Raia wa kawaida ninaweza kuitwa na kamati ya maadili ya TFF?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,277
12,810
Ni watu gani wanaweza kuitwa na kamati ya TFF? Hivi kwa sasa Haji Manara kimpira si raia wa kawaida? Raia wa kawaida anaweza hukumiwa na kamati ya maadili ya TFF?
 
Eti raia wa kawaida. Mfungwa akifanya kosa ambalo halikumpelekea kufungwa huwa anashitakiwa tena. Haji kafanya kosa juu ya kosa. Mse nage sana yule Haji.
 
Ndio, kama alizuiwa kuwa sehemu ya uongozi na kumpeleka awe raia wa kawaida, akakataa kuwa raia wa kawaida, ataitwa alazimishwe kwa nguvu zaidi
 
Jurisdiction ya TFF inaishia kwa watu walio kwenye mpira chini yao. Wasemaji wa vilabu, makocha, wachezaji nk. Sasa raia wa kawaida akiokosea mpira wanapata wapi mammlaka ya kumuita kumuadhibu? Haji baada ya kuzuiwa kujihusisha na mpira amekuwa raia wa kawaida tu.
 
Ndio, kama alizuiwa kuwa sehemu ya uongozi na kumpeleka awe raia wa kawaida, akakataa kuwa raia wa kawaida, ataitwa alazimishwe kwa nguvu zaidi
Mimi raia wa kawaida nikiukosea mpira TFF wanaweza kuniita?
 
Ni watu gani wanaweza kuitwa na kamati ya TFF? Hivi kwa sasa Haji Manara kimpira si raia wa kawaida? Raia wa kawaida anaweza hukumiwa na kamati ya maadili ya TFF?
Muwe waelewa jamani mzungu sio raia kawaida huyo ni mfungwa bado hayupo huru anatumikia adhabu
 
Back
Top Bottom