lugha

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wahitimu wengi nchini Tanzania lugha ya Kiingereza ni tatizo! Hii ni hadi kwa waalimu na viongozi wakubwa tu!

    Habari wakuu Mimi binafsi nimejaribu kuangalia mwenendo wa watanzania, elimu yetu na kujua lugha ya kimataifa (Kiingereza) ambaya usipoijua kwa dunia hii ya sasa basi unapoteza fursa nyingi sana hapa duniani na kuonekana mtu ambaye hujasoma (kukaza) (,"kitu ambacho sio kweli kwa upande...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali lugha gongana: Wizara ya Afya inakataza matumizi ya barakoa za nguo kujilinda na COVID-19, Wizara ya Viwanda yahimiza zitengenezwe kwa wingi

    Yaani nchi hii ni pasua kichwa. Makosa yaliyofanywa na kina JK, Oktoba 2015 ni dhambi kubwa sana ambayo sidhani kama Mungu atawasamehe. Pathetic!!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli yawa "Lulu" duniani kote, Wachina na Wahindi wataka itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao

    Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya. Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na...
  4. JamiiForums Tanzania Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato!

    Wanabodi, Salaam, Neno "Mjinga" ni tukano, ila sio tusi!. Mtu kuwa mjinga ni ile hali ya kutokujua. Hivyo mtu akikuita mjinga, anamaanisha wewe hujui kitu fulani anachokuitia mjinga. Ukiwa hujui kitu fulani na ukaitwa mjinga, hujatukanwa bali umeambiwa ukweli kuhusu hali ya kutokujua kwako...
  5. JamiiForums Tanzania Taarifa Kuhusu Coronavirus #COVID-19 Kwa Lugha ya Alama ya Tanzania (LAT)

    Habari! Kupitia Ukurasa Huu utaweza Kupata taarifa mbalimbali Kuhusiana na Ugonjwa wa Coronavirus #COVID-19. Lengo ni kuhakikisha hakuna kundi litakaloachwa nyuma katika kupatta taarifa.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hivi kiswahili sahihi ni osha mikono au nawa mikono? Naona kama tunakosea lugha

    Tangu ujio wa corona au covid 19, kumekuwa na matumizi ya neno osha mikono. Mimi navyojua kuosha inahusisha vyombo na viungo nusu vya binadamu tunatumia Nawa. Ikiwa ni mwili mzima tunatumia neno Oga. Kwa nguo tunatumia neno Fua. Wadau naomba mnitoe matongotongo kwa wale wajuvi wa lugha adhimu...
  7. JamiiForums Tanzania Jifunze lugha ya kichina - Darasa huru

    Somo la kwanza. (haya maneno mda mwingi tunayatumia unapokutana na mtu) Hujambo nĭ hăo 你好 Habari ya asubuhi zăo shang hăo 早上好 Habari ya mchana xià wŭ hăo 下午好 Habari ya jioni wăn shàng hăo 晚上好 Usiku mwema wăn shàng hăo 晚上好 Jina lako ni nani? nĭ de míng zi shì shén me 你的名字是什么? Jina langu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi "COVID-19", ni neno la kingereza au ni lugha ya kitaalamu?

    Kuna mtu(kiongozi) nimemsikia akisema covid-19 ni term(neno) la kingereza. Swali :neno hili ni neno la kingereza au hii ni lugha ya kitaalamu inayotumika ku-name virusi wa corona? Tusaidiane.
  9. JamiiForums Tanzania Vitabu vya lugha ya Kiswahili

    Ni vitabu gani vya lugha ya Kiswahili ulivyovisoma vilivyobadilisha namna yako ya kufikiri na kubadili maisha yako kiujumla?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ya awamu ya 5 ijifunze kutumia lugha ya kidiplomasia!! Ubabe haujengi, unabomoa

    Kwa muda sasa tangu serikali ya awamu ya Tano ilipoingia madarakani, kumekuwa matumizi ya lugha ambayo inaakisi uelewa mdogo wa diplomasia ya kimataifa na diplomasia ya kiuchumi ukilingamisha na utawala wa Mzee Jakaya. Viongozi mbalimbali wa chama na serikali wamekuwa wakitumia maneno yasiyofaa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya ni nini?

    Watanzania wengi hawana elimu ya kutosha kuhusu madhumuni ya mifuko ya Bima ya Afya na jinsi inavyotenda kazi. Kukosa elimu hii huongeza malalamiko kuhusu uchangiaji na kujiunga na mifuko husika. Mimi kama mtanzania niliyebahatika kupata elimu ndogo nimewiwa kutengeneza thread hii kwa nia ya...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Je “Bongo Movie” zinamchango gani katika kukuza lugha ya Kiswahili na utamaduni?

    Chanzo: BBC
  13. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia ngazi zote za elimu, ili tukomboke kifikra

    Huu ndio wakati wa kuanza kutumia lugha ya Kiswahili kufundishia katika ngazi zote za elimu nchini Pamoja na Kiswahili kupitishwa na Sera ya elimu mwaka 2014 bado hakijaanza kutumika kufundishia masomo katika elimu ya upili na elimu ya juu. Sera ya Elimu ya mwaka 2014 inasema Kiswahili pamoja...
  14. JamiiForums Tanzania Jifunze lugha yoyote duniani bure ujiongezee thamani katika soko la ajira na ushindani dunia ya sasa

    kujua lugha mbalimbali ni moja wapo ya njia ya kuongeza thamani ya ulichonacho kwa mfano wapo watu wenye elimu ndogo tu ambao kujua lgha fulani imewafanya kupata kipato maradufu nakualika kujifunza lugha mbalmbali bure huku ukifurahia .. kupitia LINK : Learn a language for free
  15. JamiiForums Tanzania Tukumbushane Lugha ya Kifaransa

    Wapenzi wa lugha ya Kifaransa. Naamini JamiiForums ni jukwaa kubwa la wabobezi na wa Somi wa fani nyingi. Kwa hiyo Kila mdau ni mwalimu ajae na Mwanafunzi wa leo. Michango yetu ijikite ndani ya mada kuliko nje ya mada ili tupate faida sote. Karibuni. UKUMBUSHO WA LEO A-)Anza: NA...
  16. JamiiForums Tanzania Lima Emilala: Jina la mwaka 2020 katika lugha ya Kihaya

    Nakusalimu katika lugha ya kiungwana sana,lugha asilia isiyo na chembe chembe za utumwa wala ubaguzi. 'Abawe naiwe mugumile?' maana yake 'wote hamjambo?' Jibu hivi; 'tugumile chwena!' yaani umejibu "sote hatujambo!" Baada ya salamu tuelekeze fikra zetu katika kichwa cha uzi huu, kisemacho...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lugha ya kiingereza hata Kenya ni tatizo acheni Kujimwambafy.

  18. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe nahau na methali za lugha ya kisukuma

    Jamani wakati tunakua tulikuwa tuna ganilwa nahau na methali mbalimbali za kisukuma na bibi na babu zetu, hata sisi wenyewe wakati tunachunga tulikuwa na mchezo wa kugani methali na mwingine anatoa jibu. Naona kulingana na mabadiliko mbalimbali watoto wetu na uhakika kwa asilimia zote hawazijui...
  19. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania Uingereza walalamikiwa kwa kutopokea simu, huduma duni kutoka kwa wageni watarajiwa, je wahusika wanakwepa lugha ya kiingereza?

    Tangu kuanzishwa kwa huduma ya kufanya maombi ya viza mtandaoni kwa wageni wanaotarajiwa kutembelea Tanzania, huduma hiyo imezorota katika siku za karibuni. Muombaji viza anaetaka kutembelea Tanzania kwa kusudio lolote inanmbidi ajaze fomu ya maombi mtandaoni ambapo idara ya uhamiaji makao...
  20. JamiiForums Tanzania Misimu ndani ya JamiiForums

    Msimu ni maneno yasiyo sanifu yanayoanzishwa na kikundi cha watu wachache wenye utamaduni mmoja ili kueleza mahusiano yao kama kikundi. Kwa kawaida maneno hayo huzuka na kupotea, ila yale yanayodumu husanifiwa na kuwa msamiati rasmi wa lugha. Tafiti zimebaini kuwa mitandao ya kijamii imekuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…