Mojawapo ya mafumbo ya chini ya maji ambayo hapo awali yaliwashangaza wataalam ni ugunduzi wa michoro ya ajabu kwenye mchanga yenye muundo wa duara karibu kabisa uliopatikana chini ya bahari karibu na Japani. Iliwachukua muongo mmoja kujua kwanini ilitokea na kwanini ilitokea ghafla na kutoweka...
Hii ni picha iliyopigwa "Tantranil Castle" huko Scotland, na mpiga picha, "Christopher", anaapa kwamba hakuna mtu aliyekuwepo wakati anapiga picha hiyo! 👀
Hata hivyo, inasemekana kwamba mahali ambapo taswira hii ya kibinadamu inapigwa picha haipatikani kwa watalii wa kawaida, na kuna ukuta wa...
Habari wakuu,
Kwenye maisha Kuna mambo mengi na mengi bado hayafamiki,lakini Kuna msemo wa wahenga kua ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni.
Mimi ni kijana mwanaume ambayo katika pitapita zangu nimeona mambo mengi lakini Kuna hili moja limenitatiza.
Kipindi nipo chuo mwaka 2018...
Ile Siku muhimu ya fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran ndio Leo
Tukio liko mubashara TBC, ZBC na Clouds tv
Mgeni rasmi ni Mpendwa wetu mh Rais Samia
Karibuni sana
https://www.youtube.com/live/ml6IdLNv8EM?si=LTNVm5mk9dHja8kE
Watu wengi hawajui Historia ya hili Taifa la Mungu.
Israel ndio waliokabidhiwa Nchi ya Kanani , miaka zaidi ya 1800 kabla ya kurudi kwao Kanani mnamo mwaka 1948, walitawanyika katika mataifa mbalimbali kufuatia Uvamizi wa Rumi .
Uvamizi huo uliwafanya Waisrael kukimbilia uhamishoni, wapo...
Jambo la kwanza: ni Tanzania pakee. utakuta mtu kwenye jina la profile ya akaunti yake ya mitandao ya kijamii. anaweka na neno PhD ama Professor ili tu kujitambulisha kwa watu kua ana taaluma ya namna hiyo. Ila tukirudi kwenye ufanisi wa kiutendaji kwenye nafasi aliyopo ni ziro kabisa.
La pili...
Huyu ndiyo Ibn Unuq aliyeshikilia maajabu yake kihistoria kwa miongo kadhaa mpaka akaingia kwenye viumbe wa kale wa ajabu.
#1 Aliwahi kuikimbiza radi mpaka ikachoka na kuomba mapumziko.
#3 Aliwahi kupiga chafya — upepo ukabadilika mwelekeo ghafla.
#5 Siku moja aligombana na kivuli chake kwa...
Hakika ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Wakati wa awamu ya tano, nchi ilikuwa busy mno huku miradi ya maendeleo ikirindima kila pembe ya nchi, Kuanzia mradi mkubwa wa bwawa la Nyerere, Mradi wa SGR, mradi wa airport terminal III, barabara, Magufuli bus terminal, nk. Huku yote hayo...
Sijui kama huu Uzi utabaki hapa, ila lengo kuu mjifunze kitu
Mnaweza msinielewe kabisa, na kujua lengo la thread hii ni Nini ok??
Hii Dunia imekwishwa wakuu, mpaka naandika hichi kitu natokwa na machozi kuanzia moyoni mpaka machoni.
Imebidi niaze na neno mahusiano, ili huu Uzi uwe hapa ili...
Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani?
Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
Je wajua kuwa kijiko kikubwa cha 🍯 asali kinatosha kumuweka mtu hai kwa masaa 24?
📒 Je, unajua kwamba moja ya sarafu za kwanza duniani ilikuwa na alama ya nyuki?
📒 Je, wajua kuwa asali ina vimeng'enya hai?
📒 Je, wajua kuwa asali ina dutu inayosaidia ubongo kufanya kazi vizuri?
📒 Je...
===
Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe.
Kwaakili hii Mbowe na Wenje wameshashindwa huu Uchaguzi
Kwa lugha nyepesi Heche na Lissu hawajapewa tuhuma yoyote hivyo ni watu safi wachaguliwe.
Leo sitawananga ndugu zangu wa uto ila nakuja na mada fikirishi ila siyo serious kihiiivyo kwa hiyo wale ambao tunarushiana maneno kila siku embu leo nipumzisheni.
Msimu huu kuna mambo kadhaa yanafanana kati ya Simba na Yanga katika mechi za kimataifa:
1. Simba na Yanga zote zilicheza ugenini...
Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024.
Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya Pasifiki ilianzia Hong Kong muda mfupi baada ya usiku wa manane tarehe 1 Januari 2025, dakika chache...
1. Si kubwa kama jiji la Dar Es Salaam, lakini ningeambiwa nichague pa kuishi, ningepapendelea Kampala kutokana na hali yake ya hewa nzuri
2. Lugha ya Kiganda ndiyo imetawala kuanzia kwenye maredio na mitaani. Kizungu hutumika kinapohitajika
3. Kuna maeneo kuna Waswahili pia. Kuna mahali...
Wakati bado hamjaoana yani wenyewe ile wanaita 'mnachunguzana' huku mara moja moja mnakutana uwanja nyutro kufanya yenu, hapo mkikutana lazima kiwake sana mta.ti.ana kutwa kucha hadi m.b0..0 inataka kunasia ukouko.
Hadi mzee unasema yes hiki ndo chuma sasa ngoja nijimilikishe nitwae mazima...
🐺 Mbwa mwitu hali mizoga, iwe ya wanyama au ya binadamu huishi maisha yake yote na mwenzi mmoja, na hafanyi mapenzi na mama yake au dada yake.
Ni mnyama anayejitoa kwa mwenzi mmoja (monogamous) na hacheat.
Ikiwa mwenzi wake anakufa, mbwa mwitu hubaki peke yake.
Anawajua vizuri watoto wake...
Ukifuatilia mitandao ya kijamii utagundua CHADEMA ndicho chama chenye wafuasi au wapambe wengi sana katika mitandao ya kijamii nchini, katika hili utakosea sana ukifikiri uwakilishi mitandaoni unawakilisha uhalisia nje ya mitandao( kwa ground).
Maandamano yakiitishwa na viongozi wa CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.