Hapo unaweza kujiuliza ndani ya CCM kuna watu wenye vichwa vya aina gani , maana wanaona sasa watakosa hoja ya kuikosoa CHADEMA hivyo wanalazimisha abaki mbowe ili hoja yao iendelee kutamalaki.
CCM imejaa viongozi wabinafsi sana wananchi wenye akili wanaliona hilo, wamevuruga uchaguzi wa...
AJABU LA KWANZA: Haijalishi nyoka au mijusi majike watajamiiana na madume mangapi, lakini wana uwezo wa kuamua ni yai la dume yupi ndio lirutubishwe.
Yaani, watajamiiana na madume hata mia mbili, lakini wataamua mfano yai la dume wa hamsini aliyempanda, ndio litakalorutubishwa.
Kama jike...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika mabadiliko ya kawaida ya Baraza la Mawaziri yameshuhudia Mheshimiwa Innocent Bashungwa akihamishwa kutoka wizara ya Ujenzi kwenda wizara ya mambo ya ndani.
Hii na hatua hiyo ya kupata uteuzi mpya imemfanya kujiwekea rekodi yake binafsi na kuwa kati ya mawaziri...
katika kitongoji cha Dinka nchi Sudani Kusini mwanaume Sudan, ukifanikiwa kuwa na wanawake wengi ndio utaweza pata wadhifa wa kua kiongozi katika jamii,
Pia kutokana na tamadumi za Sudani kusini ukifa bila kuoa haraka sana atajitokeza mwanafilia atakuolea mke kisha watoto wake wataitwa majina...
Yaani Tanzania ni nchi ambayo kila kitu sasa ni fake
Maajabu ya TZ: Chaguzi fake, mikataba fake, mifumo fake, ripoti za Raisi fake na marafiki fake-machawa
Je kuna nchi Dunia hii watu wako fake kama Tanzania
1. Tuna mfumo wa Demokrasia ambao serikali ndiyo inaongoza kudidimiza!
2. Ripoti za...
Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20, amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa...
Mji mkuu wa Israel Jerusalem una maajabu mengi.
Neno Jerusalem lina maana (misingi ya amani)
1) Uko katikati ya dunia.
2) Umezungukwa na milima
3) Manabii wote walifia Jerusalem
4) Yesu alisulubiwa Jerusalem
5) Adam alizikwa Jerusalem
6) Abraham alimtoa sadaka isaka Jerusalem
7) Ni chimbuko la...
Taifa la Israel lipo katikati ya dunia kigeographia.
Ni karibu kwenda Asia, Africa, Europe.
Mungu alichaguwa eneo hili ili litumike kwa ajili ya kueneza habari zake
Ilikuwa rahisi kuleta injili Africa, Asia na Europe. Mungu ni fundi
Wapagani kama kawaida yao watabisha
Jamani wapendwa nasumbuka usiku na mchana, mimi (naishi ulaya lakini mkenya) kuna kitabu moja nilinunua (amozon.com) nikafanya ilivyo andikwa, sio kitabu kibaya (nitapost mkione) lakini yanayo nikumba kwa sasa ni makubwa. Hio kitabu nilinunua mwezi 01. 2024.
Baada ya kusoma na kufuata maagizo...
Haya ni maajabu! 😂
Kutana na wanandoa hawa kutoka Nyeri nchini Kenya, waliojifungua Mtoto wa Kihindi.
Mwanamke anamlaumu mume kwa kupenda kutazama filamu za Kihindi, akidai ndio imepelekea kuzaliwa mtoto huyo. Mwanaume amekubali na kuahidi kuwapenda na kuwajali mama na mtoto.
Inasemekana...
Ukiwaza na kufikiri kwa kina sana utagundua Chadema wananufaika na hawa wabunge 19.
Hili halishangazi ila kuwaacha watu wanaokula mamilioni kinyume cha sheria na kutaka kumtoa Samia kitu ambacho wanajua kabisa hawataweza ndio kinashangaza.
Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake!
Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake!
Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake!
https://twitter.com/home
Nb: Watu wanakimbia kuokoa roho zao na siyo fedha! Mpe Mungu maua yake!
Viongozi wa mashirika ya ndege ya umoja wa ulaya (EU airlines bosses) kwa kaulj ya pamoja wamezitaka kampuni za ndege kutoka china kuwekewa tozo kwa kile walichokidai ni ushidnani usiokuwa na usawa katika biashara (unfair competition) kwa kuwa na advantage ya kuendelea kupitisha ndege zao katika...
Tanzania ni Nchi yetu sote hivyo ni wajibu wa kujivunia vivutio vilivyomo.
Mlima Hanang uliopo Katesh manyara ni mlima wa Saba Kwa urefu hapa Tanzania
Nikiwa viunga vya huko niliona Nami nisiishie tu kuuona bila kupanda. Nikiwa na rafiki yangu mmsai tuliazimia kupanda kihuni (Bila kibali)...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wanaolipa kodi halisi Nchini ni Watu milioni mbili tu kati ya Watu milioni 65 ambapo amesema idadi hiyo ni ndogo sana hivyo amewataka Watanzania wengi zaidi walipe kodi ili kuchangia uchumi wa Taifa.
Rais Samia amesema hayo leo October 04,2024...
Kwa kweli, hiki ni kitu ambacho hakijawahi kutokea!
Mishahara ya watumishi imetoka, maajabu ni kuwa kuna waliopata annual increament mwezi uliopita(wa nane) na wengine hawakupata wakitarajia wangepata hilo ongezeko kama alivyoahidi Kiongozi wa nchi!
Cha ajabu ni kwamba, kwa mishahara ya mwezi wa...
kweli muda unazungumza aisee kila kitu kipe mda
Yaani kipindi nakua nilkua nahangaika na wanawake yaani ndugu yangu mmoja akaniambia utakuja kuwakimbia mweyewe wewe tulia tuu nikawa naona ni ndoto bada ya miaka kupita
Leo hii mimi nawakimbia wanawake kweli yaani wapo wengi wanakupa bure...
Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza wa kiume katika historia kufunga magoli 900 kwenye mechi rasmi. Amefikia rekodi hii ya kihistoria katika mechi ya UEFA Nations League kati ya Ureno na Croatia iliyochezwa Lisbon Alhamisi hii.
Soma Pia: Lionel Messi aipiku rekodi ya Ronaldo kwa...
Hiki ndicho kilichotokea huko Arusha kwa serikali kupitia Wakili Peter Njau kujifungulia kesi ya kupinga amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro kwa kutumia jina la mtu Isaya Ole Posi ambaye amekanusha kuhusika na kufungua kesi hiyo na kujisikiliza mahakamani na kujiwekea zuio!
Hakika Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.