maandamano oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania SWALI: Vijana waliokuwa wakikata vidole watu , kuua askari, kuiba mali na kuharibu mali na miundombinu ya umma wangetulizwa kwa fimbo?

    Tuweke ushabiki pembeni. Wapo wanasiasa wanaotaka kukuza umaarufu wao au kupata credits kwa matukio . Hawa mara zote huangalia upande mmoja tu. Wapo viongozi wa dini ambao waliapa kuwa Samia hatakuwa Rais mara ya pili. Wapo wengine kama vile Polepole and so hawana shida na CCM wala michezo...
  2. Agent-47

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video yaibuliwa ikionyesha miili ya watu waliouawa wakati wa maandano ikiwa imetapakaa mochwari ya Hospitali ya Mwananyamala

    Kwa mujibu wa chanzo hiko hapo ni mortuary ya mwananyamala. Ni maelezo ya namna gani yanaweza kukubalika juu ya tukio kama hili? HAKUNA. ============== Ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii. Anasema kuwa...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Walishatumia kila aina ya vitisho, hakuna cha kuogopa tena

    Ndugu zangu naendelea Kuwakumbusha, Kila Mmoja anao wajibu, DEC 9 asionekane MTU kubakia nyuma. Ni kwanini Ubaki wakati Umeuliwa Dada,Kaka ,Mama, Mjomba, Baba, Mpenzi ,Mume ,mtoto, Babu??? Kwann Ubaki???? Tutatoka wote Kwa Wingi wetu,alafu maandamanao ya Dec 9 YATAKUJA tofauti kabisaaa .
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Sisi wazazi wenu tungefanya mliyofanya nchi hii isingekuwa na neema kama sasa

    Ila Samia anazidi kuongezea watu hasira tu, kwahiyo wazazi wao walitoa polisi nje kuua watoto wao? Ndio anahalalisha yaliyotokea kwa kusema mkubwa hakosei? Rais Samia kasema kama wao wazazi wangefanya waliyofanya vijana (maandamano) basi nchi hii isingekuwa na neema. Amewaambia vijana...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia aliongoza Bunge kusimama kwa dakika 1 kuwaombea waliofariki kwenye vurugu siku ya uchaguzi

    Rais Samia awaambia wabungge na waliohudhuria bunggeni kusimama kwa dk 1 kuwaombea wote waliopeta maisha, waliojeruhiwa wapone haraka, na pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kipindi hiko. Akisema yeye binafsi ameumia sana. Amessma serikali imeunda tume kuchunguza kilichofanyika, akisema...
  6. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huko BAKWATA kama ilivyokuwa CCM nako hakuna mwenye akili akashauri vizuri? Waandamanaji ndio wamesababisha mauaji na sio Polisi?

    Yaani sasa hivi kila ukiingia mtandaoni unapigana na hisia zako usije kupata presha kwa hasira! Aaaaaa! Wazee kabisa ambao vijana wanategemea muwe na busara kushauri mambo vizuri mnajitokeza kuongea upuuzi bila soni hata kidogo usoni! Pia soma PostGE2025 - BAKWATA na taasisi za kiislamu...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Siri imevuja: Genge la watekaji na wauaji walichoma vituo vya mafuta na Mabasi ili kuchafua Sura ya Maandamano ya Taifa

    Hamna Jambo la Sirini litabakia kua Sirini !!. Mbinu Yao walitumia, imewekwa Wazi Sasa !!. Watekaji na Wauaji walipenyeza Mamuluki wao wachome Vituo vya Mafuta na Ma Bus ili kuhalalisha Matumizi ya Risasi za Moto Kwa Watanzania . Ni Mamuluki hao hao walotumwa na Watekaji walivamia Na Kuchoma...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nondo: Serikali itoe fidia kwa familia waliofiwa ndugu zao, walipata ulemavu kutokana na yalitokea kwenye maandamano oktoba 29

    Akizungumza na Wanahabari leo, Novemba 12, 2025, jijini Dar es Salaam, Nondo amesema inapaswa kutolewa fidia kwa watu walipoteza wapendwa wao kutokana na kuwawa katika maandamano, lakini waliopata ulemavu na hata walipoteza mali zao. Aidha kwa upande mwingine Nondo amesema maridhiano ya kweli...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni: Mataifa ya ulaya Waliwapotosha Watanzania Kufanya Ghasia

    Rais Yoweri Museveni ametoa onyo kwamba mataifa ya Ulaya yanaanzisha vurugu na machafuko katika eneo la Afrika Mashariki, akiwatuhumu kwa kuwapotosha vijana nchini Tanzania na mataifa mengine jirani kwa lengo la kuleta ukosefu wa utulivu na kudhoofisha juhudi za maendeleo ya viwanda na mafuta za...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Lake Oil amwaga machozi baada ya kupoteza Kazi kutokana na Kituo hicho Kuchomwa Moto kufuatia maandamano oktoba 29

    Sada Alfani, Mfanyakazi wa Kampuni ya Kuuza Mafuta ya Lake Oil amejikuta akimwaga Machozi mara baada ya kupoteza Kazi kutokana na Kituo hicho Kuchomwa Moto kufuatia Vurugu za Oktoba 29. Sada amesema Kazi hiyo alikuwa anaitegemea kwa ajili ya kuisaidia familia yake kwakuwa yeye ni Mama na...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Walifunguliwa Kesi za Uhaini wengi uelewa wao wa kisheria ni mdogo na hawana uwezo wa kulipia gharama za Mawakili kwa ajili ya kuwawakilisha

    Ungiangalia wengi ni vijana wadogo sana yani umri wao miaka 19 hadi 25 kihuhalisia bado ni wakijitafuta kwenye maisha na wengine pia walikuwa ni kufuata mkumbo wa kudai haki lakini athari zake hawakuzifahamu baadae kitatokea nini. ================ Mawakili wanaowatetea washtakiwa wa kesi za...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa nini maandamano October 29 yalifeli?

    KWA NINI MAANDAMANO OCTOBER 29 YALIFELI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Kwanza nitoe pole kwa yote yaliyotokea. Waliathiriwa na kuathirika kwa kuuawa, kujeruhiwa na kuharibiwa biashara zao. 2. Niliandika uzi kueleza namna gani maandamano ya October 29 yatakavyofeli. Sikuandika kwamba...
  13. JF Summary

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania: Novemba 7, 2025

    Watanzania 463 Wakabiliwa na Mashtaka ya Uhaini, Unyang’anyi kwa kutumia silaha - akiwemo Mfanyabiashara Jenifer Jovin (Niffer) Jamhuri imewafungulia kesi Watanzania 240 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Ijumaa Novemba 7, 2025, wakikabiliwa na mashtaka matatu ya uhaini; la...
  14. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waombelezaji wanatishwa, hakuna kuongelea misiba iliyotokea wakati wa maandamano, wanamaliza misiba bila miili!

    Wakuu, Hiki ndio kinachoendelea mtaani kipindi hiki! Wakati wa maandamano wananchi walishuhudia wapendwa wao wakipigwa risasi na polisi na kuona miili ikizagaa mtaani wengine mpaka siku tatu. Walipojaribu kuchukua miili hii kwa taratibu nyingine za kupumzisha wapendwa wao, polisi waliwakataza...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchambuzi wangu: Yatokanayo na maandamano ya Oktoba 29, 2025

    Neno la utangulizi ( preamble) BILA SERIKALI KUWAJIBIKA.. RECONCILIATION haina maana yoyote .Kuwajibika kwenye uchafuzi wa kura uliowanyima mamilion ya Watanganyika haki yao ya kuchagua na kuchaguliwa . Kuwajibika kwenye kupika matokeo ya uchufuzi wa kura.. Yenye kutia kinyaa na aibu kubwa ...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa TLS Wakili Peter Elibariki afariki kwa kupigwa risasi na Polisi Oktoba 29, 2025

    Kwa Masikitiko Makubwa tunapenda kuwataarifu kuhusu kifo cha Wakili Peter Elibariki Makundi (Roll No. 5937), mwanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Tawi la Ubungo, aliyefariki dunia kwa bahati mbaya siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025, baada ya kupigwa risasi katika eneo la...
  17. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mliokuwa karibu na wanapozika au kuchoma miili ya watu kwa wingi tupate picha/video za ushahidi

    Maneno yaliyopo mtaani ni kuwa kinachoendelea sasa ni kuwa polisi wanazika watu makundi kwa makundi ili kufuta ushahidi kwa yaliyotekea - mass grave, na maeneo mengine wanachoma maiti. Na hili linathibitishwa zaidi maana watu wakienda hospitali kudai maiti zao-maitti hakuna! Yaani hospitgali...
  18. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya kuonyesha kilichojiri kwenye Uchaguzi 2025, chaneli ya Al-Jazeera yazuiwa (blocked) kwenye visimbuzi vya Tanzania

    Baada ya kuonekana Al Jazeera hawapepesi macho wala kuuma maneno, wameona waiondoe kwenye ving'amuzi vingi Tanzania ili watu walio Tanzania wasione video za kutisha. Kila siku Al Jazeera walikuwa wanaelezea na kuonyesha video za mauaji Tanzania.
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tujadili kuhusu yaliyotokea wakati wa uchaguzi

    HII NIMEONA KWENYE MOJA YA COMMENT KWENYE FACEBOOK Wakati mnawashawishi vijana wafanye fujo mliwaita jina la GENZ. Haya vijana wakavimba vichwa wakaiga ukichaa wawakenya bila kujua kwamba wanacho enda kukifanya kitawapelekea madhara Yule fala Mange Kimambi na washenzi wengine wengineo wanao...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sho Madjozi: Watanzania ni watu wapole, kufikia hatua ya kupambana ni ishara kuna jambo kubwa limefikia kikomo

    ‎Msanii mashuhuri kutoka Afrika Kusini, Sho Madjozi, ametoa ujumbe mzito kupitia ukurasa wake wa Instagram akielezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu marafiki na Watanzania kwa ujumla, kufuatia kile kinachoendelea nchini Tanzania baada ya maandamano na machafuko yaliyosababisha vifo, majeraha na...
Back
Top Bottom