maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kamati ya maadili ya TFF ,Kwa hili la Manara mmekurupuka.

    Inavyoonesha Kuna mtu amemkamia sana manara ,angalia barua ya tff muda iliyoanza kusambaa,inaonekana imeandikwa Saa Moja asubuhi au Jana ileile usiku, swali ni saangapi wamekaa na kupitia tukio Zima hata kukubaliana eng hersi,na manara wafunguliwe kesi?inaonyesha ni utashi wa mtu Mmoja ndie...
  2. JamiiForums Tanzania Raia wa kawaida ninaweza kuitwa na kamati ya maadili ya TFF?

    Ni watu gani wanaweza kuitwa na kamati ya TFF? Hivi kwa sasa Haji Manara kimpira si raia wa kawaida? Raia wa kawaida anaweza hukumiwa na kamati ya maadili ya TFF?
  3. JamiiForums Tanzania Nawauliza TAKUKURU: Barbara aliihonga nini hii Kamati ya Maadili?

    Marekebisho: Dhalilisha ndiyo neno sahihi.
  4. JamiiForums Tanzania Haji Manara natumai umeshajiandaa Kisaikolojia kwa Kifungo utakachokipata Leo na Kamati ya Maadili

    Ulionywa Punguza Nyodo na Ujeuri hukusikia. Na ulichokosea ni Kuongozana na Injinia Hersi Said kwenda kwa Boss wa Mpira wakati Logically uliyemkosea si Yeye bali ni Taasisi yake nzima ya TFF ambayo mara kwa mara umekuwa Ukiidhalilisha kwakuwa unabebwa na kupewa Jeuri na Mstaafu wa Msoga mwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Kuwasifia Nandy & Billnas kupeana mimba nje ya ndoa ni ukosefu wa maadili

    Ninaandika huu uzi nikiwa na hasira iliyochanganyikana na huzuni kwa huu mmomonyoko wa maadili unaozidi kuota mizizi. Jamii kwa sasa iko bize kushabikia mambo ya kipuuzi huku ikiachana na agenda muhimu za kitaifa. Picha na video chafu zimekuwa na thamani kuliko mambo mengi yenye tija mitandaoni...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Heko Kwa kikundi cha Mizengwe kwa kazi zao zenye maadili na zinazo fundisha na zenye Uhalisia

    Kikundi hiki kina miaka mingi sana katika sanaa. Mpaka leo mwanaume hajawahi vaa magauni au nguo za ajabu ajabu. Wamekua katika mazingira halisi kabisa na bado kazi zao hazichoshi kutazama. Katika kazi zao mwanaume amebakia kuwa mwanaume na mwanamke nae amebakia katika nafasi yake. Kwa anae...
  7. JamiiForums Tanzania Bodaboda wafundishwe maadili ya kazi

    Habarini wanajamii, Moja kati ya vitu ambavyo madereva bodaboda wanakosa licha ya kuwa wasaidizi wetu katika kutupeleka na kutuwahisha hapa na pale ila wanakosa maadili ya kazi. Jumamosi asubuhi hapa tunapoishi nilisikia maneno watu wakizozana alikuwa ni mama Juma na baba Salehe, mama Juma...
  8. JamiiForums Tanzania Haya ndio maadili ya Mtanzania?

    BONGO DAR ES SALAAM;AKILI KUMKICHWA UKILEMAA UMEACHWA FERRY,JE HAYA NDIO MAADILI YA MTANZANIA!? Leo 12:15hrs 24/05/2022 Uadilifu ni moja ya nguzo kuu ya kimaadili katika Utamaduni wa Mtanzania, Watanzania tuna mila, desturi, sanaa, lugha, Elimu, Michezo, tiba, ulinzi, ujuzi, mavazi, Ngoma...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wetu wa afya (MDs, Nurses & Pharmacists) tunzeni maadili! Mheshimiane, msiingiliane na msihasimiane! Wote mnahitajika kila mmoja sehemu yake

    Kwa lugha rahisi, mfamasia ni mtaalamu wa madawa! kazi yake inahusisha kutengeneza, kuchanganya, kutunza na kufikisha dawa kwa wagonjwa zikiwa salama. Ndiye anayeweza kuya-handle madawa na anajua vizuri kwa undani mode of action ya madawa. Daktari/MD ni mtaalamu wa tiba! kazi yake ni kutibu watu...
  10. JamiiForums Tanzania Mtaalamu aponda 'Maadili' katika ripoti ya mto Mara

    Mtaalamu Mmoja wa kutoka University of Dar es Salaam anaongea hapa kwenye kongamano la wiki ya Udhibiti na tathmini. Moja kati ya jambo kubwa analizungumza ni maadili. Ambapo kwenye maadili ni kuripoti hali jinsi ilivyo na sio kuandika ripoti kwa kumpaka mafuta aliyekupa hela ya kufanya study...
  11. JamiiForums Tanzania Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

    Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

    Salaam! Kama ilivyo ada natumai ni wazima wote. Ngoja niende direct kwenye swali, ni kwa nini wasichana wengi siku hizi ni single mothers? Je, kwa kuwa wanawake wengi hawataki kutoka kimapenzi na wanaume wasio na mbwembwe, majivuno, waongo, masharobaro, wale wa show offs n.k? Nafikiri...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga. Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wakili ajitoa kesi ya Sabaya, asema analinda maadili yake

    Wakili wa mmoja wa watu wanoshtakiwa pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kwa uhujumu uchumi na utakatishaji fedha amejiondoa kumtetea mteja wake. Wakili Fridoline Bwemelo amesema ameamua kujiondoa kumtetea mshtakiwa wa tatu katika kesi hiyo, Watson Mwahomange kwa kile...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Makonda aliweka nidhamu jiji la Dar na kusafisha uchafu wa maadili uliokuwa umekithiri. Sasa hivi Dar ni kama Jahanamu

    Paul Makonda alisimamia misingi ya maadili ndio maana alidhibiti vibaka , wavuta madawa, wezi , wavuta unga na mashoga. Sasa hivi Dar wavuta unga na mashoga wamekithiri kama jahanamu. Nenda Buguruni, Tandika na Magomeni ushoga ni kama kawa. Watoto wa kiume wanajipaka lipstick. Wavuta bangi na...
  16. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa matukio ya mauaji na mmonyoko wa maadili ni kielelezo cha kushindwa kwa taasisi za dini

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa kidini na kimila kuwa chanzo cha kudhibiti mauaji yanayotokea mara kwa mara nchini, kwa kutoa mafunzo ya maadili yatakayosaidia kurejesha utu na hofu ya Mungu. Ameyasema hayo leo Februari 22 alipohutunia katika maadhimisho ya miaka 25 ya Jubilee ya...
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Balozi Mohammed Mzale ateuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma

    Rais Hussein Ali Mwinyi amemteua Balozi Mohammed Mwinyi Mzale kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Ofisi ya Rais; Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Uteuzi wa Balozi Mzale umeanza leo Februari 18, 2022
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni: Matukio ya mauaji nchini yananinyima usingizi

    Picha: Mhandisi Hamad Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, amesema tangu ateuliwe kuongoza Wizara hiyo yapo mambo mawili yanayomnyima usingizi ikiwemo mauaji yanayotekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii pamoja na baadhi ya askari kufanya vitendo kinyume na maadili...
  19. JamiiForums Tanzania Ukiukwaji wa maadili (unethical conduct) na professionalism kati ya DCI Boaz na Luteni Urio kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

    Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Kamati ya Maadili ya Bunge haiwashughulikii hawa watu?

    Hapo nyuma tumeona jinsi Kamati ya Maadili ya Bunge ilivyokuwa na nguvu. Baadhi ya Wahanga wake ni Pascal Mayalla, Zitto, CAG aliyepita, Gwajima na wengine wengi. Hapo nyuma tuliona jinsi watu walivyoitwa kwa mkwara, kuadhibiwa na kuonywa. Ninachoshangaa ni jinsi Spika anavyoshambuliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…