rajiih
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 500
- 759
Wakuu wa Jf nawasalimu na poleni kwa Majukumu ya kila siku.
Kwanza kabisa moyo wangu uko na upweke kwa mambo yanayoendelea Nchini kipindi hiki cha uchaguzi binafsi sipendezwi na kwa kiasi mpka nakufuru Mungu kwamba hayupo na kama angekuwepo basi angeweza zuia haya yanayoendelea Nchini kwetu.
Mambo yanayoendelea ni mengi sana na wengi sana mpka sasa anaamua kwamba date 29 atoke na kuishinikiza serikali kwa mambo inayoyafanya na kuilazimu itoke mamlakani, Sasa basi kwa kufuatilia kwangu muda mrefu namna uratibu wa Maandamano ya date 29 nmegundua kuwa hili ni vuguvugu tu la Kimtandao kwa watu wachache na Watanzania wengi hawako tayari kwa Maandamano kwa misingi hii.
1. Hakuna tangazo rasmi la wapii kituo kikuu cha makutano ambapo wananchi wajitokeze ili kuanza rasmi Safari ya uelekeo husika.
2. Hakuna lengo kuu la Waandamanaji kwamba tutaanzia Taifa na uelekeo utakua posta zilipo Taasisi za serikali ili kuyapa Mkazo maandamano na CCM ipate wakati mgumu na hata kuachia Mamlaka.
3. Mabango na vipeperushi vya Kuonekana kweli ni Mandamano ya Amani ili vyombo vya Usalama vipate huruma na wananchi watakao ingia barabarani kuwa wana haki ya Msingi na Masualaa yanayoangaziwa na wananchi nawao pia yanawagusa Moja kwa Moja hivyo tukajikuta nao tunawashawishi na kuwatoa Chuki walizopandikizwa na Watawala dhidi ya wananchi wanaotaka kuandamana. Mfano kama ilivyo sasa Jeshi la polisi limekuwa likitoa vitisho dhidi ya raia atakae leta fujo siku hiyo.
Mwisho ni kuwakumbusha tu kwamba Jeshi la polisi na wao ni Raia kama sisi na wanapitia magumu kama sisi hivyo kukiwa na Utaratibu maalumu Mungu mwema inshallaah tutashinda katika Haki.
NAWASILISHA.....