Salam Wakuu,
Hali imezidi kuwa mbaya nchini aisee! Yaani kila siku wanatekwa watu wawili, tumekuwa nchi ya ajabu sana! Na hawa ni wale wanaorekodiwa, halafu kuna wale ambao wanapotea kimyakimya taarifa hazifiki mtandaoni!
Tuendelee kuchukua tahadhari na kujilinda huku tukikosoa yanayofanyika...
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ametoa onyo kali kupitia comment yake Instagram dhidi ya mwananchi aliyeahidi kuandamana wilayani humo.
Kupitia comment yake Instagramo kwenye post ya operesheni ya kuteketeza mashamba ya bangi katika maeneo ya mpakani mwa Kisarawe, Mafizi, Dololo na...
Mgombea Ubunge jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu amewahimiza wafanyabiashara kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29 akihimiza kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika siku hiyo hayatofanyika kwani hawana ubavu huo.
Wakuu,
Jamaa kaelezea kwa lugha rahisi huku ukiwa unaona jinsi watu wanavyoweza kukudaka ukiwa umeachia sehemu ya location kutumika kwenye mtandao Instagram. Fuata maelekezo, jilinde.
Mbali na hili, tofauti na biashara acha kupenda kupost maeneo unayopenda kutembelea au unapopoa mara kwa...
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Aman Golugwa akiongea na Wanahabari leo Oktoba 07, 2025 nje ya Mahakama Kuu kanda ya Dar Es Salaam amewasihi wananchi na wananchama wa chama hicho kujitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wao wa Taifa, Tundu Lissu.
Sambamba na hilo Golugwa awaonyesha...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amewataka Watanzania kupuuza taarifa zilizotolewa jana Oktoba 4, na mtu aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), aliyetoa wito wa jeshi kuchukua hatua dhidi ya Serikali.
"Nilimuona ana ndevu...
Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wamesema wako tayari kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, wakijitenga na ushawishi wa mitandaoni unaotaka kuwapotosha kwa maandamano au kutoshiriki kupiga kura. Wamesisitiza kuwa wanatambua vyema umuhimu wa amani na athari za vurugu...
Kama upo karibu na Ofisi yeyote ya CCM iwe ya Mtaa, Kata au Wilaya kazi kubwa ni kuhakikisha hiyo Ofisi inafutika
Kama upo jirani na Kiongozi yeyote wa CCM kazi iliyobaki ni kuhakikisha nyumba yake inafutika
Kama upo jirani na Ofisi za Taasisi zinazojulikana kwa kukandamiza raia kama Mahakama...
Unajua kuna jambo silielewi. Haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana kila sehemu hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu
Ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee
Naomba tueleweshane kwa watu kama sisi tusio...
Wakuu,
Wananchi mmeoana vile nguvu yenu inayoweza kufanya! Kidogo tu wametema bungo, Murilo anaongea kistaarabu kama anaongea na wananchi wa Tanzania😂🤣🤣. Raia hawakuogopa kitu jana, polisi hata baada ya kupiga risasi moja juu, walijua nini kinaenda kutokea baada ya raia kudinda, wameona...
Wakuu,
Hii inashangaza! Chalamila alipoenda kutembelea mwendokasi jana Oktoba 1 asubuhi media zote zilipost,na uchawa wa kutosha kwenye maigizo na maagizo yaliyotolewa! Sawa, walitimiza wajibu wao, wananchi tukahabarika.
Mambo yakageuka wananchi walipogomea mwendokasi na kufanya vurugu...
Kutokana na kero ya usafiri na uhaba wa mabasi ya mwendo kasi, wananchi wenye hasira kali wamevamia ofsi za tiketi na mabasi ya mwendo kasi na kuanza kupasua vioo na kuumiza wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Fujo zimezuka usiku huu, polisi Bado hawajafika
Wanasiasa endeleeni kujidanganya ati...
Mzee Paulo Twaakyondo wa mkoani Tanga, ambaye ni mwalimu mstaafu anasema wanaofikiria kufanya vurugu kwenye Uchaguzi Mkuu ujao hawatoweza, kwani amani ya nchi ndio kipaumbele cha kwanza.
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu...
Wakuu,
Binti huyu anayefahamika kwa jina la Frida Mikoroti, amekuwa akikosoa kampeni za uchaguzi mkuu zinazoendelea wakati huu kupitia kurasa za mitandao yake ya kijamii, akiwachana CCM kutokuwa na mpinzani wa kweli lakini pia kutoa ahadi za kipuuzi katika mambo ambayo walipaswa kuwa...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Gombo, amewatahadharisha wale wanaohamasisha maandamano siku ya kupiga kura, Oktoba 29, 2025, akisema nia yao ni kuichafua Tanzania huku wao wakiwa salama nchi za nje
Gombo ametoa kauli hiyo leo, Jumamosi...
Wakuu salam,
Vuguvugu la maandamano lilianza miezi michache iliyopita baada ya CHADEMA kuja na kampeni ya "No Reforms, No Reforms" huku Lissu akisema watawashawishi watanzania waingie barabarani siku ya uchaguzi na kupinga uchaguzi huo kufanyika mpaka pale mabadiliko ya sheria na katiba...
ccm
kushiriki uchaguzi 2025
maandamanooktoba 2025
maandamanooktoba29
rushwa uchaguzi 2025
uchaguzi 2025
uchaguzi vs maandamano
wananchi kushiriki kuchaguzi
Huyu Faris amerudia kauli zake za vitisho baada ya kusema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie amerudia tena kwa Watu waliopanga kuandamana Oktoba 29
=
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, amewasihi na kuendelea kuwaomba wananchi wa mkoa wa Kagera kujitokeza kwa wingi...
Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv na Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Sunday Manara amewajibu wanaomsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na Vijana wanaoshinikiza kufanya maandamano kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.
Soma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.