Wakuu,
Kumekuwa na hizi assumption kutoka pande mbalimbali kwamba Samia yupo tu kama geresha na nyuma yake ndio kuna mtu ambaye hasaaa ameshika usukani na kuamrisha kete zipelekwe kule ambako anataka yeye zifike!
Hivi ni kwanini tunafikiria haya, kwanini tunaona kama Samia hawezi kuwa...
Oktoba 29 dhumuni ni lile lile Watanzania walilo jiwekea: Bila ya Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi.
Sasa kwa nini tuanze tena kutafuta visababu vya kupotezeana akili? Maandamano nchi nzima ni nyenzo muhimu ya kuzuia uchafuzi huo aliojipangia Samia na Genge lake ili abaki madarakani kwa nguvu.
Kwa...
Vyombo vya Usalama mkoa wa Tabora vimemkamata na kumshikilia mwanaume mmoja kwa makosa ya kuhamasisha watu wasishiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu, akidaiwa kuandika maneno yenye nia hiyo kwenye nyumba za watu, ambapo Mkuu wa Mkoa huo Paulo Chacha ametoa tamko rasmi la kuanza oparesheni...
GT
Kikishanuka impact ni kubwa sana hata kama Samia hatatoka madarakani lakini lazima kuna mambo itamlazimu kufanya kukidhi matakwa ya wandamanaji.
Hakuna maandamo yataisha bila kutekelezwa kwa baadhi ya mambo, na jambo kubwa kuliko lote nchi ikilipuka kwa maandamo hakuna wa kuzuia hata hao...
Wakuu,
Hapa hata kama unakuwa huelewi matamko makubwa makubwa, sijui maandiko marefu, hapa unaelewa! Ujumbe unafikishwa kama utani lakini ndio umefika hivyo, na unakaa akilini vizuri.
Kama wanavyotumia sanaa kuhamasisha watu kuachana na maandamano, amani bila haki, na propaganda za kipuuzi...
Wakuu,
Kwani jamaa kasema uongo hapa Wakuu? Jezi za Simba zilizoandikwa MO 29 maana yake ni
M - Maandamano
O - October
29 - Hii haitaji hata tafsiri inajieleza, siku ya tar 29 ndio yenyewe!
Simba wameupiga mwingi kuhakikisha Watanzania hata wa Nanjilinji wanapata taarifa kuhusu maandano...
Mgombea Udiwani wa Kata ya Jangwani, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nassibu Hassan Kitabu, ametoa wito kwa wananchi wa kata hiyo kutoogopa vitisho vinavyoenezwa na baadhi ya watu wanaopanga kuzuia Uchaguzi Mkuu kupitia maandamano.
Akizungumza...
Msanii wa muziki wa Hip Hop Selemani Msindi maarufu Afande Sele amesema kundi la watu wanaotaka kuandamana siku ya Oktoba 29 wana hoja zenye nguvu,mashiko na hoja za msingi na huwezi kuzipuuza lakini zimekuja katika wakati ambao sio sahihi, amesema hata CCM katika ilani yao wana kipengele cha...
Mgombea Ubunge wa Biharamulo Mhandisi Ezra Chiwelesa amesema kuandamana siku ya kupiga kura ni kosa kisheria maana huko ni kuzuia uchaguzi na pia jambo hilo litafanya kuwanyima wengine haki ya Msingi ya Kupiga Kura.
Watanzania wamechoshwa na yanaendelea ndio maana wanatafuta haki na maisha mazuri kwa njia ya maandamano.
So wewe unapambania maslai yako kama wa Tanzania wanavyopambania. So na wewe acha ushamba na uchawa
=============
Kada Wa Chama Cha Mapinduzi Rajab Nyangasa Akiwaonya Wanao hamasisha...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kumekuwepo na baadhi ya maandiko mbalimbali mtandaoni kuwa Vijana na Makada wa Vyama vya siasa wanahamasisha maandamano siku ya Uchaguzi Mkuu Octoba 29, 2025 ambapo amewaonya wanaotaka kujaribu kufanya vitendo hivyo kwani hawatofanikiwa.
Chalamila ameyasema...
Wakuu,
Ikiwa zimebaki siku 15 Watanzania tuamue jinsi tutakavyosonga mbele, bado hakuna anayeweza kusema kwa 95% kuwa jambo fulani ndio litajiri. Wanaoingia kwenye uchaguzi hawana uhakika, kwa upande mwingine mwanga unaonekana ila bado pia kusema kwa for sure jambo litakuwa hivi.
ile tar 29...
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Nchini (FEMATA), John Bina, amemwomba mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, kuchukua hatua dhidi ya watu wanaodaiwa kupanga maandamano Oktoba 29, 2025, siku ya Uchaguzi Mkuu.
Bina ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 13...
Wiki iliyopita nilileta mada kuhusu matumaini hewa waliyojipa watu kutokana na ile video ya mtu aliyejiita Kapteni Tesha.
As time passes by, those sentiments will age like fine wine.
On the contrary, the sentiments of those who ridiculed me, dismissed me, abused me, etc., are aging like...
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni leo Oktoba 12, 2025, Runzewe, Mkoa wa Geita amesema;
"Nchi inayoitwa JMT iko moja peke yake, na toka nchi hii imeundwa tumepigana vita moja tu na Idi Amin na kwasababu...
Mgombea ubunge viti maalum kupitia CCM, Regina Henry Mikenze, akiwa kwenye kampeni Bukombe, Geita, leo Oktoba 12, 2025, amesema: "Serikali ya Samia imewekeza sana kwa vijana; iwaje leo wakalipize kwa kufanya vurugu katika nchi. Naomba niongee na vijana Wanawake wa Mkoa wa Geita, tunawaomba...
"Sisi Tunakula Sadaka, Maisha Yetu ni Sadaka”
Mtumishi wa Mungu Mchungaji Victoria Joseph wa Life Center International Bible College pamoja na wengine wamesema kuwa wao kama viongozi wa dini, endapo amani itatoweka kutokana na kelele za mitandaoni, watakosa sadaka.
Wakizungumza na waandishi wa...
Wakuu,
Safari hii polisi karibu kila siku wanaonekana barabarani wakifanya 'mazoezi' na kujiweka fiti, yote haya ni kujiandaa kukabiliana na wananchi watakaoandamana siku hiyo, pamoja na kuwatisha ofkoz, kuwa msisubutu kwani tutakuwepo barabarani kuwakabili.
Wakati polisi wakiendelea na...
DODOMA: MAKAMU Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Peter Mavunde, amewasihi Watanzania kudumisha amani na utulivu wa taifa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Ametoa rai hiyo Jijini Dodoma wakati taasisi hiyo ilipotembelea miradi ya kimkakati inayotekelezwa na...
Siku Ya Kiama ikifika tutashughudia mengi. Nyumba za ibada zimegeuka sehemu za kuongea vitu havihusiani na dini huu ni mtihanii watu tunaowategemea kutunyoosha tufate njia ya Allah ndo kwanza hawaeleweki
kinachonisikitisha ni mambo ya siasa kuyaingiza kwenye udini hao wanaoandamana ni pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.