Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 521
- 1,875
KITIMA, TEC NA KIKAO NA RAISI: UNAFIKI HADHARANI
Padre Kitima anadai TEC wamemtuma atueleze kilichojiri. Kwanza sijui nani alimwambia watu wa Imani isiyo yake wanataka awaeleze shughuli yao? Mbona hatuwasikii Anglican, BAKWATA, KKKT na wenzao wakitueleza mambo Yao kama Taifa?
Hii ni moja ya upotofu ndani ya TEC. Lazima wajue hatujawaomba watuwakilishe au kutusemea. Hatuna haja na huduma yao.
Lakini tutizame unafiki wao.
Kitima alijitokeza almost kila wiki kabla na baada ya uhalifu wa oktoba 29. Kitima alishiriki Moja Kwa Moja zoezi la kumuondoaha mlutheri Mbowe na kumpa kiti mkatoliki Lissu. Kitima aliaminisha waumini wake kuwa bandari wamepewa waislamu eti kwa kuwa raisi ni mwislamu toka Zanzibar. Kitima akitoka hadharani na kupinga uchaguzi kama kwamba TEC ni chama cha siasa.
Baada ya uhalifu alidai maridhiano hayatawezekana mpaka kwanza "wauaji" wawajibishwe". Kwake Kitima "wauaji" ni waliofyatua risasi tu. Akasahau aliyewahamasisha vijana wapore na kuchoma mali ndio wauaji halisi. Yaani hata yeye na TEC ni wauaji.
Baada ya kuona hoja zao zimepuuzwa na mbinu zao zimegonga mwamba wao wenyewe wakaomba kuonana na Mkuu wa nchi ambaye hapo swali Kitima hakuona Soni kudai eti "ameingia madarakani kwa damu za watu"!
Kitima sasa anadai TEC inamtambua mkuu wa nchi na eti raisi ameingia madarakani kwa mujibu wa katiba! Sasa anamsifia eti amewakubalia ombi la kukutana na amewapokea vizuri. Na eti mazungumzo yalikuwa ya mafanikio makubwa!
Sasa Kitima na TEC yake anataka kutuambia wanaodai raisi ni batili na serikali ni haramu wanakosea? Ufahamu kuwa yupo raisi tena halali umemjia Kitima na TEC lini?
Kitima na TEC ni watu wa kuwasikiliza lakini sio kuwaamini au kuzingatia kauli zao mpya. Hawa wamegundua kuwa kukaa nje ya majadiliano kutawaumiza zaidi. Wanataka washiriki. Tuwashirikiahe lakini kamwe tusikubali kuwa wanaweza kuwa wasuluhishi. Hawa tayari walijidhihirisha wako upande mmoja na CHADEMA. Kina Kitima wamejua Heche na chadema wanafanya kosa na maridhiano yataenda bila wao. Wanataka kuziba pengo la CHADEMA kwenye maridhiano. Hawana nia njema. Washiriki kama wawakilishi wa CHADEMA. Wasijifanye wanakuja kusimamia haki kama anavyodai Kitima.
Tunaomba serikali iweje wazi waraka waliokabidhi Ikulu ili site tujue wanataka nini. Waraka huu isiwe Siri. Kitima anadai unaizungumzia maslahi ya wote na mustakabali wa Taifa. Eti unatoa mwarobaini wa "mkwamo wa kisiasa" uliopo nchini. Tunataka tujue huo mwarubaini na huo mkwamo wanaouzungumzia. Je wanapendekeza kibaraka wao atolewe jela? Je wanataka bandari isibinafsishwe kwa DPW? Je wanataka uchaguzi urudiwe? Je wanataka Katiba mpya iliyoje? n.k.
Haiwezekani pawepo mambo ambayo wanayoyajua ni Kitima na TEC na serikali peke yao. La sivyo na wengine nao kama kina Mwaipopo, Askofu Shoo au Malasusa nao wakabidhi waraka kwa rais?
Nb:
Moderator acheni unafiki