maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Endeleeni kufunga barabara maana tumepewa jukumu la kuwasikiliza na kuisaidia Serikali

    ENDELEENI KUFUNGA BARABARA MAANA TUMEPEWA JUKUMU LA KUWASIKILIZA NA KUISAIDIA SERIKALI - MWENEZI MAKONDA "Kitu kimoja nimegundua hapa, hii staili yenu ya kufunga barabara mnapoona msafara wa Viongozi wanapita ni nzuri sana kwa maana inasaidia kusikiliza ba kutatua kero na changamoto zenu tena...
  2. JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana sielewi

    Nanukuu kama ilivyosimuliwa na muhusika, " Niliingia katika mahusiano na binti mmoja alikuwa akiishi na wazazi wake. Tulikuwa vizuri mpaka ikafikia nikawa namhudumia kama mke vile, kuanzia kula yake, kuvaa na hata akiumwa nahusika na kila kitu. Ikafikia wakati akahama kwao, akaenda kupanga na...
  3. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Anayempinga Rais Samia, anampinga Hayati Magufuli kwa maana yeye ndiye aliyemwamini kuwa makamu wake wa urais

    "Ndugu zangu wa kanda ya ziwa tulipata bahati ya kuwa na Mwasisi wa Taifa hili Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, tukapata bahati tena ya kuwa na Rais wa awamu ya 5 Hayati John Magufuli ambaye alifanya jambo la kuamini Wanawake wana uwezo na akavunja miiko ya Mwanamke kutokuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Tanzania inataka kuwa neutral katika Gaza Crisis haina maana Sheikh Ponda anapaswa kupelekwa Mahakani

    Lazima tukubali kwamba watu wana uhuru wa kutoa maoni. Tufanye mambo ambayo yataonyesha kuwa Dr. Tulia alistahili kuwa rais wa IPU. Ni kama two sides of the coin. Tunazungumzia coin ile ile lakini kila mtu anatazama different side of the coin. Safarini kwenda Shinyanga.
  5. JamiiForums Tanzania Usipokuwa mwanaume wa maana mkeo hawezi kubali kuitwa kwa Majina yako

    USIPOKUWA MWANAUME WA MAANA MKEO HAWEZI KUBALI KUITWA KWA MAJINA YAKO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya dalili kuwa wewe sio mwanaume aliyefanikiwa ni pamoja na kuangalia kama mkeo anatumia majina yako na anayafurahia. Ukiwa mwanaume uliyeshindwa, usiye na hadhi, mwanaume usiye wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuiombee nchi ya Israel: Haikanushiki kuwa Israel ni Taifa teule la Mungu. Hii haina maana kuwa Waisrael wote hawana makosa, tuwaombee

    Tatizo la msingi la Wayahudi ni kauli yao hii waliyoisema juu ya Yesu: Math 27:25. Wakasema damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu! Tuwaombee Mungu awape kutubu na kupokea rehema. Natamani Mungu awajalie kutubu kama taifa la NINAWI lilivyotubu kwa mahubiri ya Nabii Yona!
  7. JamiiForums Tanzania Imepita miaka 7 toka tumeachana, jana kanitumia SMS ya kejeli

    Wakuu mulibwanji? Mambo huku ni tabulele laaa.... Nilipokuwa chuo nlikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja wa Kiha nlimpenda sana na tulifanikiwa kupata mtoto 1, kiukweli nlitamani ndo awe wife kumbe nilikuwa najiandalia bomu hasa alipotangulia kupata kazi. Alikuwa kasomea ualimu, nilianza pewa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu maandamano ya Mwabukusi na Mdude 9/11/2023, wasizuiwe waachwe maana hayana maana, watapuuzwa na wananchi

    Kinachokwendwa kufanywa na wakili Mwabukusi na mwanaharakati Mdude tarehe 9/11/2023 juu ya maandamano waliyopanga ni kujaribu kuficha aibu ya kuumbuka kwa upotoshaji wao. Maandamano hayo ya tarehe 9/11/2023 awali yalipangwa kufanyika 30/09/2023 na kama yangefanyika kipindi hiko na hoja...
  9. JamiiForums Tanzania Nondo za Luhaga Mpina, ndio maana Mzalendo namba moja hayati JPM alimkubali sana

    "Tuna kiwanda cha Esther Bioscience Africa kinazalisha chanjo lakini chanjo nyingi tunaagiza nje ya nchi, tuna viwanda vya viuatilifu lakini bado viuatilifu tunaagiza nje ya nchi. Tukisema tunalinda viwanda kwa hapa tunavilindaje?" Luhaga Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya neno kuokoka?

    Maana ya Kwanza Kuhokoka nikukombolewa kutoka kwenye hatari Matendo ya Mitume 27:41-44 [41]Lakini wakafikia mahali palipokutana bahari mbili, wakaiegesha merikebu, omo ikakwama ikakaa isitikiswe, bali tezi ilikuwa imefumuliwa kwa nguvu za mawimbi. . [42]Shauri la askari lilikuwa kuwaua...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CCM isimptishe Luhaga Mpina kugombea ubunge 2025 maana anawachachafya mpaka wanachachafika

    Jamaa yupo serious na maisha ya Watanzania. Sakata la mafuta alipambania maisha ya Watanzania. Sakata la Tril 280 ndio amekomaa kinyama. Huyu jamaa ni mwamba wa kuwachachafya ma-CCM.
  12. JamiiForums Tanzania Naomba maana ya hii qualification

    Education of the fourth form and continuing in other fields including the field of mechanical spare parts manufacturing, automotive engineering, domestic and industrial electricity, IT, automotive electricity and solar electricity;
  13. JamiiForums Tanzania Suala la miradi kusuasua, wote tubebe lawama maana tulipaswa kubeba jukumu kwanza

    Miradi mikubwa kwa midogo inaposuasua utasikia; Kiongozi ametupa lawama kwa mkandarasi/mzabuni Mwananchi anamlaumu kiongozi Mkandarasi anamlaumu serikali Yaani ni vurugu tu kila mmoja anarusha lawama kwa kutokamilika kwa mradi. Japo lawama kwenda kwa mkandarasi/mzabuni ndiyo huwa kubwa zaidi...
  14. JamiiForums Tanzania Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

    Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika...
  15. JamiiForums Tanzania Diamond anaona mbali sana, hakukosea kabisa alipoimba Makonda baba lao!

    Tuseme tu ukweli, mganga aliyempata Makonda ni kiboko, asimuache kabisa. Maana kutoka kuchukiwa na wengi mpaka kuwa kipenzi cha wengi si jambo dogo ujue. Ila yote tisa, kumi ni hili suala la kuwawawashia moto mpaka Mawaziri, jambo ambalo hata Mh Rais hawezi kulifanya. Ndio maana Mawaziri...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga ni Klabu Bora Afrika kwa Mwaka 2022/2023 ndio maana imeingia kwenye Tuzo za CAF!

    CAF wanathibitisha ubora wa Yanga kivitendo ndio maana wameiteua kuingia kwenye tuzo zao za kuchagua Timu Bora barani Africa kwa mwaka 2023. Yanga ni timu pekee kwa Ukanda wa Africa Mashariki iliyoingia kugombania tuzo hizo! Yanga hawakuingia kwa bahati mbaya bali wamebebwa kwa mafanikio yao...
  17. JamiiForums Tanzania Zama zimebadilika, demokrasia nayo ichukue maana halisi kulingana na historia yake

    Tunakumbushwa madarasani pia hata mitandaoni kuwa demokrasia ilianza katika mji ATHENS - Ugiriki ambapo watu wachache wenye busara zao walifanya maamuzi juu ya mustakabali ya mji wao ndiyo maana wengi tunaelezea demokrasia kama ni watu (wachache) wanaongoza walio wengi ila tumewaondoa wanawake...
  18. JamiiForums Tanzania Ujerumani waombeni mambo ya Maana siyo Ujinga wa Ukoloni!

    Raisi wa Ujerumani anakuja Tanzania, Ujerumani ilianzisha nchi yetu kama tuijuavyo leo hii, ukiondoa Zanzibar, walichagua mipaka vizuri na kupata vitu vingi vya kipekee kama Mlima Kilimanjaro ambao 100% uko ndani ya mipaka yetu, Maziwa Mito na Bahari, tuna fukwe za Bahari ya zaidi ya km 1000...
  19. JamiiForums Tanzania Kweli betting imekuwa janga maana hata pro athletes wameanza kuhusishwa na issue hii

    Kuna addiction flani ukishiingia katika betting inakushikilia na haitakuachia hivi hivi no matter we ni tajiri kiasi gani. Recently wacheza mpira maarufu wameanza kupigwa suspension ndefu kutokana na wao kujihusisha na betting. Mtu anaweza kuchomesha team ili tu apige kibunda. Vijana mtaani...
  20. JamiiForums Tanzania Dunia Duara: Waliokuwa wanajiona wa maana matawi ya juu, Leo hii wanatamani maisha yetu, Weka kisa chako hapa

    Tuache kujiona wa thamani kuliko wengine! Tusiwashushe wengine Kwa kauli ama matendo TukumbukeDunia ni duara, unayemuona leo chini kesho atainuliwa. Nakumbuka shuleni kipindi nipo Form 6 kuna mwenzetu alikuwa anakuja na Corolla anaipaki, tufanye kumuita P. Huyu P alikuwa na maisha yake ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…