Nashanga kuona kwamba watu wsnafikiria kwamba wataandamana tarehe 29 October. Maandamano ya katika nchi hii tulifanya sisi Mwembechai.
Inasikitisha sana kuona Hawa watu wanaongea haya maneno ya uongo,eti watafanya maandamano tarehe 29. Kwanza maneno kama hayo ndiyo yanasababisha Tundu Lissu...
Takribani watu 19 wamepoteza maisha na kadhaa kujeruhiwa nchini Nepal baada ya maandamano dhidi ya ufisadi wa kisiasa na baada ya serikali kuchukua hatua ya kufungia mitandao ya kijamii amabapo maandamano hayo yaligeuka kuwa machafuko kati ya waandamanaji na vyombo vya usalama.
Maelfu ya vijana...
Zaidi ya watu 200,000 wameandamana na mamia wakamatwa nchini Ufaransa Septemba 11, 2025 kufuatia maandamano makubwa ya kitaifa yaliyoanza Septemba 10, 2025 wananchi wakipinga mipango ya kupunguza bajeti na hali tete ya kisiasa nchini humo.
Vuguvugu hilo lililopewa jina “Fungeni Kila Kitu”...
Idadi ya vifo kutokana na maandamano yenye vurugu nchini Nepal imeongezeka na kufikia watu 31, huku juhudi zikiendelea kuunda serikali ya mpito kufuatia kuondolewa kwa Waziri Mkuu KP Sharma Oli.
Kwa mujibu wa Idara ya Tiba ya Uchunguzi wa Maiti katika Hospitali ya Mafunzo ya Chuo Kikuu cha...
Maandamano ya vijana wa kizazi kipya (Gen Z) nchini Nepal yaligeuka ya vurugu zaidi Jumanne, baada ya waziri wa sasa wa Mambo ya Nje, Arzu Rana Deuba, na mumewe, waziri mkuu wa zamani mara nne, Sher Bahadur Deuba, kushambuliwa vibaya jijini Kathmandu.
Waandamanaji walivamia makazi ya Deuba na...
Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, amefanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri Jumatatu Septemba 8, 2025 kufuatia maandamano yenye vurugu yaliyozuka nchini kote kupinga marupurupu ya wabunge na kupanda kwa gharama za maisha. Hatua hiyo imekuja baada ya kuongezeka kwa malalamiko ya...
Wanaukumbi.
Hostages Square mjini Tel Aviv inazidi kujaa watu wakiwa wamebeba mabango na kuvaa riboni za njano asubuhi ya maandamano wa nchi nzima ulioitishwa na familia za mateka huko Gaza, wakitaka waachiliwe huru na kukomesha vita.
Katikati ya mraba, safu za watembeaji miguu tupu zimepangwa...
Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi.
Amesema amekuwa akiwasiliana na...
Tayari tumefika kubaya na hakuelezeki kabisa
Haya yote yanajiri ni kwa sababu tu, CCM mmekosa huruma, mmekosa utu, mnazurumu, mnateka na kuuwa watu peupe pe na bila aibu
Wananchi wataanzia wapi kuwaona kuwa nyinyi ni binadamu wenzao
Kifo???
Wananchi wanaandamana kufanya sherehe? Kufurahia...
Idadi ya vifo kutokana na maandamano ya Saba Saba nchini Kenya yaliyofanyika Jumatatu iliyopita imepanda na kufikia zaidi ya watu 43, kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa na shirika la haki za binadamu, Haki Africa
Katika taarifa hiyo mpya, mmoja wa waathiriwa wapya ni kijana mdogo, mtoto wa...
Watu wasiopungua watano wameuawa katika maandamano ya Saba Saba ya leo huku makabiliano kati ya polisi wa kupambana na vurugu na waandamanaji yakizidi kushika kasi.
Katika eneo la Kangemi, raia mmoja alipigwa risasi na hali yake haijafahamika, huku wengine wawili wakithibitishwa kufariki...
Barabara zote kuu zinazoelekea jijini Nairobi zimefungwa leo huku hali ya usalama ikimarishwa katika maeneo mbalimbali ya mji, kufuatia maandamano yanayotarajiwa katika maadhimisho ya kumbukumbu ya Saba Saba.
Kulingana na BBC, polisi wameweka vizuizi katika maeneo muhimu, wakizuia magari ya...
Dah.. Boniface Kariuki, yule muuza barakoa, aliyepigwa risasi kichwani na polisi wakati wa maandamano ya Juni 17, 2025. Kulingana na msemaji wa familia, Emily Wanjira, madaktari katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta wamesema kuwa ubongo wa Kariuki umekufa (brain death), ingawa viungo vyake...
Umoja wa Mataifa umesema kuwa una wasiwasi sana na vurugu zilizotokea wakati wa maandamano nchini Kenya ambapo takriban watu 16 walifariki huku wengine wakiwa na majeraha huku wakitoa wito wa utulivu na kujizuia
Maandamano ya Jumatano yalianza kwa amani lakini yakaishia kuwa machafuko huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.