Mama anatoka lini heda?

Mama anatoka lini heda?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,341
Reaction score
11,918
Nijuzeni nina yangu ambayo itakuwa double heda kwake je lini anatoka?

Pole Mama ila lini watoka heda?
 
Heda ndiyo nini? 🤔

Halafu Platinum member kabisa 😩ni huzuni 😅😅😅
Kukosea kupo ni sawa na wewe ulikuwa umeandika Afu badala ya Halafu. Japo matumizi ya H NA A kuna baadhi yanawasumbua kwa sababu za lugha mama. Kwa wewe kuandika afu badala ya halafu ni swala la kimazoea
 
Mleta mada asikoselewa kwa kukosea ku-type wakuu, tukumbuke ulimi hauna mfupa, na vidole havina mifupa migumu.
 
Kukosea kupo ni sawa na wewe ulikuwa umeandika Afu badala ya Halafu. Japo matumizi ya H NA A kuna baadhi yanawasumbua kwa sababu za lugha mama. Kwa wewe kuandika afu badala ya halafu ni swala la kimazoea
Sahihi kabisa nakubaliana na wewe Mkuu
 
Kukosea kupo ni sawa na wewe ulikuwa umeandika Afu badala ya Halafu. Japo matumizi ya H NA A kuna baadhi yanawasumbua kwa sababu za lugha mama. Kwa wewe kuandika afu badala ya halafu ni swala la kimazoea
Huyo wa heda hajakosea kuandika ila hajui
 
Back
Top Bottom