni kututisha, Kwani ni mara ngapi wakati wa Uchaguzi, Ma Vifaru yao huzagaa zagaa Barabarani ?.
Mbinu wanayotumia CCM ni kuzijaza Barabara na...
Wakuu kama mmetizama Zile video za Wananchi wakipambana na Uhuni wa mwendokasi na genge lao la wahuni.
Polisi Licha ya kufuatia Mabomu na Risasi baridi.
Wananchi Wakigoma kutawanyika, zaidi zaidi walíendelea kupiga kelele na kupaza sauti !!.
Huu ni Mwanzo mzuri sana Kwa sisi tunaochambua...
Ni wazi safari imeanza Rasimi, Ndugu zangu Watanzania hii ndio nafasi pekee tuliyonayo ya kuwaondoa Hawa wahuni !!.
Wee Kijana Usiyekua na Ajira
Wee mwenye Ajira lkn mishahara haiendan na hali ya Maisha.
Wee unayehangaika na Usafiri Dar huku Abdul, Kijana wa Angela , Kijana wa DGIS, Vijana wa...
Usipokufa Kwa Malaria, Utakufa Kwa Ajali, Utakufa Kwa Ukimwi.
Ni kweli Dunia na Mambo yake yote ni tamu na yenye Raha .
Fikiria wee Kijana Msomi wa Degree , huna Ajira, wanakufanganya Et Ujiajiri yote ni sababu wameshindwa kutengeneza Ajira
Gen Z , kutokua na Elimu bado halitoshi kutufanya...
Leo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Mwanasiasa Hamis Kigwangalla ametoa maoni yake kuhusu uchaguzi wa mwaka huu na maandamano yaliyopangwa kufanyika nchi nzima tarehe 29 Octoba, 2015. Ameandika Na kuchapisha post kama 7 hivi zikiwa na ujumbe ufuatao
OKTOBA TUNATIKI VS OKTOBA TUNATOKA...
Hawajaweka wazi na Zacharia Obadi, Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria anasema ni msimamo wa wananchi na siyo chama.
"Wimbo umekuwa ni huo tu No reforms No election na wengine wameenda mbali zaidi nakusema kwamba tarehe 29, october tunaandamana CHADEMA hatujajitokeza wazi wazi nakusema huo...
Wakuu ni siku ya tatu leo Madagascar hali si shwari kabisa,kumbuka jana Waziri wa nishati alishaliwa kichwa kunusuru malalamiko ya Wandaamanaji lakini bado haijasaidia kitu.
Soma pia >> Gen Z Madagascar waandamana dhidi ya kukatika kwa umeme na ukosefu wa maji
Naona kuna muamko mkubwa kwa...
Kitoto kina miaka 12 lkn kinasukumwa kwenye ndinga ya milioni 500 kina dereva na mlinzi pembeni. Kodi zetu zinatapanywa kwa maslahi ya wachache. Shubamiti!!!
Potelea pwete, kifo kiliumbwa. Nisipokufa kwenye maandamano nitakaifa kwa ajali ama nitakufa usingizini.
Tarehe 29 0ctober tutakinukisha!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.