lugha

  1. JamiiForums Tanzania Watoto wafundishwe masomo kwa kiingereza toka wanapoanza nursery school

    Wasalaam wakuu Hivi ni kwanini watoto wetu wasifundishwe masomo kwa kiingereza toka wanapoanza nursery? Huu mfumo wa kuwafundisha kwa kiswahili mpaka la saba halafu waanze tena kufundishwa kwa kiingereza kuanzia form one ni mgumu mno Mtoto akifundishwa kwa kiingereza tokea nursery school...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa nchi za Afrika zinazoimba nyimbo za Taifa kwa lugha za kigeni

    Zamani hata kabla ya kuja wageni na dini za kigeni waafrika walimwomba Mungu kwa lugha zao na kulikuwa na matokeo ya haraka sana kuliko sasa katika dini za kigeni. Kuimba wimbo wa taifa kwa Kiingereza au Kireno au Kiarabu au Kifaransa hii ni sawa na kumkosea Mungu heshima, naipongeza Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Application ya Kutafsiri sauti ya lugha za kwenye Video

    Habari ya mda huu wana JF Kama kichwa kinavyojieleza wadau Hivi hakuna application inayoweza kutafsiri sauti ya kwenye video au audio ya kwenye video
  4. JamiiForums Tanzania Matumizi ya neno "Lugha ya kitaalam"

    Kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya wa Tanzania wa kada mbali mbali pale wanapo elezea jambo sasa inapokuja kuli tafsiri ilo neno au msamiati kutoka English kuja kiswahili, au kiswa kwenda Eng utasikia mtu anasema eti kwa lugha ya kitalaam inaitwa. Mfano: Mtalaam wa lishe labda anaelezea...
  5. JamiiForums Tanzania Namna ya kumfikisha mwanamke kileleni mapema

    Habarini wakuu.. Miezi kadhaa iliyopita nilijiwa na mshkaji wangu wa kitambo sana mtaani kwangu. Katika story za hapa na pale akanipa mbinu moja ya kumfikisha demu kileleni mapema ambayo yeye mwenyewe amewahi kutumia mara kadhaa. Anasema kabla ya kukamua show natakiwa niwe na vitu viwili...
  6. JamiiForums Tanzania Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

    Muda unaenda kasi sana! Wale wapambe wa kusifia kulikozidi kuabudu na misamiati yao ya kishamba naona sasa wanapukutika utadhani mbelewele za Mtama wa Kongwa. Eti Tunampambania, anatupambania! Too low! Hivi mtu anayetekeleza majukumu yake na analipwa pesa ndefu na nyingine anabeba na kugawa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana lugha ya Kichina na nyingine duniani kunakuza utandawazi na maendeleo

    Kubadilishana lugha ya Kichina na nyingine duniani kunakuza utandawazi na maendeleo Na Ronald Mutie Utandawazi unavyozidi kukua ndivyo mahitaji ya kujifunza yanaongezeka kutoka kwa nchi moja hadi nyingine. Mojawapo ya vikwazo vya kujifunza hata hivyo imekuwa ni tofauti ya lugha na tamaduni...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wachina wabadilisha mwelekeo na kufuatilia zaidi lugha za Afrika kikiwemo Kiswahili

    Hivi karibuni chuo kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing BEWAI kilifanya mashindano makubwa yaliyowashirikisha wanafunzi wanaosomea lugha mbambali za Afrika katika vyuo vikuu mbalimbali nchini China, zikiwemo Kiswahili, Kihausa na Kiamhara. Lengo la mashindano haya ni kukuza uelewa wa Wachina...
  9. JamiiForums Tanzania Lugha ya kiswahili itakufa? Nasikia watoto wa english medium hawakijui

    Juzi nimeona mtandaoni mama mmija akilalamika kuwa mwanae wa miaka 8 hajui vizuri kiswahili. Mwingine anasema mwanae anaongea kiswahili kama cha wahindi. Hili ni jambo zuri au ni tatizo? Hii ipo kwa kiasi gani? Kiswahili kinaenda kufa?
  10. JamiiForums Tanzania Wizara husika ya Habari na MCT je, Kichwa cha Habari hiki cha 'Kihuni' katika Gazeti la Yanga SC toleo la leo Jumamosi mmekibariki?

    Kichwa cha Habari ni hiki.... YANGA YAMBAKA MUME WA SIMBA Najua Simba na Yanga ni Watani wa Jadi ila sidhani kama katika Tasnia ya Habari Lugha hii ya 'Kihuni' na 'Udhalilishaji' inakubalika. Na kama GENTAMYCINE nitajibiwa kuwa ni Lugha njema tu hiyo basi nitaiomba Wizara husika na MCT...
  11. JamiiForums Tanzania Wasanii wanaotumia lugha chafu kwenye kazi zao kikaangoni

    Baraza la Kiswahili Tanzania (Bakita) limesema litaanza kuwashughulikia wasanii wanaotumia vibaya Kiswahili katika kazi zao huku likiwatolea mfano wasanii wa Bongofleva. Hayo yameelezwa leo Alhamisi Aprili 29, 2021 na mhariri lugha wa baraza hilo, Oni Sigala katika jukwaa la sanaa lililofanyika...
  12. JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Zoezi la kutafsiri Sheria kwa lugha ya Kiswahili linaendelea

    Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi amesema Wizara nyingine pamoja na Taasisi zinaendelea na zoezi la kutafsiri Sheria zinazosimamia ili ifikapo Desemba 2021 Sheria zote ziwe zimetafsiriwa kwa Kiswahili. Amesema Mahakama ipo katika hatua za mwisho kutafsiri Kanuni zaidi ya 50...
  13. JamiiForums Tanzania Ipi ni hatma ya lugha yetu pendwa kiswahili katika awamu ya sita?

    Habari wana JF, Nimesikiliza hotuba ya muheshimiwa Raisi kwa uzuri kabisa nikamwelewa, lakini lugha hii yetu pendwa (kiswahili) hajazungumzwa mahala popote. Hapo awali kiswahili kilitiliwa mkazo kwa sababu zinazojulikana na utawala uliopita. Lugha ya kiingereza ilionekana ni anasa au kielelezo...
  14. JamiiForums Tanzania Ijue maana ya neno "Demka". Ni Kiswahili kutoka Zanzibar chenye asili ya lugha ya Kikae

    Hongera Mh Rais Samia Suluhu kwa kutuongezea msamiati kwenye lugha yetu. Katika kongamano na viongozi wa dini Rais Samia ametumia neno la kiswahili ambalo ni adimu kulisikia mitaani ingawa ni neno la kiswahili kutoka asili ya kusini mwa Zanzibar. demka Taz. demnga. demnga V cheza ngoma kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hiki chakula kwa lugha ya kwenu wanaitaje?

  16. JamiiForums Tanzania Hata katika lugha ya Kiswahili, Kenya wametudhibiti kimataifa

    Na Elius Ndabila 0768239284 Ni kweli kuwa lugha ya Kiswahili pamoja na historia yake kubwa, lakini ni ukweli kuwa inazungumzwa sana pwani ya Afrika Mashariki. Na Tanzania ndiyo nchi ambayo ni Mama wa Kiswahili. Tulimushuhudia Rais wa awamu ya Tano akitumia kila jitihada za kukuza na kueneza...
  17. JamiiForums Tanzania Lugha ya kiswahili inaongelewa na watu wangapi duniani?

    Lugha ya kiswahili inaongelewa na watu wangapi duniani, ni ya ngapi kwa kuwa na waongeaji wengi?
  18. B

    JamiiForums Tanzania Lugha zenye kudumaza: Masikini, Wanyonge, Uzalendo na Mabeberu

    Huko nyuma, wale watu waliokutwa na virusi vyenye kusababisha ukimwi au ubakwaji, walikuwa wanaitwa waathirka (victims). Lakini kadri muda unavyoenda imegundulika hizi ni lugha zenye kurudisha watu nyuma na wengine mpaka sasa hivi wanaitwa survivors. Bahati mbaya wanasiasa wa chama hiki tawala...
  19. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila aanza kunena kwa lugha

    Bado haijafahamika kisa cha Mh Chalamila kuanza kujieleza kwa kiwango kikubwa kiasi hiki , huku akiwa hajaulizwa na mtu yeyote . Je anasukumwa na hofu ya upepo mpya unaovuma ?
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Samia amejipambanua kimataifa kwa kuipa lugha ya Kiingereza umuhimu wake

    Tunaipenda lugha yetu adhimu ya Kiswahili lakini hatuwezi kuipuuza lugha ya Kiingereza iliyotumika tangu ukoloni hadi 2015 ilipoanza kupoteza umaarufu. Lugha zote ni muhimu and 'they perfom the same function'
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…