maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Maelfu waandamana Marekani kupinga utawala wa Trump katika maandamano ya “No Kings”

    Oktoba 18 na 19, 2025, maelfu ya wakazi wa jimbo la Illinois, New York, Washington DC, Chicago, Miami na Los Angeles, Boston wamejitokeza mitaani kushiriki maandamano ya “No Kings” yanayofanyika kote Marekani na duniani. Maandamano haya ni sehemu ya harakati kubwa ya kupinga kile kinachoitwa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chama Cha Makini Chawaonya Watanzania Kutojihusisha na Maandamano Siku ya Uchaguzi

    Chama Cha Makini kimetoa rai kwa Watanzania kutoshabikia au kushiriki maandamano yanayohamasishwa kufanyika siku ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, na badala yake wajitokeze kwa wingi kupiga kura kisha kurejea majumbani kusubiri matokeo kwa amani. Kauli hiyo imetolewa na mgombea urais wa Jamhuri ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maandamano yakifanyika kwenye vituo vya Kura, uchaguzi unaharishwa

    Nimekaaa nikatafakari nikagundua silver spoon ya Maandamano. Tanzania bara kuna vituo vya kura 97K, hata ukipeleka Askari polisi Mmoja mmoja kila kitu unacover asilimia 50 pekee ya vituo na vingine vinakuwa havina ulinzi wala usimamizi. Polisi wakisema watumie nguvu kutawanya watu, watawanya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ijue idadi ya Polisi Nchi nzima, na kwanini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kusimamia Uchaguzi

    Taarifa ninazozitoa hapa zote ni takwimu rasmi za Serikali. Kwa nini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kulinda/Kusimania Uchaguzi na kulinda Usalama wa Raia kwa wakati mmoja. Vituo vya Kupigia kura nchi nzima vipo 99,895 ambapo Tanzania bara kuna vituo 97,348, Tanznaia nzima ina...
  5. Keynez

    JamiiForums Tanzania Duniani kote hakunaga maandamano ya hivyo

    Kabla haujasoma ninachotaka kusema, embu tuelewane kidogo. Sijawahi kuisifia wala kuitetea CCM na serikali zake. Siungi mkono vitendo vyovyote vya unyanyasaji, utekaji, mauaji na uminywaji wa haki na uhuru wa raia wa Tanzania. Baada ya kusema hayo, naomba niendelee na mada yangu ya leo. Hauwezi...
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mimi nataka mabadiliko Tanzania ila siungi mkono maandamano au mapinduzi ya kijeshi

    Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram Wako watakaopiga kura Wako wanaosupport maandamano Wako wanaopinga Wako ambao hawajajua wako upande upi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vitisho vinavyotolewa na Majeshi na wanasiasa likiwemo himizo la kulinda amani ni ishara tosha Serikali na CCM wanayaogopa Maandamano!

    CCM na Serikali inatambua Fika Maandamano ya wananchi ndio njia pekee ya wao aidha kuondoshwa madarakani au kulazimika kukubali matakwa ya wananchi ambayo hawataki kuwapa. Njia zote nyingine ikiwemo ya kukaa mezani haziwezi kuzaa matunda kwani tayari CCM wanajua namna ya kucheza ulaghai kwa...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninampongeza sana Godbless Lema kwa kuweka maslahi ya familia yake mbele na kuyakwepa maandamano haramu kijanja.

    "Niko tayari kuwekwa mahabusu kwa hiari yangu hadi kipindi cha uchaguzi kipite, kwa sababu naamini kufanya hivyo kutaleta utulivu kwa wazazi wangu, mke wangu Neema, na watoto wangu. Najua watahisi angalau faraja kwamba niko salama". Hii ni kauli ya kijanja na kuweka kwanza maslahi ya familia...
  9. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ushindi pekee wanaousubiri CCM, ni endapo maandamano hayatafanyika, lakini nalo wanajidanganya.

    Hiki kiini macho cha wanachoita uchaguzi tayri washajipitisha, kitu watakachopigia kelele ni endapo maandamano hayatafanyika, watafurahi sana na ndio itakua topic. Ila wafahamu kitu kimoja, yakifanyika au yakifanyika kwa udogo, in any way ambayo kwao wanaona ni ushindi, "the seed has been...
  10. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Ikiwa “Hakutakuwa na maandamano” kwanini kila uchao matamko yanatolewa?

    Haya matamko yanaleta taharuki maana si JWTZ, polisi, mawaziri na vyawa wameshasema hakuna maandamano? Sasa kuendelea kusema kitu ambacho hakitafanyika na hakipo kunanikosesha amani binafsi. Kwanini matamko yasikomeshwe ili sasa tujiandae na hiyo tarehe 29? Kwani kuna hofu gani wakati kitu...
  11. 100 others

    JamiiForums Tanzania FBI Wamuonya Mange kuelekea Kwenye Maandamano Washington DC Kwa Madai Anaweza Kudhurika

    Diaspora nchini USA walipanga maandamano yatakayofanyika ubalozi wa Tanzania nchini USA Washington DC tarehe 17 Oct ambayo ni kesho. Mange anasema akiwa anaelekea getini kuelekea kupanda ndege amekuta FBI wanamsubiri na kumuonya kuhusu kwenda kwenye maandamano wakidai anaweza kudhurika, amebaki...
  12. sanalii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tarehe 29 Octoba ni siku ya kuandamana au ni siku ya mwanzo ya maandamano?

    1. Sio kila Gen-z walioandamana walifanikiwa kuiondoa serikali madalakan au jeshi liliwaunga mkono. Tunaangalia tu Madagascar, Nepal au Bangladesh, lakini kuna nchi kadhaa ambazo wananchi walishindwa kuiondoa serikali. Na haijachukua siku moja, inafika hadi miezi n. K 2. Kuna nchi kama Kenya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa utiifu au kwa uoga mikoa hii ipewe tuzo ya kuwa wanynyekevu, ni nadra sana kusikia maandamano au harakati za upinzani

    Ni mikoa ambayo imetulia sana, watu wake hawana taabu, wana utiifu wa hali ya juu na nidhamu 1. IRINGA - Tukio la mwisho kusikia huko ni la Mwamwindi, tangu hapo wahehe wamekuwa na adabu na watiifu 2. TABORA - Wanyamwezi wameamua kuishi maisha yao hawana shida kwenye utiifu 3. RUVUMA -...
  14. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanaosema Maandamano ni kosa kisheria. Nakubaliana nao lakini sioni wakiambatanisha na Kifungu chochote cha Sheria cha kinacho kataza Maandamano

    Wanaosema Maandamano ni kosa kisheria jitahidi muweke na Kifungu kilichokataza maandamano. Jamani hii dunia imebadilika ukiweka kifungu kinachokataza maandamano ni rahisi kueleweka lakini maneno mtupu watu wenye akili wanabaki wanawashangaa Katiba inasemaje haki ya Maandamano? Je, kuna kifungu...
  15. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rajab Nyangasa: Wanao hamasisha maandamano ni washamba na wana Roho mbaya

    Watanzania wamechoshwa na yanaendelea ndio maana wanatafuta haki na maisha mazuri kwa njia ya maandamano. So wewe unapambania maslai yako kama wa Tanzania wanavyopambania. So na wewe acha ushamba na uchawa ============= Kada Wa Chama Cha Mapinduzi Rajab Nyangasa Akiwaonya Wanao hamasisha...
  16. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mpango katili wa Makanisa kuyaunga mkono maandamano wiki la mwisho kuelekea tarehe 29

    Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini. Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya...
  17. Troll JF

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Maandamano, Rais atakuwa Mange Kimambi?

    Hebu muwe serious jamani prominent figure ni nani ambaye mtamkabidhi nchi baada ya mama yetu msikivu, mwenye utu na asiye na makandokando kurudi Kizimkazi?
  18. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lengo la maandamano liwe kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa viongozi wabovu na mafisadi siyo kubadili wanasiasa

    Watanzania huu siyo wakati wa kufanya maandamano ili kuuuweka upinzani madarakani ila ni kuondoa uongozi mbovu na wa kifisadi unaosababaisha maisha magumu kwa wananchi huku hao wachache wakifaidi keki ya nchi hii. Katiba na mengineyo itakuja baada ya nchi hii kuwa ktk mikono salama sivyo hata...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29 tujitokeze Kwa Wingi, Maandamano yataongozwa na 'Wazalendo' kwa mujibu wa Gwajima na Tesha , Masaa 24 ya Mwanzo ndio Nuru

    Ole Kwa Wahuni na Watekaji wote , Ombeni hii siku isiwakute Tanzania !!. Mmeteka watu, mmeua watu kwa faida zenu za kisiasa na Kifisadi. Kama mlifikiri Maandamano ni Maneno ya Watanzania ya Mitandaoni ,SAFARI HIII IMEKULA MWENU.!!. Tumeamua kukubali Kufa watu 50-100 , lakini TUNAWAFURUSHA ...
  20. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Nani asiyejua Mr. Tabasamu ndiye yupo nyuma ya maandamano ya 29 October

    Twajua yote ila tunamuangalia tuu. Yeye anamkwamisha Mama yetu. Hataki aendelee. Mr. Tabasamu hatutakubali uliingize taifa hili kwenye matatizo kisa tamaa zako za kijinga. Wewe ndiye uliyeanzisha haya mambo ya wasiojulikana nani hajui hilo. Walahi tutakushangaza. Unacheka usoni alafu tukigeuka...
Back
Top Bottom