Jaji Joseph Sinde Warioba atastaafu lini?

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,170
Reaction score
14,869
IMG_3261.png

Kumbu kumbu za Wikipedia zinaonesha Jaji Joseph Sinde Warioba alizaliwa mwaka 1940, kwa sasa ana miaka 86, lakini amekua active kwenye siasa kama kijana aliyoko katika umri wa 30’s Mzee huyu pia amekaidi ushauri wa Madaktari ya kupata mda mwingi wa Kupumzika na badala yake amechagua kuwa Active kwenye harakati.

Jaji Joseph Sinde Warioba alidondoka ghafla wakati anatoa nondo zake za kiharakati jambo lililoashiria afya yake si nzuri kwa sasa na amegoma kustaafu kabisa.
 
View attachment 3665807

Warioba na wasira nani mkubwa ?
 
Bora Warioba anakomaa na uzee huo kutetea watu wasitekwe kuliko zee la hovyo liitwalo Wassira linalosema watu hawatekwi japo kiumri na Warioba hawana tofauti.

Na ukitaka kufahamu wazee wa hovyo na wa maana wanajulikana angalia post mbili za jana moja ya msiba na nyingine ya Warioba halafu linganisha maoni ya watu.
 
View attachment 3665807
Kumbu kumbu za Wikipedia zinaonesha Jaji Joseph Sinde Warioba alizaliwa mwaka 1940, kwa sasa ana miaka 86, lakini amekua active kwenye siasa kama kijana aliyoko katika umri wa 30’s Mzee huyu pia amekaidi ushauri wa Madaktari ya kupata mda mwingi wa Kupumzika na badala yake amechagua kuwa Active kwenye harakati.

Jaji Joseph Sinde Warioba alidondoka ghafla wakati anatoa nondo zake za kiharakati jambo lililoashiria afya yake si nzuri kwa sasa na amegoma kustaafu kabisa.
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
T
Jaji Joseph Sinde Warioba alidondoka ghafla wakati anatoa nondo zake za kiharakati jambo lililoashiria afya yake si nzuri kwa sasa na amegoma kustaafu kabisa.
Tofauti ya Mhe Warioba na Mh Wassira kiumri ni ipi ?
Yupi ambaye yupi yupo mbele kwenye harakati za kisiasa ?
 
Bora hata huyu kazeeka lakini kichwani bado yuko vizuri na anautumia uzee wake vizuri. Kuna wazee wa hovyo wapo wapo tu hata hawana faida kwa taifa.
 
View attachment 3665807
Kumbu kumbu za Wikipedia zinaonesha Jaji Joseph Sinde Warioba alizaliwa mwaka 1940, kwa sasa ana miaka 86, lakini amekua active kwenye siasa kama kijana aliyoko katika umri wa 30’s Mzee huyu pia amekaidi ushauri wa Madaktari ya kupata mda mwingi wa Kupumzika na badala yake amechagua kuwa Active kwenye harakati.

Jaji Joseph Sinde Warioba alidondoka ghafla wakati anatoa nondo zake za kiharakati jambo lililoashiria afya yake si nzuri kwa sasa na amegoma kustaafu kabisa.
Unamaana gani kusema kustaafu? Maana kama kustaafu Alisha staafu siku nyingi, anachokifanya ni haki yake ya kiraia katika kutoa mawazo yake. Unataka awe bubu kama viongozi wengine wastaafu anaoendelea kula kodi za wananchi wakati wananchi wanachinjwa kama kuku?
 
Jaji Joseph Sinde Warioba alidondoka ghafla wakati anatoa nondo zake za kiharakati jambo lililoashiria afya yake si nzuri kwa sasa na amegoma kustaafu kabisa.
Kikwete alidondoka hadharani mara mbili, 2005 na 2010 wakati wa kampeni za urais awamu yake ya kwanza na ya pili, ila hakustaafu na kuacha kugombea kwa sababu ya udhaifu wa kiafya
 
View attachment 3665807
Kumbu kumbu za Wikipedia zinaonesha Jaji Joseph Sinde Warioba alizaliwa mwaka 1940, kwa sasa ana miaka 86, lakini amekua active kwenye siasa kama kijana aliyoko katika umri wa 30’s Mzee huyu pia amekaidi ushauri wa Madaktari ya kupata mda mwingi wa Kupumzika na badala yake amechagua kuwa Active kwenye harakati.

Jaji Joseph Sinde Warioba alidondoka ghafla wakati anatoa nondo zake za kiharakati jambo lililoashiria afya yake si nzuri kwa sasa na amegoma kustaafu kabisa.
mbwa wewe naona hammupendi mzee huyu kwa sababu anawachana ukweli mafisadi nyie, angekuwa chawa msingeona kama mzee. Mbona hamuongelei sokwe lenu wasira?
 
View attachment 3665807
Kumbu kumbu za Wikipedia zinaonesha Jaji Joseph Sinde Warioba alizaliwa mwaka 1940, kwa sasa ana miaka 86, lakini amekua active kwenye siasa kama kijana aliyoko katika umri wa 30’s Mzee huyu pia amekaidi ushauri wa Madaktari ya kupata mda mwingi wa Kupumzika na badala yake amechagua kuwa Active kwenye harakati.

Jaji Joseph Sinde Warioba alidondoka ghafla wakati anatoa nondo zake za kiharakati jambo lililoashiria afya yake si nzuri kwa sasa na amegoma kustaafu kabisa.
Wewe unastaafu lini kuwa chawa wa Lumumba?
 
Bora hata huyu kazeeka lakini kichwani bado yuko vizuri na anautimia uzee wake vizuri. Kuna wazee wa hovyo wapo wapo tu hata hawana faida kwa taifa.
Nyani wasira
 
Back
Top Bottom