Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,074
- 7,065
Steve amesema vijana kwanza wasithubutu kwenda kuandamana/kutoka kwa sababu hili taifa ni lao, taifa alimtazami mzee bali linamtazama kijana wa leo anaenda kushika hatam kwenye taifa hili.
Hatam ya kulinda heshima, na kulinda usalama na kulinda Tanzania.
Huyu jamaa yeye ni mnufaika wa mfumo ila vijana wapo mtaani wanaisaka shekeli bila mafanikio kwa sababu wao wamejilimbikizia mirija ya fedha tu na familia zao. Kwahiyo vijana wanao ni heri kutafuta ukombozi wa kweli na kuanza upya ila nao huko mbele wanufaike na Tanzania yao!
Steve amezungumza leo Oktoba 23, 2025 kwenye kipindi cha jana na leo cha Wasafi FM