maandamano oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikosi cha Askari 320 wasio na sare wamesambazwa nchi nzima kukamata wanaopinga serikali

    Huu ujinga sana wanaoleta sasa Hawana sare Hawana magari maalumu wana landruiser kadhaa ambazo hazina plate number wanatembea na plate Nunber mbali mbali na spana wana funga wanapotaka kukamata mtu! Wana pesa bajet maalumu wamepewa na kitengo cha upelelezi Nchi imeoza badala wakamate...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais NLD, Doyo: Watanzania msithubutu kuandamana mtachafua nchi

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo amewasihi Watanzania kufanya uchaguzi kwa amani na kutoshiriki maandamano. "Nchi inapokuwa na watu welevu, inakuwa na kelele. Rai yangu kwa Watanzania wasithubutu kutoka kuandamana; watachafua nchi."
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Steve Nyerere: Vijana wasithubutu kuandamana Oktoba 29

    Steve amesema vijana kwanza wasithubutu kwenda kuandamana/kutoka kwa sababu hili taifa ni lao, taifa alimtazami mzee bali linamtazama kijana wa leo anaenda kushika hatam kwenye taifa hili. Hatam ya kulinda heshima, na kulinda usalama na kulinda Tanzania. Huyu jamaa yeye ni mnufaika wa mfumo...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gen Z waamka na ratiba mpya ya maandamano Oktoba 29

  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Oktoba 29 mkapige Kura hakutakuwa na vurugu yoyote

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wasimamizi wa uchaguzi kuhakikisha zoezi la upigaji kura linakuwa la wazi kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi mkuu. "Ninajua watu wanahofu na uchaguzi, wengine wanauliza tukikupa kura hawa watu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kawaida: Wenzetu wamekubali kushindwa ndo maana wanapanga Maandamano, tuhamasishane Oktoba 29 tukatiki

    Akizungumza wakati akifunga kampeni katika Jimbo la Makunduchi ambapo Mkutano huo uLIfanyika katika uwanja wa Muungoni Mkoa wa Kusini Unguja, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Cde. Kawaida amewataka wananchi wa Makunduchi na Watanzania kwa ujumla kuendelea...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Maandamano hayana afya kwasababu hayatoi suluhisho Bora Kwa taifa

    Mfano mkifanya maandamano then what? and what next ? Naomba mnijibu haya maswali! Nashauri uchaguzi kwanza then yafwate maoni ambayo yatabeba hisia za waandamanaji. Madingi ya Mbinguni
  8. Richard

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kufanya maandamano kwa mpango wa GenZ, vyombo vya usalama vimedhibiti njia za mawasiliano na wafanya "Phone Tracking" kukamata watu

    Nimeeleza kwenye moja ya mada za Britannica namna vyombo vya usalama vinavyofuatilia na kuteka watu wasipatikane kwa muda au hadi uchaguzi utakapokamilika. Mimi soma profile yangu nipo kama mchambuzi fulani hivi lakini baada ya kuona mambo fulani hivi imebidi niingie in details kuongea na Gen Z...
  9. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACP John Imori: Maandamano bila kibali ni haramu na hili ndilo Tishio kubwa kabla ya Uchaguzi

    "Wale wanaotamani kuingia barabarani nawakataza, wasithubutu, ni marufuku, wasitoke mtu hata mmoja sababu maandamo bila kibali ni haramu" ACP John Imori.
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kimedani; Wiki hii ndio ingekuwa wiki muhimu ya mashambulizi makali kwa waliopanga maandamano. Zile super sub hii ndio ingekuwa wiki yao

    KIMEDANI; WIKI HII NDIO INGEKUWA WIKI MUHIMU YA MASHAMBULIZI MAKALI KWA WALIOPANGA MAANDAMANO. ZILE SUPER SUB HII NDIO INGEKUWA WIKI YAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kwenye mapambano yoyote silaha na ujuzi ni muhimu lakini kama utashindwa kujua wakati sahihi wa kumshambulia adui basi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukifeli kujipanga, jiandae kufeli, Hayo maandamano ya 29 Oktoba yatafeli sana, hadi sasa maandamano hayana magroup rasmi, sehemu za makutano, n.k

    Lets be real and logical, kinavunwa kilichopandwa, matokeo bila planning ni sawa na kupanda mbegu ya maboga usubiri mavuno ya mchele, Hadi sasa nje ya Instagram, X na matangazo katika kuta za mitaani yaliyowekwa usiku wa manane, kuna cha ziada ? Hakuna magroup rasmi ya kujipanga katika ngazi...
  12. October 2pm

    JamiiForums Tanzania GE2025 Siku nne zijazo kuna viongozi wawili watatoa kauli ngumu sana

    Kiongozi mmoja ni wadini. Yule mwingine wa kisiasa. Wapo mbioni kutoa kauli ngumu ya kuunga mkono maandamano. Kiongozi huyu atajitokeza yeye na uongozi wake. Akiwashawishi waumini wake na madhehebu ya kikristo kuyaunga mkono maandamano. Kwa sasa yupo mafichoni hukohuko Dar pembezoni mwa...
  13. Keynez

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mange Kimambi anaweza kuwa ni "Double agent" anayewasaidia anaowasema 'vibaya' kila siku

    Wiki kadhaa zilizopita niliwataja Mange Kimambi, Humphrey Polepole na Luhaga Mpina kama watu ambao sijaamini dhamira ya maneno na matendo yao ya kisiasa. Haya maneno niliyasema siku kadhaa kabla taarifa za kupotea kwa Polepole hazijatoka. Niliwahi kusema master plan ya siasa za CCM ni kuwa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mimi ndio Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, Oktoba 29 maandamano pekee yatakayotokea ni ya kwenda kupiga kura

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wafuasi wa chama hiko kujitokeza kupiga kura siku ya Oktoba 29, 2025, na kuwahakikishia kuwa hakutakuwa na maandamano zaidi ya maandamano ya kwenda vituoni kupiga kura. "Niwahakikishie tarehe 29...
  15. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi wanaelewa hata maana ya maandamano, 'Malaigwanani wakemea maandamano ya Oktoba 29'

    Viongozi wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, maarufu kama Malaigwanani, wametoa tamko rasmi la kuunga mkono kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, huku wakipinga vikali wito wa maandamano unaosambazwa katika maeneo mbalimbali nchini. Tamko hilo limetolewa katika eneo la Donyomorwak...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa nini sitapiga kura Octoba 29 hizi hapa ndiyo sababu zangu

    GT Ivi unaanzaje kupoteza mda kwenda kumchagua Samia.Wenye mtindio wa ubongo pekee ndiyo watapiga kura 1.Kauza Bandari na Rasilimali zingine nyingi tu 2.Kafukuza wamasai Ngorongoro kwa uonevu mkubwa. 3. Deni la Taifa Tr107 bila maendleo ya kuonekana 4. Muuaji na mtesaji.Mkubwa huyu hana...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee Mpili: Wanaotaka kufanya maandamano wanatafuta matatizo

    Shabiki wa Klabu ya Yanga, Mzee Mpili amesema kuwa wanaotaka kuandamana Oct 29,2025 wanatafuta Matatizo Mzee Mpili ameyasema hayo Leo Oktoba 20,2025 katika uwanja wa Ujamaa Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani Kwenye Mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 ya Mgombea wa kiti...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Alhad: Kijana usishawishike kuharibu nchi yako maandamano siku ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salum amewataka vijana kutokubali kushawishika kuiharibu nchi yao kwa kufanya vitu visivyofaa kama maandamano siku ya uchaguzi.
  19. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mama Ramso: Yapata wiki mbili sasa wananizungusha tu lakini mwanangu sijamuona. Naomba mnisaidie apatikane

    Ramso ni msanii wa vichekesho na mtoto wa pekee kwa mama yake, ambaye inasemekana ametekwa na watu wasiojulikana baada ya kuposti video akimtaka Rais Samia ajiuzulu kwani hakuna anayemtaka. Mama yake ametoka hadharani kuomba msaada wa mwanaye kupatikana ikiwa ni wiki mbili toka mwanaye...
  20. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watanzania msifanywe wajinga shtukeni

    Maandamano yanayotaka kufanyika sio ya Mange Kimambi, CHADEMA, Kigogo, Sativa wala Recho Dangwa bali maandamano haya ni kwa ajili ya kuweka sawa baadhi ya mambo kwenye nchi yetu ambayo kuna baadhi ya watu wachache wanaona wenyewe ndo Wana haki pekee ya kufanya Jambo lolote ambalo wanajisikia...
Back
Top Bottom