Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:-
"Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa nchi. Yule makonda ni serikali na nimmwakilishi wa wananchi lengo lake ni kuhakikisha anawahudumia wananchi wa Arusha. Suala la msikiti ni project ya serikali na Mbunge wa Arusha yeye atulie pale Masenze mambo mengine yaendelee".
🗣️Haji Manara
Swali linakuja je ni kweli serikali imeanzisha project kama hiyo hapa Tanzania ya kujenga misikiti? Je kama ni kweli hiyo project inasemaje kuhusu makanisa? Na kama project inahusu misikiti tu je ni lini Tanzania imesilimishwa rasmi na kuwa inchi inayofuata imani ya kiislam?
Naomba kuwasirisha!