lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Tundu Lissu: Samia ni Malkia mwenye kauli tamu

    Hahahaa Tundu Lissu is on some shyt for real! Anywho, ana hoja za msingi sana kama ukimsikiliza kwa utulivu na kwa kutumia akili na si hisia. Intellect over emotions. Companero 😉😁
  2. S

    Rais Samia, amuru Tundu Lissu alipwe haki zake zote anazodai pamoja na hela ya matibabu

    Mama Samia, kama kweli umedhamiria kurudisha umoja wa kitaifa na kutibu majeraha yaliyotokana na uongozi uliopita, moja ya jambo linalostahili kufanyika ni kwa serikali yako kumlipa Tundu Lissu haki zake zote zikiwemo fedha za matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi. Japo mini si kiongozi...
  3. J

    Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

    Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake. Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa. Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye...
  4. Nguvu ya CHADEMA mitandaoni imeenda wapi?

    Amani iwe nanyi. Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji. Kuna group linaitwa Chadema in Blood kule Facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko Instagram ndiyo balaa kabisa, njoo JamiiForums hali ni hiyo...
  5. D

    Tundu lissu: asema kuna Ishara ya Umagufuli bila Magufuli mwenyewe

    Wakati akihojiwa na DW! Tundu lissu kasema! Hakuna ishara yoyote ya mabadiliko iliyopo katika utawala huu, zaidi anahofia kuna dalili za Umagufuli pasipo Magufuli mwenyewe!
  6. Ndugu Lissu, ukitaka kurejea nchini rejea; usiweke masharti haina maana

    Habarini za jioni, Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mara kadhaa nimeona katika mitandao Ndugu yetu,kaka yetu Lissu akizungumza kuwa atarudi Tanzania endapo jambo fulani na fulani litafanyika. Hii sio sawa kwa sababu zifuatazo: Kusema kuwa mukitaka nirudi basi mufanye...
  7. Lissu: Nitarejea Tanzania endapo yafuatayo yatafanyika

    Dar es Salaam. Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameomba kuhakikishiwa mambo sita ili aweze kuanza safari ya kurejea nchini akitokea Ubelgiji anakoishi tangu Januari mwaka 2018. Lissu, aliyepelekwa kwa matibabu nchini Ubelgiji Januari 2018 baada ya kushambuliwa kwa risasi akitokea...
  8. Tofauti kubwa kati ya Mbowe na Tundu Lissu

    Freeman Mbowe Mbowe kwa upande wa akili. Hana. Ila anajitahidi wakati mwingine kuonesha ana busara. But angekuwa na akili na busara angekuwa mwanasiasa mzuri zaidi. Kuna kipindi sababu ya kukosa akili anakosea steps. Mfano: Suala la kusema alivamiwa akapigwa kuvunjwa mguu halikuwa na ukweli...
  9. N

    Johnthebaptist amevunjwa vunjwa miguu kama Tundu Lissu

    Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama...
  10. S

    Tundu Lissu: Miradi mikubwa ya Hayati Magufuli ni majanga yajayo ya kiuchumi

    Ameandika hivyo kupitia twitter: Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
  11. Sikubaliani na Tundu Lissu kuhusu Hayati Magufuli

    Ndugu Tundu Lissu, ingawa yuko CHADEMA na mimi CCM, ni zaidi ya rafiki kwangu. Nimemzidi umri na uzoefu katika siasa lakini amenizidi maarifa ya kisasa. Lissu nipo naye kwenye shida na raha kisiasa na kimaisha. Ni zaidi ya ndugu yangu. Tunafurahi wote na kuhuzunika pamoja. Lissu, mwanzoni...
  12. Sijui Lissu yuko wapi? UN wanamlilia Magufuli kama kiongozi bora

    Muongo siku zake 40 ila Lissu sijui tumpe siku ngapi. Hakika antipas Lissu ametokea kua mwanasiasa anayesukumwa na chuki na uongo uliyopitiliza dhidi ya kiongozi mzuri aliyewahi kutokea bara la Afrika. Kama Lissu ni mtu wa kawaida na sio mgonjwa wa akili angesema kitu kuonesha aibu kwa namna...
  13. J

    Tundu Lissu: Bajeti ya kwanza ya Magufuli imefeli kuliko bajeti zote katika Historia

    Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akiwa anahojiwa na Mwananchi amezungumzia maswala ya Lipumba na CUF na future ya upinzani Amedai Lipumba kutumiwa na CCM ni kutawafanya wapinzani waungane kuliko hata mwazoni Akaziungumzia bajeti amedai kati ya bajeti ya trilioni 29 ambazo 11 ni za fedha...
  14. Tundu Lissu ana ushawishi gani TLS, Mbona kila anayempendekeza anashinda?

    Fatuma Karume, Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea, hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono. Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika?
  15. Video: Tundu Lissu aliwahi kunena haya kuhusu mfumo wa kodi

  16. Tundu Lissu: Wamilili wa Online Tv walipwe fidia, waliozifungia wachukuliwe hatua, maana Rais amesema zilifungia kimakosa

    Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatua.
  17. Tundu Lissu: Bila kuweka taxpayers bill of rights walipa kodi wataendelea kuonewa na kupata dhuluma.

    Ni ushauri mzuri kabisa ambao kama ukifuatwa basi mambo ya kubambikia kesi watu na walipakodi kuonewa kutakwisha. Hii kitu Lissu aliisema sana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu
  18. B

    Upotoshwaji wa mazungumzo ya PLO Lumumba, Lissu - VoA

    Mabibi na mabwana kuna upotoshwaji wa wazi wa kilichotokea straight talk Africa jana. Labda kwa sababu ya siku 21 za maombolezo ya msiba mkubwa tuliomo, Star TV hawakuyaonyesha kabisa mazungumzo hayo. Kilichotokea katika mazungumzo haya ya nia njema kama yalivyokuwa, Lissu aliongea kwanza na...
  19. Hongera Rais Samia Suluhu Hassan, Sasa rasmi, Tundu Antiphas Lissu amekusafishia njia Kimataifa

    Amani iwe nawe Mama yetu, Napenda tu kukwambia, kati ya mambo ambayo wadau wa kimaendeleo wanayaangalia juu ya kiongozi ni maoni ya wapinzani wake juu ya utawala wake. Maoni ya mpinzani wako kwanza yanawapa confidence development partners, pili yanawapa trust foreign investors na tatu...
  20. Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

    Nami nimeyatazama mahojiano ya Tundu Lissu na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kirushwacho na runinga ya Voice of America. Bw. Lissu kaongea mambo mengi. Na kama kawaida yake kila apatapo wasaa au fursa ya kufanya hivyo, kwenye mahojiano haya na Shaka, katema nyongo yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…