Wakuu ajira za polisi zinatoka lini?

Wakuu ajira za polisi zinatoka lini?

Nakuambia mkuu achana na mambo ya Rushwa wala usitoe rushwa kama ridhiki yako ipo ipo tu.. Sijawai toa rushwa mkuu na sitokuja toa rushwa
Mkuu mimi sina connection yoyote na nina wadau kibao wameenda CCP kwa kutoa 2m wengi tu sasa kama ipo ipo tu ila kama hela ipo utarahisisha zaidi kamanda
 
Back
Top Bottom