Kuna taarifa kuwa ccm wanapanga kuanza kutangaza matokeo ya uchafuzi walioufanya jana na ukafeli ili kuleta panic na kujionesha kuwa wana li control Taifa.
Tunawaomba askari wetu wapendwa JWTZ zuieni matokeo hayo feki na haramu ya huo uchafuzi kuendelewa kutangazwa nchi nzima. Iwe ya udiwani...
Hongera nyingi sana kwa askari wa JWTZ kwa ukomavu mliouonyesha kwenye maandamano ya wananchi, Mmeonyesha kweli ninyi ni Jeshi la wananchi wa Tanzania.
Hongereni sana kwa kazi iliyotukuka wananchi wameona kazi yenu nzuri!
Utangulizi
Oktoba 29, 2025 Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu katika mazingira yanayoelezwa kuwa yenye hali wasiwasi mkubwa na taharuki. Uchaguzi huu unakuja takriban mwaka mmoja baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, uliosababisha mijadala mikubwa kutokana na matukio ya...
Wakuu,
Yaani asubuhi asubuhi mshasema maandamano yamefeli? Ndio kwanza siku imeanza mbona mnatukatia tamaa mapema hivi? Hamuamini kuwa wanannchi tunaweza kuleta mabadiliko wenyewe?
VItuo si vinafunguliwa, tunaamka na kutoka na vitambulisho vyetu huko huko tunaungana barabarani, mlitaka watu...
Wakuu
Nasikia huko Mwanza walianza doria usiku wa kuamkia leo.
Yani magari tu na ving'ora vilikuwa vikisikika usiku kama video inavyoonesha
Kiukweli kabisa yani organizers wa haya maandamano wameweza kuwasumbua hawa watu
Wakuu,
Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
facebook
freedom of expression
instagram
kichwa
maandamanooktoba 2025
maandamanooktoba29
mitandao
mtandao haupatikani
mtandao kuzimwa kwenye uchaguzi
mtandao kwenye uchaguzi
nayo
signal
telegram
tiktok
uchaguzi 2025
uchaguzi mkuu 2025
uhuru wa habari
uhuru wa maoni
whatsapp
youtube
Wakuu,
Safari hii kwenye kampeni hata hawajarwmba na danganya toto za kupitisha greda kurekebisha barabara kwa muda mfupi ili watakaoenda kuwapigia kura wapite kwenye njia nzuri😂😂
Safari hii ni unyama, kiburi kiburi tu, mwingine hadi katuita mbwa huko😂😂 NIDA zinawapa kiburi kwelikweli. Utoke...
Tamko rasmi la Baraza la Vijana Chadema Taifa (BAVICHA) kuunga mkono maandamano ya vijana wa Gen Z, kesho Oktoba 29,2025.
==
Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) limeundwa kwa mujibu wa ibara ya 7.8.2 (a) ya katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya mwaka 2006 toleo la 2019...
Kesho Kutwa, Nawewe utatueleza tu.
Na hapa niwahakikishie, Wale wooooote mlohusika Kushabikia , na Matendo ya Kichawa kuanzia Wasanii mpaka Viongozi wa Ngazi zote .
Hatutakua na nafasi ya uchawa, hakutakua na nafasi yenu kujitetea.
.
Wakuu,
Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu wanaojihusisha na maandamano au wanaoelekea huko ili washughulikiwe.
Mbali na kuwakanya wamepewa na...
faustine mafwele
jumanne muliro
maandamanooktoba 2025
maandamanooktoba29
muliro na mafwele
uchaguzi 2025
uchaguzi mkuu 2025
utekaji na mauaji
utekaji tanzania
watu wasiojulikana
Wakuu,
Hiki ndicho kinaendelea wakati huu, ukionekana umevaa gwanda za CHADEMA au unajisogoze sogeza na kuwa na viashiria vya kuwa mwana CHADEMA unadakwa chap, wanakutia selo, ndugu zako wanaambiwa hutoki mpaka uchaguzi uishe, hivyo wajipange tu kukuletea chakula na mahitaji muhimu...
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Queen Darlin amesema laiti Mungu angempa uongozi basi wale wanaopanga kujiandaa Oktoba 29, 2025 angewakata kata na kuwavunja miguu akidai Rais Samia ametekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miradi ya maji na viwanda
Wananchi wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro wamepinga wito wa kufanya maandamano tarehe 29 Oktoba, wakisisitiza kuwa wanataka kudumisha amani na utulivu katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu.
Wakizungumza wakati wa kampeni za Mgombea Ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt...
Wakuu,
Shabiki hiyo anayefahamika kwa jina la Abaissa Georgina (KE) alikuwa amevaa jezi yenye maneno "I LOVE LISSU" mgongoni, alipokuwa anaingia uwanjani akiwa ameongozana na ndugu zake kuangalia mechi ya Simba dhidi ya Nsingizini leo Oktoba 26, 2025.
Wakati anaingia uwanjani alikamatwa na...
Wakuu Kwa mara ya kwanza Tanzania inaendan kushuhudia Tukio kubwa na zitoooo na ambalo halikuwahi kutokea !!.
Walikua wanasema, óhooo Watanzania ni waoga, ohoooo watanzania ni lojolojo.
Nipende kuwaambia, IMEKULA kwenu This Time, na bahati nzuri kama ambavyo Mungu si Mwanadamu , Tumefanikiwa...
Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wanawake wa Kiislamu Tanzania (JUWAKITA), Mariam Mtambo, amesema wanawake katika jamii ni kundi kubwa ambalo lina nguvu ya kuamua au kutoamua juu ya ufanyikaji wa maandamano, akiwataka wanajamii kujitokeza kupiga kura ili kuchagua viongozi wanaowataka badala ya kufanya...
Wakuu wa Jf nawasalimu na poleni kwa Majukumu ya kila siku.
Kwanza kabisa moyo wangu uko na upweke kwa mambo yanayoendelea Nchini kipindi hiki cha uchaguzi binafsi sipendezwi na kwa kiasi mpka nakufuru Mungu kwamba hayupo na kama angekuwepo basi angeweza zuia haya yanayoendelea Nchini kwetu...
Tarehe 29.10.2025 siku ya Jumatano ni siku muhimu sana katika Taifa letu, ambapo Watanzania watatekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Viongozi watakao waongoza katika nafasi ya Urais, Wabunge na
Madiwani.
Jeshi la Polisi kupitia taarifa hii, lingependa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.