Sijui ndio udomo zege Kila demu nikirusha ndoano anachomoa aisee mwingine ananidharilisha kabisa mtaani aisee naona kama brand inashuka aisee hivi huwa mnafanyaje Kwa mademu wa aina hii
Yaani unaongea nae polepole yeye analopoka kwamba sitakiii wazee mnafanyaje Ili mademu wawakubali. Naona kama ninagundu naombeni mbinu wakuu naangamia Kwa nyeto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.