maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Coding, programming, software development na software engineering nini maana yake na utofauti

    CODING Coding inahusisha uandishi wa maelekezo fulani kwa lugha ambayo inaeleweka na kompyuta. Lugha hizo ni kama python, C, C++ n.k. Lakini pia coder anaweza kua na uzoefu na scripting kama vile bash scripting n.k. Kwa ujumla coder anatakiwa kua na skills zifuatazo ama zaidi ya hizi baadhi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maji Tanga; Rais Samia tusaidie, Waziri Aweso ameshindwa kuingilia kati

    Siku ya kumi hakuna maji (ukiacha sehemu ndogo za "wakubwa"). Hatuna maji. Almost the whole of Tanga city is with no water! Dar yalipokosekana, viongozi waliandamana kwenda Ruvu. Hapa hakuna lolote wala taarifa hawatupi kuna nini
  3. JamiiForums Tanzania Siasa za kujaza matumbo zinawasumbua CHADEMA mnawaza kurudi Bungeni maana mlishageuza ajira

    Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi. Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
  4. JamiiForums Tanzania Majina ya Kihaya na maana zake

    1.Rugemarila - Anamaliza mwenyewe. 2.Byarugaba _ Yote kwa Mungu. 3.Tibaigana_ Watu hatulingani. 4.Tibaijuka_ Hawakumbuki. 5.Ruyemamu _ kujijari| 6.Mbatina_ kuogopa kufanya jambo/ Madhara. 7.Mshobozi _ kuchanganua mambo.|kuelewesha. 8.Rweyendera_ kujipenderea 9.Rwebugisa_(kujiongoza/kiongozi)...
  5. JamiiForums Tanzania Mnaotaka wanaume wa maana, je na nyie ni wanawake wa maana?

    Kumekua na kasumba ya wakina dada wa leo kuwa na vigezo vingi sana pale wanapoangalia mwanaume wa kuingia nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya kigezo pendwa cha wakina dada ni hitaji la kuwa na mwanaume wa maana, hatujawahi kuambiwa mwanaume wa maana ni mwenye sifa gani ila possibly hapa...
  6. JamiiForums Tanzania Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Ina Maana Gani Kwako Kama Mwananchi?

    Hatimaye Tanzania imepata Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, sheria ambayo imekuwa ikipigiwa chapuo na wanaharakati wengi wa masuala ya haki za binadamu waliokuwa wanataka sheria hiyo iwepo ili taarifa binafsi za watu ziweze kuwa salama. Mnamo Januari 31, 2023, Spika wa Bunge Tulia Ackson...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaogopa kufungua miradi ya Hayati Magufuli maana lazima amtaje na akimtaja wananchi wanashangilia

    Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Hayati Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Hayati Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia sana Magufuli kuliko wote...
  8. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa ni shinikizo la Mabeberu na ndio maana Hati za Muungano wanazo wao

    Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara na utamaduni. Ukiangalia uhalisia haya ni matango pori Tunalishwa kwani sababu zote zilizoelezwa...
  9. JamiiForums Tanzania Maana ya Msongo wa Mawazo (Sonona) na jinsi ya kukabiliana nao

    Maana ya Msongo wa Mawazo (Sonona) Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku. Mtu hupata msongo wa mawazo pale anaposhindwa au kukosa namna ya kukabiliana na jambo linalomsumbua...
  10. JamiiForums Tanzania Wape watoto wako majina mawili ili wajue maana halisi ya uhuru

    Tunazaliwa, tunakuta baba anatuita fulani, mama naye. Kaka pia anatuita hivyo, na dada na ndugu zetu! Kiukweli jamii nzima tumekuta inatuita tu fulanii fulanii. Wapi tulikaa kikao, ni lini tulikubaliana kwamba jina langu, kitu muhimu ninachomiliki na kunitambulisha popote liwe ni hili na sio...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi maana ya kuwa na madirisha ya Wahudumu 5 au 7 benki ni nini?

    Hii imekuwa ni kero ya muda mrefu sana sana sana, unaenda benki unakuta kidirisha kimoja au viwili tu ndo yana wahudumu mengine yote "closed" na nyomi la watu ni kubwa, watu wamekaa muda mreefu na hakuna kinachofanya na meneja kuangalia urgency na kuamrisha Watendaji wake kusaidia wateja...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Upinzani ujikite kutafuta viti vya ubunge na siyo kiti cha urais maana hicho ni cha CCM milele

    Ndugu zangu watanzania, Huo ndio ukweli wenyewe japo Ni mchungu na wakuudhi au kukasirisha au kukera au kuzichafua nyoyo za wapinzani, lakini ndio ukweli wenyewe wanaopaswa waujuwe na kuukubali tu,kiti Cha Urais wa nchi hii Ni Cha CCM Daima , Ni kiti kisicho jaribiwa Wala kufanyiwa majaribio...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nashangaa sana kuona dada wa miaka 25 anaolewa. Unawahi wapi? Ndiyo maana ndoa zinawashinda!

    Kwa maisha ya Sasa 25 bado ni umri mdogo Sana kuanza kufikiria ndoa. Unahitaji muda wa kula ujana peke yako kwanza ndipo uingie kwenye ndoa. Ikiwezekana jipange kwanza kimaisha mpk ukifika 35 ndipo uingie kwenye ndoa. Mm nina 26 lkn wanaojitokeza nawaasmbia "bado sijamaliza mambo yangu".
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mchakato wa ajira?

    Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa waombaji kazi ili kupata wale waliokidhi vigezo, kuita waombaji katika usaili, kuendesha usaili...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mwanafunzi yakiandikwa kwa mtindo huu maana yake nn?

    Kwenye points na Division pameandikwa *S.
  16. JamiiForums Tanzania Nyie NECTA ni kweli mnasahihisha mitihani yetu vizuri? Tuambieni maana ya neno 'COMPENTENCY'

    Nimekosa kwenye kamusi yangu....!
  17. JamiiForums Tanzania Maisha hayana Maana

    Now I'm matured, Hiki kidogo napata nilifanikiwa kusaidia masikini, kusaidia wazazi na kutoa sadaka Nimewajengea wanakijiji kisima Cha mil 3 tu. Sasa nyie mnaoroga au mnahangaika kwa ajili ya hii Dunia mnatafuta Nini. Hata ukiishi miaka Mingi lazima ufe so why unaomba Maisha marefu huku unaishi...
  18. JamiiForums Tanzania Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF

    Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF. Mfano: Bab fei hali mbaya huko kwenu vipi tunda tamu ni Ni Sheeeda
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

    Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao. Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nisipokula tungi huwa nakabwa na majinamizi ya kichawi. Ina maana tungi ni kiboko ya wachawi?

    Mwili huwa unatetemeka na kuwa kama unapigwa shoti. Huwa naota ndoto za ajabu na kupiga makelele. Lakini kama nipo matungileee huwa nalala vizuri asubuhi napiga mishe zangu tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…