Hivi vitimbi vya mama kijacho huisha lini?

Wenyewe hupenda kusema "every pregnancy/child is different" hivyo hakuna kukariri wala kushare experience wewe jua tu kucheza kwa akili kubwa ili kutokumkwaza mama kijacho. Wewe hata akikuchagulia bakuri la kunywea maji wewe piga tu huku ukitabasamu. Akisema leo usiende kazini wewe kaa nae vizuri mdanganye danganye bembeleza omba kisha aga kwa ahadi ya kurudi mapema. Ukichelewa uje na kile anachokipenda.
 
IMG-20250118-WA0256.jpg
 
Nimekuelewa vyema mkuu. Leo alikuwa hataki niende kazini kabisa nmejiandaa mpaka nimemaliza namuaga kanuna hajajibu chochote. Juzi pia ilikuwa hivyo
 
Back
Top Bottom