Yesu Kristo atarudi lini ?

Yesu Kristo atarudi lini ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
63,241
Reaction score
106,678
Ni miaka 2000 sasa Yesu Kristo anasuburiwa kurudi kama alivyohaidi katika Mathayo 24.

Mbona hakuna dalili ya kurudi kwake kabisa kuja kuwachukua watu wake (kanisa) au kufa ?

Dunia haina muelekeo na mahesabu kabisa ya Yesu kurudi!
 
Mathayo 24:14
[14]Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.
 
Ni miaka 2000 sasa Yesu Kristo anasuburiwa kurudi kama alivyohaidi katika Mathayo 24.

Mbona hakuna dalili ya kurudi kwake kabisa kuja kuwachukua watu wake (kanisa) au kufa ?

Dunia haina muelekeo na mahesabu kabisa ya Yesu kurudi!

Yeye mwenyewe alikwambia hajui atarudi lini isipokuwa Baba...

Halafu wewe tena unatuuliza sisi...
 
Ni miaka 2000 sasa Yesu Kristo anasuburiwa kurudi kama alivyohaidi katika Mathayo 24.

Mbona hakuna dalili ya kurudi kwake kabisa kuja kuwachukua watu wake (kanisa) au kufa ?

Dunia haina muelekeo na mahesabu kabisa ya Yesu kurudi!
Tangu pale Eden ambapo Adam na Eva waliahidiwa kupelekewa Mkombozi ilichukua miaka mingapi?
Je, ilivyopita vizazi na vizazi vizazi hivyo viliwahi kujua huyo mkombozi watakayepelekewa atapelekwa lini hasa na ataenda kwa style gani?
Je, baada ya kuja na kusema atakuja tena, watu walikuwa na uelewa juu ya kauli ile? Kuja tena kwa namna gani?
Kama kuna watu wanasubiri ujio, nawashauri kwamba, kuliko kuusubiri huo ujio, ni bora wajikite kwenye tafuta za maandiko ili kuweza kupata uelewa mzuri juu ya kauli ile na ujio.
 
Ni miaka 2000 sasa Yesu Kristo anasuburiwa kurudi kama alivyohaidi katika Mathayo 24.

Mbona hakuna dalili ya kurudi kwake kabisa kuja kuwachukua watu wake (kanisa) au kufa ?

Dunia haina muelekeo na mahesabu kabisa ya Yesu kurudi!
Matayo 24:42-44 na Matayo 25:13.

Ujio wa pili wa Yesu Kristo wa Nazareth,
hautazingatia ratiba ya mwanadamu.
Na ndio maana msisitizo zaidi uko katika kujiandaa vema kiroho na kimwili, kwa kukesha na kuomba, kwasababu hakuna ajuae muda wala saa atakapokuja mwana wa adamu ila yupo karibu sana kurudi 🐒
 
Ni miaka 2000 sasa Yesu Kristo anasuburiwa kurudi kama alivyohaidi katika Mathayo 24.

Mbona hakuna dalili ya kurudi kwake kabisa kuja kuwachukua watu wake (kanisa) au kufa ?

Dunia haina muelekeo na mahesabu kabisa ya Yesu kurudi!
Very soon!
 
Siku mbili hizi unataka Yesu awe amerudi? Kuwa serious.

Haijapata kuandikwa ya kwamba miaka elfu ni kama siku kwake?
 
Back
Top Bottom