lugha

  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kiswahili sasa Lugha rasmi ya Uganda, kufundishwa Shule za Msingi, Sekondari

    Bazara la Mawaziri la Uganda limeidhinisha matumizi ya Kiswahili kutumika kuwa lugha rasmi nchini humo pamoja na kuwa somo la lazima katika Shule za Msingi na Sekondari. Maamuzi hayo yamefikiwa ili kutekeleza mapendekezo ya Azimio la 21 wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, waliopitisha...
  2. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kujifunza lugha ya KIARABU

    Wakuu nimepata fursa ya biashara ya kuuza Mkaa katika nchi wanazozungumza Kiarabu Egypt, Oman, Bahrain, Kingdom of Saudi Arabia, UAE na Qatar. Ili kurahisisha mawasiliano nimeona nijifunze lugha pendwa. Wapi naweza kujifunza kwa Dar es Salaam? Gharama sio tatizo. **Walimu wawe professional...
  3. JamiiForums Tanzania Jamii Forums kwanini tusimwombe Profesa Shivji awe anatufundisha sheria kwa lugha ya Kiswahili hapa jukwaani?

    Najua Prof. Shivji ni mwalimu wa sheria hapo school of Law. Sina hakika kama huwa anapata muda wa kuielezea au kufundisha sheria kwa lugha ya kiswahili. Mimi kiukweli baada ya kutoa somo lake la sheria ya umiliki wa ardhi kwa lugha ya kiswahili nimejikuta nakua mpya kabisa kichwani kuliko...
  4. JamiiForums Tanzania Nashauri simu zote ziwe na lugha ya Kiswahili ili kuhimiza matumizi ya Kiswahili

    Katika kuhimiza matumizi ya kiswahili simu nashauri ziwe katika lugha ya kiswahili zote hii itasaidia pia katika matumizi ya lugha
  5. JamiiForums Tanzania Msanifu Lugha Daraja II (Nafasi 1) BAKITA

    POST MSANIFU LUGHA DARAJA II - 1 POST EMPLOYER Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-14 2022-06-27 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kusaidia kufanya kazi za utafiti kuhusu istilahi za masomo mbalimbali; ii. Kukusanya na kuchambua istihali...
  6. JamiiForums Tanzania Mchunguzi Lugha Daraja la II - 1 Post

    POST MCHUNGUZI LUGHA DARAJA LA II - 1 POST EMPLOYER Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-14 2022-06-27 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kusoma miswada ya vitabu vya kitaaluma na kushauri kuhusu lugha iliyotumika; ii. Kutoa mapendekezo ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania PICHA: N/Waziri mwenye lugha ya dharau kwa Vijana enzi zake akiwa choka mbaya

    Hapa ni kabla hajatumia ile technic inayotumiwa na wengi ya kumtukana Mbowe na CHADEMA kisha kupewa ulaji na kulambishwa asali, jamaa keshasahau kwa sasa anawaona vijana wasio na ajira wanaotafuta mikopo na kukosa kwamba ni wajinga fulani hivi au ni wakenya kwa akili yake na ujeuri wake ni...
  8. JamiiForums Tanzania Ni Rais gani atarudisha Kiingereza kama lugha ya kufundishia Tanzania?

    Watanzania wote tumeiona Loyal Tour ikichezwa kwa lugha ya kiingereza na sio kiswahili. Tunaitangaza nchi yetu na vivutio vya utalii kwa lugha ya kiingereza kwa nini lugha hii isiwe haki ya raia? Wasanii wetu wachekeshaji hawaendi Nigeria wala Ghana kisa language barrier. Sasa umefika wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Usahili Utumishi zitumike lugha zote

    Habari Za Mchana, Poleni na majukumu na mihangiko ya Kila Siku na Kwa wale watakaofanya Usahili kesho niwatakie Usahili Mwema. Sasa nirudi Kwenye topic, hili suala nimekua nikiliangalia Sana kwenye Usahili ukienda lugha inayotumika kuwasahili ni kiingereza. Hivi wanavyofanya hawatendi haki...
  10. JamiiForums Tanzania Lugha 10 za Afrika zaongezwa Jukwaa la Google Translate

    Google imeongeza Lugha mpya 24 zinazozungumzwa na watu zaidi ya Milioni 300 katika Jukwaa lake la Tafsiri za Lugha 'Google Translate'. Idadi hiyo itafanya Lugha zilizopo ikiwemo Kiswahili kufikia 133 Inaelezwa kuwa kati ya Lugha zinazoongezwa, 10 zinatokea Barani Afrika. Kampuni hiyo imesema...
  11. JamiiForums Tanzania Napendekeza Kisukuma iwe lugha ya pili ya Taifa la Tanzania

    Mhola sana waungwana! Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora. Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya Tanzania hasa Mkoa wa Morogoro, Mara,Kagera,Kigoma,Lindi,Singida,Dodoma,Mbeya na Pwani. Baadhi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Anuani za makazi VS Lugha ya Malkia

    Bongo hapa kila kitu shida, kama mambo madogo haya yanakosewa hivi,je masuala serious itakuaje? Kama Kingereza kimetushinda tukipe nguvu Kiswahili 😂😂😂😂 Hii ndio nini sasa👇
  13. JamiiForums Tanzania Habari Njema kwa wadau wa AI hasa hasa NLP: Amazon wazindua dataset ya lugha 51 free kwa developers

    Hello bosses.... Jana Tarehe 20 April 2022 ilikua ni siku ambayo itaingia kwenye record ya maendeleo kwenye field ya Artificial Intelligence hasa hasa upande wa NLP & NLU (Natural language processing & Natural Language Understanding). Siku hio Amazon walitoa wazi dataset yenye lugha 51 zikiwa...
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maktaba ya Kitaifa ya Kenya yaandaa shughuli za lugha ya Kichina

    "Ni maua ya kupendeza ya asumini, yanachanua na kutoa harufu nzuri na kuwavutia watu..." Tarehe 8 Aprili katika Maktaba ya Kitaifa ya Kenya jijini Nairobi, mhitimu wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Nairobi alikuwa akifundisha jinsi ya kuimba wimbo wa Kichina "What a Beautiful...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huyu askari Magereza aliyepishana Lugha na hayati JPM alifutwa kazi? Kama alifutwa kazi sasa yupo wapi?

  16. JamiiForums Tanzania NAMNA YA KUBADILISHA LUGHA KWEBYE DASHBORD YA PREMIO

    Samahani wakuu nawezaje kubadili lugha kwenye dshbord ya premio?? nimeambatanisha picha ya ninachomaanisha kwa msaada zaidi
  17. JamiiForums Tanzania Kiingereza ni lugha tu kama nyingine, siyo kipimo cha maarifa

    Nyota wa Bongo flavour Diamond Platnumz amepata taabu sana mitandaoni kwa siku kadhaa sasa kutokana na kiingereza chake kwenye filamu ya #YoungFamousAndAfrican. Mdau mmoja amesema kuwa wengi hapa Afrika hususan Afrika Mashariki bado fikra zetu zinatawaliwa na wakoloni. Kiingereza sio kipimo...
  18. JamiiForums Tanzania Kama Kiswahili ndio lugha ya Taifa, Serikali ihakikishe kinatumika katika nyanja zote muhimu ikiwemo Elimu

    Kiswahili na Kiingereza, ni lugha mbili ambazo zipo kwenye mitaala ya elimu yetu nchini, lakini asilimia zaidi ya 80 ya watanzania hawajui lugha zote mbili Kwa ufasaha. Au hata lugha Moja tu kwa ufasaha na usahihi. Ni kwa sababu ya uwepo wa lugha mbili ambazo, hupokezana na huingiliana kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, lugha ya Kiswahili kutambulika kama lugha ya Kenya katika apps?

    Moja kwa moja.. Leo katika kuperuzi katika nikakuta adds ya app ya kujifunza kuongea kimalkia nikaamua kuipakua . Nimestaajabu kikivyokuja kipengele cha kuchagua lugha yako unayoitumia Kiswahili kukuta imewekewa bendera ya Kenya wakati Tanzania ndiyo wazungumzaji wa Kiswahili kwa asilimia...
  20. JamiiForums Tanzania Askari waonywa kutotumia lugha za kifedhuli, waambiwa rushwa ni chanzo cha ajali

    Kamishna wa Polisi Zanzibar, CP Awadhi Juma Haji ametoa maelekezo kwa Jeshi la Polisi kufanya oparesheni za kukamata madereva wote ambao wataendesha abiria bila kuvaa kofia ngumu katika pikipiki, kuendesha kwa mwendo kasi, kuendesha gari bila leseni na makosa ya kuegesha magari hovyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…