lini

Linyi (simplified Chinese: 临沂; traditional Chinese: 臨沂; pinyin: Línyí) is a prefecture-level city in the south of Shandong province, China. As of 2011, Linyi is the largest prefecture-level city in Shandong, both by area and population, Linyi borders Rizhao to the east, Weifang to the northeast, Zibo to the north, Tai'an to the northwest, Jining to the west, Zaozhuang to the southwest, and the province of Jiangsu to the south. The name of the city Linyi (临沂) literally means "close to the Yi River".
The city recently expanded along the Yi River to Nanfang, now called the Beicheng New Area, under the slogan "Grand Linyi, Beautiful Linyi, New Linyi". Multiple recreational parks were built, along with new school campuses etc. The development is a consequence of a series of governmental projects, including relocate the city government, which is expected to stimulate the economy.
The population was 11,018,365 at the 2020 census, of which 3,651,868 lived in the built-up area made up of Lanshan District, Luozhuang District and Hedong District, as well as Linyi National Hi-Tech Zone.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wabara wamekuwa kama watume wa Malikia Samia! Mungu ni lini Tanzania tutakuwa huru?

    Kama sio chawa ni kumfurahisha Mama na masiha yake tu Wabara wamekuwa kama watume wa Malikia Samia! Mungu ni lini Tanzania tutakuwa huru? https://youtu.be/Ur_aGlVQTkA?si=PpXpuKdFaQp7D22f
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Ni Lini Maisha Yaliwahi Kuwa Rahisi?🤔

    Wazee wa zamani wakianza kupiga story utasikia wanasema enzi zetu maisha yalikuwa rahisi au mazuri Ila ukweli ni kwamba wazee wanaosema hivyo ni wahongo hawana tofauti na motivational speaker wa kileo Kwanini nasema ni wahongo leo nilikuwa nimeketi nikawa na playlist ifuatayo 1: less wanyika...
  3. JamiiForums Tanzania Je, wakati (time) una mwisho au ulianza lini?

    Nimesoma Big bang ila sjapata majibu.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hivi NMB Jumatatu itakuwa lini

    Wana JF nani anajua Jumatatu ya hawa jamaa wa NMB itakuwa lini? Kwenye calender ya Gregoly, waliyotwambia ndiyo leo kakini mambo ndiyo bado magumu kabisa hata hizo sijui POS nazo hakuna kitu asubuhi hata ATM zao zililinuna kabisa duuuhhh.
  5. JamiiForums Tanzania Lini tutaanza kukiendeleza Kisiwa cha Mafia kwa ajili ya utalii

    Hivi unajua beach za Mafia hazina tofauti na za Zanzibar Kwa nini serikali isiwekeze kuitangaza Mafia kwa utalii at least pafanane kimaendeleo na Nungwi, Zanzibar Nilienda Nungwi mwaka jana, actually ni pazuri sana. Nungwi hata sio mji mkubwa kama Stone Town ni kamji kadogo tu lakini kana...
  6. JamiiForums Tanzania Mbio za Urais 2030 zitaanza lini, au tayari?

    Mbio ndefu zinaanza kidogokidogo ili kuhifadhi nguvu za kumalizia https://youtu.be/_grDI6frFtI?si=lxjChaUFa8fldjfm
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Michese ujenzi utaisha lini? Diversion ni ndefu inayoongeza gharama ya nauli

    Barabara kipande cha vumbi Michese Dodoma ni kero kubwa na baada ya njia rasmi ya magari kufungwa na inayokusudiwa na wasafiri kutopewa umuhimu sisi wakazi wa Michese tunateseka saana usafiri umekuwa mgumu saaana ni kama hatuna diwani wala serikali. Njia rasmi ilifungwa kupisha SGR inayokwenda...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu Jamaa Anakuja Lini?

    Tangu tukiwa wadogo tukiwa tunapiga kelele, story imekuwa ni moja tu jamaa anakuja! Walimu walikuwa wanatupiga mkwara hadi tunashindwa kulala, tukihisi tukifumba tu macho, jamaa huyo hapa getini. Lakini miaka imekata, 2030 hiyo hapo inachungulia, na maisha bado ni yaleyale, foleni za...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania Sijui ni wapi na lini tulimkosea Mh Rais na hataki kutusamehe! Moyo wangu unajaa huzuni sana Kila nikimuona

    Labda tukumbushane ndugu zangu Watanzania, ni lini na wapi tuliwahi kumkosea Mh Rais Nakumbuka mengi sana ambayo, kama angeliyasemea tu na kuyakemea, tusingekuwa hivi tulivyo Leo Au basi
  10. JamiiForums Tanzania Hivi haya mambo ya kupoteza makamanda wa CHADEMA yataisha lini?

    Huyu naye inasakiwa amepotezwa. 👇 Julius Mbalile Erick (pichani), alikuwa ni Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Murongo Jimbo la Kyerwa mkoani Kagera. Kwa mujibu wa taarifa ya aliyekuwa Mbunge wa CHADEMA, Anatropia Theonest ambayo imetolewa leo, Julius Mbalile Erick alitekwa na kupotea katika...
  11. JamiiForums Tanzania Video ya home boy itatoka lini?

    Iko njiani. Watch trailer yake:
  12. JamiiForums Tanzania Waislamu ni lini mtajua dini madhehebu na siasa kama ilivyo dini nyengine.

    Shida kuelimisha mtu kama kobe kujiondoa kwenye gamba lake. Dini zetu zimetumia nguvu nyingi kumwaga damu zaidi ya history za vita ya dunia zote. Dini zimekuwa kujificha kwa watawala kuanzia imani zao na kabira zao japo wanaweza kutumia haya. Kuna mada wengi wanadanganywa uislamu ulikuwepo...
  13. JamiiForums Tanzania Jf team hizi project lini zitamilika?

    Hizi project hapa mbona mmeikalia kimya.
  14. A

    JamiiForums Tanzania HOJA BARABABARA YA MKUYUNI - VOIL (MWANZA) ITATENGENEZWA LINI?

    Wakazi wa mwanza, Nyamagana kwa miaka sasa tunateseka na ubovu wa barabara katika wilaya yetu na hasa barabara kuu ya kuelekea mjini. Barabara ina mashimo mengi, vumbi na mbovu. Mradi wa SGR haukamiliki na hatujui timeline yao ni ipi, lakini kadhia ya kutumia barabara hii ni kubwa. Tunaomba...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Upweke umri wake mwisho lini ?

    Mtu anatakiwa aolewe akiwa na umri gani?
  16. JamiiForums Tanzania Lini watanganyika watajibu mapigo kwa yanayoendelea Zanzibar?

    Kauli za kuudhi za mara kwa mara kutoka kwa wazanzibari. Sheria kandamizi za wazanzibari kwa watanganyika Ubaguzi wa waziwazi wa wazanzibari kwa watanganyika tena wazanzibari wengine wanawabagua watanganyika hapa hapa Tanganyika , haswa wale waliopo vyuoni. Dharau za viongozi wa dini wa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania bara, ni lini mtaamka na kutambua kwamba mgogoro wa CCM dhidi ya CHADEMA ni wa kutengenezwa kuwagawa Watanzania bara?

    Nimetafakari sana matukio yanayoendelea Tanzania hivi karibuni. Kuna jambo moja la kutisha sana nimegundua. Ni kwamba haya mambo yanayoendela Tanzania, hususa kinachoonekana kama ni mgogoro wa CCM dhidi ya Chadema na suala la Katiba, ni mambo yalipangwa na yanaratibiwa ili kuwagawa Watanzania...
  18. JamiiForums Tanzania What Happened in Oct. 29: Pongezi Balile wa TEF Kwa Uzalendo, Ila Tanzania Tunatia Aibu!. Tutategemea Wageni Mpaka Lini?!. Tujenge Uwezo wa Ndani!.

    Wanabodi, Hili ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikitoa pongezi kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Deodatus Balile, kwa uzalendo wake kuhusu kile kilichotokea October 29, katika filamu kuhusu kilichotokea. Kiukweli, Tanzania na Watanzania, tunatia aibu...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha haya tutayapata lini?

    Unemployment rates inafanya kazi ya walimu kuwa ngumu.
  20. JamiiForums Tanzania Umewahi kula papa? Mara ya mwisho lini?

    Mi sikumbuki lini ni kama mwaka Sasa. Kinachonifanya nsipende sana ni shombo yake.dizaini naifananisha na mk*j*..Ina shombo Kali nisamehewe😒 Pili ni chumvi nyingi sana. Mie asili yangu ni pwani,hiyo ni kitu pendwa kule.wanapenda kavu au na muhogo.mhogo wa nazi au ugali wake wanaita bada. Na pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…