maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri: Uchaguzi upelekwe mbele kwa wiki moja kuepusha vuguvugu la maandamano siku ya uchaguzi

    Salaam! Tukubali, au tukatae, aliyebuni wazi la Kutangaza maandamano siku ya uchaguzi, aliwaza mbali mno, Tunaona hivi sasa Hali ya kuchanganyikiwa kimkakati Katika namna Bora ya kuzuia maandamano wakati huo huo kuondoa hofu ya watu kujitokeza kupiga kura kufanikisha zoezi la uchaguzi. Na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania sababu za Gen -Z "watoto wa 2000" kupata mafanikio kwenye maandamano nchi nyingi, Wakubwa tuache kuwadharau, wanayofanya sisi tulishindwa

    Hawa watoto wa 2000 wana moto mkali sana, wamefanya vitu ambavyo sisi wakubwa zao tumeshindwa kwa muda mrefu sana. Gen Z wakiamua lao ni ngumu kuwapooza au kuwa supress, mifano michache ni wiki chache zilizopita, Nchini Nepal wameweza kufanya mabadiliko ambayo wakubwa hawakuweza kwa miaka...
  3. Huihui2

    JamiiForums Tanzania MangeKimambi, kinara wa maandamano ya Oktoba 29 huyu hapa

    Tanzania haina wajinga na watu wenye fikra fupi na wala hawatakaa wawepo. Kama kuna mtu anadhani anaweza kukaa ughaibuni huko na kuposti mtandaoni eti wenzake waingie mtaani siku na saa fulani kuandamana kisha yeye atumiwe klipu kuposti huku akiwa anapunga upepo na kunywa sharubati basi...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini maandamano ya 29 October yatafeli vibaya sana

    MAANDAMANAO YA 29OCT YATAFELI VIBAYA MAPEMA SANA KUTOKANA NA SABABU KUU ZIFUATAZO; Anaandika, Robert Ng'apos Heriel Mtibeli 1️⃣ Ukosefu wa Miundombinu ya Kiufanisi. Maandamano makubwa yenye lengo la mabadiliko ya utawala yanahitaji: a) Kamati za mipango (planning committees) Hizi kamati...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Misime: Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki tutawatambua tu

    “Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki wasifikiri hawawezi kutambulika, watatambulika tu, Watanzania wengi ambao ni wema wanaoipigania amani watatuambia tu huyu siyo. “Tukio kama hilo lilishawahi kutolewa siku za nyuma na walitambulika na wakachukuliwa hatua.” Hiyo ni kauli ya...
  6. pulex

    JamiiForums Tanzania Group la Discord kuelekea maandamano ya amani na ya kikatiba October 29

    Kufanikisha siku ya ukombozi ya October 29 kupitia maandamano ya amani na ya kikatiba basi tujiunge na group la Discord kupitia link iliyopo hapo chini kwaajili ya kujiorganize na kupeana motisha kwani tumeona uko Nepal, Morocco na kwengine, Discord imekuwa njia rahisi na pekee ya kuaminika...
  7. Kizibo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nashauri yafuatayo kuelekea maandamano ya Oktoba 29/2025

    Haina haja ya kusalimia. Inatia hasira sana kuona watanzania hatuna la kufanya juu ya tunayofanyiwa na watawala. Kuelekea maandamano ya tarehe 29/10/2025, nashauri yafuatayo. 1 LENGO / MALENGO YA MAANDAMANO YAWE MAHUSUSI NA YANAYOPIMIKA. (Measurable goal(s) Tunaenda kuandamana ili...
  8. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali maandamano bado yapo haturudi nyuma japo kuwa mkuu wa majeshi katusaliti

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ujumbe huu uwafikie mapolisi wote Tukutane tarehe 29 10 SAYUNI BOY
  9. Septemba 6AM

    JamiiForums Tanzania Mpango wa maandamano umekamilika. Tutatoa ratiba kamili tarehe 26

    Wanaukombozi Aluta..... Kumekaribia kukucha. Tayari tumeseti mitambo sawa. Hii ni rasharasha kuelekea kulikomboa taifa. Tunauungwaji mkono kutoka watu wote muhimu wa kimkakati. Tutawashangaza! Tumewazidi maeneo muhimu ya kiintelijensia. Hawajui hatua zetu muhimu zaidi ya zile foolsstep...
  10. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kulikoni mbona maandamano Yana trend sana kuliko uchaguzi?

    Huyu aliyepanga maandamano siku ya uchaguzi nimpe maua yake Sasahivi kwenye Kampeini za uchaguzi wazungumzaji wote wanazungumzia maandamano tu. Madaraja makubwa kama Tazara,Kuta za majengo ya serikali yameanza kuchorwa SAMIA MUST GO. Hii kwangu sio good sign. Leo hii Samia ni wakuwaambia...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi Serikalini Wanataka Wananchi Mkinukishe Kwanza ili Wawaunge Mkono

    Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka. Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi. Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hata wakizima Mtandao tutawasiliana. Jinsi ya Kuwasiliana kwa Bluetooth, Kwa njia ya Mesh Network

    Tuna faida kubwa kuliko wakati wowote—ambayo ni mabadiliko ya teknolojia. Maandamano yatafanyika, hata wakizima mtandao au kuzuia SMS, bado tunaweza kujipanga na kutumiana ujumbe bila intaneti, bila Wi-Fi, bila SIM card. Leo nataka tujikite kwenye ujumbe wa nje ya mtandao (offline messaging)...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mimi siungi mkono maandamano. Huwezi kushindana na Dola. Tutavuna vifo na vilema Dola itatamalaki na TANZANIA itabaki

    Huu ni misimamo wangu siungi mkono maandamano Kwa hili nitaungana na serikali kwasababu huwezi shindana na Dola na pia ukishindana nayo wengi mtakuwa vilema na marehemu. Nashauri swala la maandamano lifuteni Hilo halipo na Mimi nitakuwa upande wa Dola.
  14. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama maandamano ndiyo njia tuliyoichagua ili kutatua matatizo yetu basi iwe hivyo hakuna haja ya kutukanana mitandaoni

    Habari, Jamii iliyostaarabika haitumii matusi na mihemko kama silaha ya mapambano dhidi ya maadui zao bali hujipanga kwa ustadi na kutafakari na kupata njia nzuri watakayotumia ili kushinda vita. Kwa sasa ni wazi watanzania waliowengi wamechagua MAANDAMANO ili kupambana na viongozi...
  15. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali imeamua kufanya promotion ya Maandamano Hamnaga Washauri huko?

    Kiufupi kuna watu wengi walikua hawajui aya Maandamano lakini ghafla serikali ikaanza kufanya promotion ya Maandamano huko hamnaga washauri tuchukueni sisi vipanga. Kuna watu wengi kiufupi walikua hawajui habari za Maandamano kabisa zaidi ya watu ambao wanafuatilia mambo yanayoendelea mitandao...
  16. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Sauti yetu kwa Haki, Mwili wetu kwa Amani

    Sauti Yetu kwa Haki, Mwili Wetu kwa Amani – Kuandamana Dhidi ya Utekaji na Mauaji Ndugu zangu wapendwa, wananchi wenzangu, watetezi wa haki na amani! Leo, tunakutana hapa si kwa uchungu tu, bali kwa azimio. Tunakutana hapa si kwa kukata tamaa, bali kwa matumaini. Tunakutana hapa kwa sababu...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Alhad Mussa: Maandamano hayatakuwepo na hakuna kijana wa kiislam atakayeshiriki katika maandamano

    Vijana wa Kiislamu mmesikia huko na mnalipi la kumwambia? =============== Vijana wa Kitanzania awawezi kujiingiza katika jambo kama hili la maandamano likawasababishia madhara, maadhara ambayo uyapigii dini yako, kujitia kilema au ukipata matatizo ni mambo ambayo ayakubaliki kwahiyo Maandamano...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Mtajigawa sana, tarehe 29, Ni heri mkae nyumbani au chukueni likizo maandamano yawe Huru

    Polisi watachagua wakazuie Ghasia au walinde haya maeneo, Maeneo yote ya Kimkakati yatakuwa hayana usimamizi kama Polisi mtajitoa kupiga watu, pia watu wenye Drones waanze kuzimodify ziweze kubeba Molotov cocktail Na kuna data za haya maeneo nchi nzima. This time haki itapiganiwa kwa njia...
  19. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni kweli kwamba Tar 29-10 watu watatoka kweli?

    Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule? Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru? Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma? Enyi watu wazima ambao mliona...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbinu za kuandamana na kuzuia maandamano tarehe 29 zinaingiliana kama ifuatavyo

    Hamjambo! 1. Wanajukwaa Ladies and gentlemen. Upande huu kulia ni waandamanaji wanajipanga. Na kushoto kwa ni Wazuia maandamano. Wote leo wataonyesha mpango kazi wao kukamilisha zoezi la tarehe 29. 2. Kwa kweli haijulikani nani ataibuka kidedea kwani mbinu ni zilezile zinaingiliana. 3. Wote...
Back
Top Bottom