Gen Z upepo wao unavuma muda wowote! Kwahiyo usishangae ukawaona tena!
============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo amekagua Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kisesa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza ambayo imeharibiwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025.
Akizungumza na...
Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism?
Je, kwanini...
Moja ya kitu ninacho kijutia katika maisha yangu ni kupost na kuhamasisha maandamano kwa mimi nilivyojuaga watu wanashika mabango barabarani na sikujuwa kama ilivyotokea, ndio maana niliitisha press kuwashauri wezangu tusifanye maandamano siku ya tarehe 29 tutafute siku nyingine, licha wengine...
Mama mmoja amehudhuria mahafali ya chuo kikuu kwa niaba ya mwanawe aliyefariki baada ya kuuawa na jeshi la polisi siku ya tarehe 29 Oktoba, wakati wa mauaji ya vijana waliodai mabadiliko nchini.
Kijana huyo aliuawa akiwa anarudi nyumbani, siku chache kabla ya kuhitimu masomo yake.
Katika...
Dereva wa bajaji anaeleza kuwa baada ya kumpeleka abiria wake aliyepigwa risasi na kuvunjika niguu yote, alikamatwa, akapigwa sana kisha kuingizwa mahabusu. Ndani ya mahabusu, alikuta watu waliojeruhiwa vibaya—waliovunjika miguu, viuno na viungo vingine kwa risasi—wengine wakifariki wakiwa humo...
Guys, Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitoa tathmini ya uharibifu uliotokea wakati wa Maandamano Desemba 29 na siku zilizofuata alisema kuwa vituo vya mafuta (Shell) zilizoathirika ni 672.
Guys ikumbukwe kabla ya mkutano huo, Novemba 7, umoja wa Wamiliki wa...
Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja tathmini ya awali ya miundombinu ya serikali na vitu vya wananchi binafsi vilivyoharibiwa wakati wa vurugu za Oktoba 29, Ameonyesha kusikitishwa na...
Wakili na mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Maduhu William amesema kuwa hadi sasa hakuna ushahidi unaoonesha kuwapo kwa mtuhumiwa yeyote ambaye si raia wa Tanzania miongoni mwa mamia ya vijana waliokamatwa kutokana na maandamano na vurugu...
Larry, kupitia mitandao ya kijamii amekuja kujibu madai ya Msigwa kuwa CNN hawakuishirikisha serikali ya Tyanzania katika ripoti waliyoiandaa ikielezea matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi.
Amesema wameongeza maneno kwenye ripoti yao kuthibitisha kuwa CNN iliwatafuta serikali ya Tanzania...
Mpaka siku mtakapotambua mnadeal na Watanzania wa aina gan, ndipo mtaanza kuhusisha Midomo na Ubongo kabla ya kuongea.
Bahati mbaya na Kwa masikitiko makubwa, Hamna Tena Mudaa.
Jiandae tena Dec 9 .
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema miundombinu ya Mkoa huo imeendelea kudumu na kuimarika kutokana na ufanisi wa vyombo vya ulinzi na usalama, ambavyo vimefanya kazi kubwa katika kudhibiti athari za maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Akizungumza leo Novemba 24, 2025 katika...
Labda nianze kuuliza kimombo, "Have you ever thought that you will witness someone who is killing people very passionately and proudly, like it is something he was always dreaming of and it is now happening?"
Binafsi nilidhamiria kuandamana hata ningekuwa peke yangu, kuonesha kuwa sikubaliani...
Awareness ya kwamba kuna maandamano D9 ni kubwa kwa 99% mtaani. Hata kama raia hawatatoka barabarani hiyo inatosha kukuambia kwamba kuna mambo hayajakaa sawa ndani ya nchi.
Sababu zilizofanya hawa Gen Z wakaandamana O29 bado haijatatuliwa hata moja, sana sana ndiyo wamezidi kumwagia petroli...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita , nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Amesema ya kuwa...
Kwenye dunia ya leo, ogopa sana Mungu (kwa tunaosali) na Teknolojia.
Ripoti ya CNN imeiacha Serikali hii bila nguo, aibu gani hii? Kwamba video za Sekou Toure na Mwananyamala ni halisi, na baadhi ya waliouawa wamezikwa kwenye makaburi ya Kondo.
Najua mnaweza kwenda kufukua, lakini DNA analysis...
Anandika Godlisten Malisa...
"Mimi binafsi siamini kama vijana walihongwa. Hakuna mtu wala taasisi inayoweza kuhonga mamilioni ya vijana nchi nzima.
"Na kama ilifanyika hivyo basi vyombo vya ulinzi ni dhaifu. Kama yupo mtu anaweza kuhonga vijana nchi nzima na vyombo vya ulinzi visijue mpaka...
Sio kukubali hawa wahuni kuwa matendo yao yanaweza kuwa makubaliano kuwa sisi ni wapole na wapenda amani.
Watu wamekufa vifo vibaya sana tena kama vina amri toka juu.
Kuna mtu alipigwa risasi ila alipopelekwa hospitli kutibiwa tarehee 30 usiku alichukuliwa na mpaka sasa hatujui yupo wapi na...
1. Kwa kuwafunga wapinzani wako wasishiriki uchaguzi.
2. Watu wanaokukosoa kutekwa. Hupendi kukosolewa.
Job Ndugai aliposema mambo ambayo yalionekana yanakukosoa wewe, ukamfukuza uspika.
Dokta Slaa aliposema mambo ambayo yalionekana kama yanaukosoa utawala wako, ukamvua ubalozi.
Humphrey...
Habari wakuu
Jana usiku baada ya Mange Kimambi kutuma video ikionesha maiti za waandamanaji zikiwa zimerundikwa kama mikungu ya ndizi hapo Mortuary ya Mwananyamala hospital,
Wizara ya Afya kupitia page zao WALIKANUSHA eti ni FEKI.
Kitu ambacho kiliibua hasira kali na watu kuanza kushambulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.