Hawa wanajitambua siyo kama bongolalalanders wetu full of gen ziro.Maelfu ya vijana wamejitokeza tena mitaani katika mji mkuu Antananarivo, wakiendelea kushinikiza serikali kushughulikia ukosefu wa maji, kukatika kwa umeme, na ufisadi. Tizama hali ilivyokuwa wakati wa makabiliano ya polisi na waandamanaji.
Tupeleke timu ya waandamanaji kuongeza nguvu kumng'oa adui.Madagascar ni ndugu zetu walitusaidia dawa za corona...
Kwanini usiandamane na wewe mkuu?Hawa wanajitambua siyo kama bongolalalanders wetu full of gen ziro.
Sisi tupo mbali tunatumia teknolojia kuandamana onlineSisi tunasubiri 29 October 😂
Nakumbuka nikicheck picha zangu za utoto nilikua big sana yaan bonge la pande la toto mashavu km yote, tutaandamana hata km hutokuepo tutaandamana kwa niaba yakoSisi tupo mbali tunatumia teknolojia kuandamana online
Hamna kitu Kama hicho huu upumbavu wenu nishauchokaNakumbuka nikicheck picha zangu za utoto nilikua big sana yaan bonge la pande la toto mashavu km yote, tutaandamana hata km hutokuepo tutaandamana kwa niaba yako
Haya pumbavu endelea upumbavu wako ambao haujauchokaHamna kitu Kama hicho huu upumbavu wenu nishauchoka