Misukule ile🤣YAANI ni kama wameathiriwa Kwa namna flani .
I'm a travellerHuo utafiti n wa hali ya juu sana. Ulipita guest ngapi ukawaona ndugu
ok nipoa basi macho yako yana shida huoni vizuri ndo maana picha linakuja hivo fanya ulewe siku moja uingie huko utamuona mzuri tuI'm a traveller
Uko wapi tena brozaaaok nipoa basi macho yako yana shida huoni vizuri ndo maana picha linakuja hivo fanya ulewe siku moja uingie huko utamuona mzuri tu
Au ni macho yako yamevimba!?Eti Hawa wadada ukiwaangalia usoni ni kama wamevimba macho LAKINI pia wengi Huwa wamejaa miwili YAKO shida KUBWA ni kama hawako sawa kisaikolojia YAANI ni kama wameathiriwa Kwa namna flani .
Je wewe ukiwa safari unaona wadada waguest WAKO sawa?
Kushika janaba daily na sometimes vinyesi, mikojo na matapishi sio kazi ndogo.. Pamoja na energy zote za wageni.. Ni vitu vyenye athari kubwa kimwili na kirohoEti Hawa wadada ukiwaangalia usoni ni kama wamevimba macho LAKINI pia wengi Huwa wamejaa miwili YAKO shida KUBWA ni kama hawako sawa kisaikolojia YAANI ni kama wameathiriwa Kwa namna flani .
Je wewe ukiwa safari unaona wadada waguest WAKO sawa?
Wanamarupurupu mengi kuliko mshaharaWanakutana na changamoto nyingi nyingi wawapo kazini. Halafu ukizi gatia ni kazi ambayo hawaifurahii. Lazima akili yao iwe na wenge.
niko wapi kivipi bro cjakuelewa. Namaanisha ukilewa kila demu n mzuri na mrembo nduguUko wapi tena brozaaa
Acha zakoniko wapi kivipi bro cjakuelewa. Namaanisha ukilewa kila demu n mzuri na mrembo ndugu
UNATAKA nilale lodge za Bei gani isiyo RAHISI ?, Bei RAHISI kwako ni ipiAcha kulala lodge za bei rahisi
Upo sahihi. Wanafurahia.Wanamarupurupu mengi kuliko mshahara
halafu unasema hawaifurahii? Umetumia methodology gani dada
Eti Hawa wadada ukiwaangalia usoni ni kama wamevimba macho LAKINI pia wengi Huwa wamejaa miwili YAKO shida KUBWA ni kama hawako sawa kisaikolojia YAANI ni kama wameathiriwa Kwa namna flani .
Je wewe ukiwa safari unaona wadada waguest WAKO sawa?