lodge

  1. Yoda

    Mgambo wa maadili wa Sharia wavamia lodge kutandika watu wakati wa Eid nchini Nigeria

    Mgambo wa maadili wa Sharia katika Jimbo la Katsina, Nigeria wakiwa na viboko na marungu wamevamia lodge mojawapo jimboni humo na kuanza kutandika wateja. Majimbo 12 kati ya 36 ya Nigeria yana utawala wa Sharia wa Kiislamu ambapo huwa na mgambo waitwao Hisba kuhakisha Sheria ya Kiislamu...
  2. Munch wa Annabelle

    Guest na Lodge wamezijaza wao lakini kwa unafiki wataanza memes za kuwasema waislam

    Shalom shalom Nipo kwenye group ambalo members wake asilimia 99 ni makafiri huku kobaz tukiwa wawili tu. Vilevile huo mkoa asilimia kubwa ni hawa ndugu zetu katika imani asilimia 99 Chakushangaza washaanza memes za kudai kobaz wapunguze oda za Lodge na guests wakati kuhalisia hata kobazi wa...
  3. O

    Kuna shida Kwa wadada WA Guesthouse na lodge

    Eti Hawa wadada ukiwaangalia usoni ni kama wamevimba macho LAKINI pia wengi Huwa wamejaa miwili YAKO shida KUBWA ni kama hawako sawa kisaikolojia YAANI ni kama wameathiriwa Kwa namna flani . Je wewe ukiwa safari unaona wadada waguest WAKO sawa?
  4. Poker

    Ni kwanini wamiliki wa lodge na hotels ni wagumu sana kufanya marekebisho ya biashara zao?

    Unakuta mtu kajenga lodge au hotel yake nzuri kabisa, ila sasa kufanya marekebisho au renovation inakuwa mtihani sana. Kuna mkoa nilienda mwaka 2022, nikafikia lodge X, ilikuwa nzuri kabisa ila vitanda na shower zake zilikuwa zishachoka. Nilirudi tena mwaka 2025 na nikakuta shower na vitanda...
  5. B

    President Museveni's New Year's Message | Nakasero State Lodge, 31 Dec 2025

    President Museveni's New Year's Message | Nakasero State Lodge, 31 Dec 2025 https://m.youtube.com/watch?v=Fh84WRufRiI This is the annual presidential message delivered on 31 December 2025, where the Head of State reflects on the year’s progress and outlines priorities for the coming year.
  6. K

    Lodge nzuri Njiro Arusha

    Habari wanajamvi Ni lodge/ guesthouse gani nzuri Arusha maeneo ya njiro na karibu kwa budget ya 25-30k per night .
  7. Isenye

    Lodge za Msamvu Morogoro zimejaa kunguni balaa

    Nimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu. Kuna kunguni balaa. halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    Wakuu napita hapa nje ya lodge moja hivi, kuna sauti naisikia

    Nasikia sauti kama vile mtu anapiga makofi paa, paa, paa, paa, paa kwambali nasikia kama sauti ya mtu anagugumia. Inaweza kuwa nini? CCM imetutoa mbali sana. Asanteni.
  9. tonicimmobility

    Lodge zenye masharti kama haya zinapatikana wapi wakuu?

    Wakuu hivi lodge zenye masharti kama haya zinapatikana wapi?
  10. SankaraBoukaka

    Wenye Guest House na Lodge Siye Tunaochepuka na Wake za Watu – Tunaomba Muondoe Magrill Madishani!

    Wapendwa wamiliki wa Guest House na Lodge kote nchini, Kwa heshima zote, nyenyekevu, na kwa maumivu ambayo hayawezi kuelezwa kwa lugha ya kawaida, tunawaomba kwa moyo wa dhati MUONDOE MAGRILL MADIRISHANI! Hili siyo ombi la kawaida. Huu ni wito wa dharura kutoka kwa sisi watu wa vishughuli vya...
  11. stan john

    Msaada Hotel na lodge za manzese ya Bei nafuu 15-20

    Naomba msaada kwa anayejua ntaweza kupata hotel au lodge ya Bei 15 hapa maeneo ya manzese anitajie Nina uhitaji mkubwa Logde au hotel inayoanzia chumba 15 , naomba anitajie Au naomba mnitajie Bei za hotel na lodge manzese
  12. Damaso

    Airbnb Inavyokwenda kuua Soko la Guest House na Lodge

    Katika miaka ya hivi karibuni, huduma ya Airbnb imekuwa ikiibuka kwa kasi kubwa nchini Tanzania na duniani kote. Hii ni jukwaa la kidigitali linalowawezesha watu binafsi kukodisha nyumba zao au vyumba kwa wageni kwa muda mfupi, na kuleta ushindani mkubwa kwenye sekta ya malazi ambayo hapo awali...
  13. Faana

    Msaada: Lodge nzuri Ngerengere

    Naomba msaada kwa anayeijua vizuri Ngerengere, nina wageni wanataka kwenda huko je kunapatikana lodgings nzuri? Bei gani? Je upatikanaji wa chakula upoje? Na umbali gani kutoka stesheni ya sgr? Natanguliza shukururani
  14. Gordon Technology

    HOTEL LOCKING SYSTEM INSTALLERS IN DAR ES SALAAM AND MWANZA(SMART LOCK HOTEL)-0746373222.

    HLS ( HOTEL LOCKING SYSTEM). Hii ni system inayotumika katika vyumba vya hoteli na lodge. Ni maalum kwa ajili ya milango inayofunguka Kwa kadi. System hii inakupa option ya ku-create kadi ya kufungua Mlango iweze kutumika ktk muda ambao mteja amelipia chumba, mfano mteja kalipia chumba siku...
  15. Pdidy

    Kama kuna wanaotaman kesho iwe April wenye lodge na wauza kitimoto kwa sasa wanateseka SANA sana

    YAAN Huu mwezi imekuwa mchungu sana kwa wenye lodge na wauza kitimoto bila kusahau madada poa huu mwezi wameamua hadi kushusha bei hii na Baraka KUBWA SANA Jana nilienda kumchukua kijana MMOJA alikuwa lodge sinza na Gen z MMOJA GAFLA akaniambia nimsubiri SEHEMU ya vinywaji nikajiagizia wine...
  16. K

    Natafuta lodge au guest bubu ya bei rahisi mbeya mjini

    Kesho asubuhi nitakua mbeya mjini kwa shughuli zangu binafsi. Natafuta lodge au guest house zile bubu ya bei rahisi,budget yangu ni shilingi za kitanzania elfu 8 to 10. Iwe mbeya mjini maeneo ya kuanzia uyole,nanenane,ilomba,Sae,Mama John,Soweto,isyesye na mafiati.iwe na usalama wa kueleweka na...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ni Nini tofauti kati ya Guest house, Lodge, Hoteli na Motel?

    Wakuu ebu nipeni majawabu kujifunza hakuishi. karibuni
  18. Fally kidoba

    Biashara ya lodge au bandas.

    Habari wakuu naomba wataalam au waliowahi kufanya, wanatarajia wanafanya Biashara hii ya lodge au maarufu kama bandas. Zinakuwa kama kota, zenye mazingira tulivu yenye garden kiasi na sehemu ndogo ya chakula na vinywaji kama picha inavyoonekana hapo..Tupeane tips kidogo uendeshaji wake...
  19. O

    Unafunga TV sebuleni lakini kunakuwa hakuna tofauti na Bar au lodge

    Watu wengi hufunga TV ukutani kwa urefu wa kimo kikubwa sana zaidi ya mita Moja na ushee, yaani unakaa sebuleni utafika uko bar au lodge, kuangalia TV nimpaka uinue shingo juu au ulale kwenye mto wa kochi/sofa kichwa juu. Hapo UNAAMBIWA wanaogopa watoto wasivunje TV, Kwani watoto ni wajinga...
  20. Jamii Opportunities

    Assistant Lodge Manager at Planet Lodges February 2025

    Job Title: Assistant Lodge Manager. Location: Arusha & Serengeti, Tanzania About Us: Planet Lodges is hiring new talent for multiple openings at our brand-new SPA and existing properties. We are seeking passionate, experienced professionals to join our team. Get ready for an exciting career...
Back
Top Bottom