Nimetoka kutizama Documentary ikiielezea maandamano ya Kenya .
Documentary ile imeenda mbali na kukusanya ushahidi wa video kabisa ikimuonesha askari aliyehusika kumuua mwandamanaji mmoja .
Video hii itabaki milele na haki itakuja kupatikana tu . Ushauri kwa wote wanaojiona invisibles na...
"kuanzia saa tatu asubuhi niliwekwa kizuizini ndani ya gari mpaka saa moja na nusu usiku, ni tukio ambalo nalitafsiri kwamba polisi waliniteka na kuniweka kizuizini ndani ya gari mpaka saa moja nanusu usiku, hawakunieleza nimefanya kosa gani saa moja nanusu nikawaambia kama ni kunishikila kwa...
Wahenga wanasema, shetani akitaka kukusababishia majanga, kwanza lazima akupe kiburi cha kukataa kila ushauri. Kama unaumwa, kwa makusudi unakataa kwenda hospitali, kama mto umejaa maji, unaambiwa usivuke, kwa kiburi unavuka.
Kama ilikuwa ni ku-test theory, jana chadema wameona. Wana chadema...
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa...
Nimesikia waraka wa pasaka wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania.
Naomba Mungu Maaskofu Katoliki wajazwe Roho wa Mungu kama wale Maaskofu wa DRC ili watuongoze kwenye maandamano ya amani ya kudai Tume huru ya Uchaguzi.
Shura ya Maimam ya Sheikh Ponda na Baraza la Maaskofu watuongoze kwenye...
Ninafuraha sana na Tamko hili la TEC , Moja ya Tatizo kubwa la Kanisan langu SDA, ni UKIMYA .
UKIMYA hata kwenye masuala ya HAKI, DHULUMA.
TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila...
Bodaboda ni Nguzo Muhimu ya Uchumi, Si Chombo cha Maandamano
Katika jamii yetu ya sasa, waendesha bodaboda wamekuwa mhimili mkubwa wa usafirishaji, ajira, na ustawi wa kiuchumi kwa mamilioni ya Watanzania. Wakiwa na mchango mkubwa katika kutoa huduma ya usafiri mijini na vijijini, sekta hii...
Mimi nimekubali kushiriki maandamano ya CHADEMA siku ya uchaguzi lakini ni vizuri watoto wa Lissu, Lema, Slaa, Heche na Maria Sarungi wawepo kama alivyofanya Mbowe. Siyo wao wako ughaibuni warubuni watoto wa wenzao waingie ulemavu halafu wakubali maridhiano kama walivyochuuzwa vijana wa Msumbiji...
1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
amani
barabarani
bila
chadema
heshima
inawezekana
kuelekea 2025
kuzuia
lissu
maandamano
no reforms no election
siku
tundu
tundu lissu
uchaguzi
uhalisia
uwezekano
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema.
Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55,
wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema? :NoGodNo:
Mungu Ibariki Tanzania
amani
elections
kidemokrasia
kuelekea
kuelekea uchaguzi mkuu
maandamanomaandamano ya amani
mkuu
ndugu
no reform
no reform no elections
uchaguzi
uchaguzi mkuu
upande
Zimbabwe imekumbwa na hali ya taharuki kufuatia miito ya maandamano ya upinzani.
Serikali imechukua hatua kali, ikiwa ni pamoja na kukamata wanaharakati na viongozi wa upinzani, ili kuzuia maandamano hayo.
Wanaharakati 18 walifunguliwa mashtaka ya kuvuruga usalama wa umma baada ya kushiriki...
Kumbe hata Afrika wapo watu wenye mitazamo ya ki-MAGA, kama ile ya Rais Donald Trump 🤣.
Huyo mdada ukimsikiliza hoja zake dhidi ya huo uhamiaji haramu, unaweza kudhani naye ni MAGA, lakini kumbe wapi!
Yeye ni Mwafrika Kusini aliyechoshwa na uhamiaji haramu nchini humo.
Halafu kuna hii hoja ya...
Wanakumbi.
Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walikusanyika katika Federal Plaza huko NYC kupinga kukamatwa kwa ICE kwa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia Mahmoud Khalil.
=======================
Thousands of pro-Palestine protesters gathered at Federal Plaza in NYC...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limepiga marufuku wananchi kuandamana baada ya uwepo wa taarifa ya kuhamasisha maandamano inayotajwa kutolewa na Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo wakati wa mazishi ya Atugafile Mtulo (90) aliyepoteza maisha baada ya kupigwa na...
Wakuu, RC Simiyu Kenani kihongosi amewataka wachimbaji wadogo kutoshawishiwa na wanaharakati kufanya migomo na maandamano kwani wanachokitafuta wao ni ugali wa familia zao tu.
==
Wachimbaji wadogo wa migodi ya dhahabu wilayani Bariadi wameaswa kutorubuniwa kwa namna yoyote vile na wanasiasa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria kimekusudia kufanya maandamano ya amani kwenda kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kushinikiza kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa chama hicho Mkoa wa Mwanza Amani Manengelo.
Akizungumza leo Februari 18, 2025 na...
Wakuu,
Yaani kutoka TANU mpaka kufikia CCM bado wameendeleza kuweka nguvu kwenye mambo yasiyo na maana na kuacha vitu ambayo vinadidimiza taifa kwenye maendeleo ya sekta mbalimbali.
Yaani watu na akili zao walitoka barabarani kupinga vimini, wavaa vikaushi sijui na zile suruali skini za...
Maandamano makubwa yamezuka mjini Novi Sad, mji wa pili kwa ukubwa nchini Serbia, ambapo maelfu ya waandamanaji, wengi wao wakiwa wanafunzi, wamejitokeza kupinga ufisadi wa serikali na kudai uwajibikaji kufuatia kuanguka kwa paa la kituo cha reli mwezi Novemba mwaka jana, tukio lililosababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.