Kabla ya October 29 2025 yani sifa na ngonjera zilikuwa nyingi mpaka na nyimbo.
Ila tokea hapo naona idadi kila kukicha inazidi kupungua.
Hivi mshajiuliza mpaka anaamua kutumia pesa walazimishe kuwa anapendwa.
Kila kukicha kama anaanza kushtuka au wao ndo shaanza kushtuka.
Wakuu;
Ukitoa lile la Maraidhiano ambalo Serikali na CCM wameamua kulibeba na kutumia chawa na kupe wao kusambaza, haya ni mambo mengine manne ambayo wakiyafanya na baada ya Marekani kuthibitisha kuwa kweli yamefanyika ndio wataondoa vikwazo vyao na kuendelea kushirikiana na Tanzania...
(1)...
Wakuu,
Script ni ile ile yaani, serikali ikivurunda badala ya kutafuta njia ya kutatua tatizo yenyewe ndio kwanza inamwagia Petroli kwenye moto!
Bado Tanzania wana machungu juu ya kilichotokea, upande wa Magharibi wanaendelea kutupiga nyundo kila siku, serikali na CCM wako bize kulipa online...
Yericko Nyerere amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuwa macho na viashiria vya maandamano anayodai yanaweza kuwa na mpango wa kuhatarisha amani.
Kupitia mtandao wa X, Yericko amedai kuwa maandamano hayo si ya kawaida ya kikatiba na kuhusisha harakati hizo na mpango wa kisiasa unaoweza...
Watanzania tuache drama na kushabikia hadithi za watawala kwamba maandamano ya October 29 yaliratibiwa na kufadhiliwa na wanaharakati. Hizo ni propoganda za viongozi kutaka kukuza kitu ambacho wanajua si kweli.
Kama tutasema wanaharakati kama kina Mange Kimambi na wengineo waliratibu haya...
Akiongea hivi punde kupitia Podcast ya 'Royal" mwandishi nguli wa habari nchini Tanzania Pascal Mayalla, kasema watu waliouliwa Oktoba 29 kama walikuwa wanaandamana, waliuliwa kwa sababu vyombo vya dola vilikuwa havina namna, risasi za moto zilitumika kutuliza zile vurugu.
Pascal Mayalla
"Na...
Wakuu,
Tulijua Balile umeshanunuliwa ila hii ni moto wa kuotea mbali, mbali na kutusaliti sisi umejisaliti hadi wewe mwenyewe, yaani unasaliti hata kile ulichoamua kukisimamia na kukipigania, unasaliti hata kile kinachokufanya uonekane mtu mbele ya watu, ukiondoa the fact kwamba wewe ni...
Maandamano ya Oktoba 29 yalizuka kutokana na kero za muda mrefu za wananchi kama vile madai ya demokrasia halisi na katiba mpya, hali ngumu ya kiuchumi ikiwemo kupanda kwa gharama ya maisha, pamoja na kuoza kwa maadili ya kijamii.
Hata hivyo, kero hizi halisi zilitumiwa vibaya na wanasiasa na...
Wakuu,
Haki nacheka kama mazuri:BearLaugh::BearLaugh::KEKWlaugh:, mara hii mmeshasahau yote yaliyotokea? Aaah bana mbona mnataka kutupa mpira mapema hivi?
Sasa hivi mtakuwa mnalia na kusaga meno huko mliko, yaani wote ambao mngewaangushia lawama mliwapiga ban, sasa hakuna mtu wa kumtupia...
Dkt. Ayub Rioba Chacha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Shirika La Utangazaji Tanzania (TBC) anaelezea umuhimu wa kuilinda Amani ya taifa letu kwetu sisi kama Vijana.
Soma Pia: Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?
Akitolea mfano yalitokea Oktoba 29, amesema...
Wakuu,
Njia iliyobaki kwa Rais Samia kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi kutokana na mauaji ya Oktoba 29, ni kuangusha lawama zote kwa vyombo vya ulinzi, kisha apishe kiti kuruhusu uchaguzi mwingine kufanyika.
Aseme vyombo vya ulinzi vilitenda mauaji yale kwa order zao, either kwa...
Wakuu,
Ni miezi mitatu sasa (siku 92 tukiwa precise) toka Samia afanye uteuzi wa Tume ya Kuchunguza 'matukio' ya Oktoba 29, 2025, akisema hajui kwanini tuliandamana kugomea uchaguzi, wa kina nani waliua watu vile na kwa amri ya nani :BearLaugh::BearLaugh: Dunia ina mambo, anyhu....
Hii...
Waziri wa Mambo ya Nje, Mohamed Thabit Kombo, amesema "Viongozi wa Afrika wamempa moyo Rais Samia kwa yaliyotokea oktoba 29, na wamempongeza kwa ushindi Mnono alioupata kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 29"
Aidha, amesema Vurugu za Oktoba 29 wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania zimejadiliwa kwenye...
Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisani kwake ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne.
Askofu Gwajima pamoja na muumini huyo pia wanaeleza alipigwa risasi lakini hakuwa kwenye maandamano bali alikuwa...
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Njombe, Beatrece Malekela, Januari 24, 2026 wakati wa kikao cha Baraza la UWT Wilaya, amesema;
"Wako wapendwa wetu wengi walipoteza Maisha kwenye vurugu zile zilizojitokeza Oktoba 29, Lakini Kwenye Vurugu hapokosi bahati mbaya, Vijana wetu walikosea lakini kama...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga mkoani Kagera, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, amesema kuna watu na makundi katika jamii ya leo yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja, akifananisha tabia hiyo na akina Herode waliokataa kumpokea Yesu Kristo, Mfalme...
Wakuu,
Jaji Chande na Tume yake wanapata wapi hii nguvu ya kuonya wakati polisi walituambia tufute video na picha zote tulizokuwanazo kwenye simu? Tulikuwa tunashushwa kwenye magari wanafanya ukaguzi kwenye simu za watu na kufuta video/picha walizokutana nazo, sasa hili onyo linatoka wapi...
Akizungumza kuhusu suala hilo, Warioba amesema tathmini ya matumizi ya nguvu inapaswa kuangaliwa kwa uhalisia, hususan kwa kuzingatia idadi ya vifo vilivyotokea. Ameeleza kuwa maandamano yamesababisha vifo vingi, jambo linalozua maswali kuhusu aina ya maandalizi yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi...
Wanadai kuna Polisi waliouwawa katika vurugu za Oct 29. Kitu cha ajabu hatujaona wala kusikia serikali na CCM wakitoa mkono wa pole kwa marehemu hao.
Pia kuna wananchi kibao wamefariki katika vurugu za Oct 29. Baadhi yao walikuwa mashabiki wakubwa wa Rais Samia na CCM. Mfano mzuri ni Sharifu...
Shirika la kimataifa linaloshughulikia haki za binadamu la Amnesty International, limetoa ripoti yake inayothibitisha kwamba, vyombo vya usalama vya Tanzania vilitumia nguvu zisizohitajika au kupita kiasi katika kudhibiti maandamano ya uchaguzi kati ya tarehe 29 Oktoba na 3 Novemba 2025.
...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.