Time and space ni kama pande mbili za sarafu moja. Time ilianza kuwepo pale space ilipoanza kuwepo na itakoma pale space itakapokoma.Nimesoma Big bang ila sjapata majibu.
Haya maswali unayotoaga wapicunning
Ni nini kilisababisha big bang?Muda (time) kama tunavyouelewa ulianza pamoja na tukio la Big Bang, takribani miaka bilioni 13.8 iliyopita. Hivyo, kwa mtazamo huu, kuuliza "Kulikuwa na nini kabla ya muda kuanza?" kunaweza kusiwe na maana, kwa sababu KABLA yenyewe inategemea uwepo wa muda.
Bado haijajulikana, japo Sayansi ina nadharia kadhaa lakini hakuna iliyothibitishwa kuwa ndiyo sababu halisi ya Big Bang.Ni nini kilisababisha big bang?
kama kwa M-ngu hauna mwisho unamaanisha hakuna jehanam?Kwa wanadamu unamwisho, ila kwa MUNGU hauna mwisho.