ligi kuu bara

The Tanzania Mainland Premier League (Swahili: Ligi Kuu Tanzania Bara) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. The league was formed in 1965 as the "National League". Its name was later changed to the "First Division Soccer League", and to the "Premier League" in 1997.

View More On Wikipedia.org
  1. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Kanuni Mpya Ligi Kuu Timu ikisajili mchezaji wa Kigeni atalipiwa ada ya Milioni Nane TFF

    Mchezaji yeyote wa Kigeni anayesajiliwa katika Ligi Kuu atalipiwa ada maalum ya Sh. 8,000,000 (milioni nane) kwa msimu ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza. Kwa wacheaji 12 ni Sawa na 96M, ni pungufu kidogo na pesa anayopata mshindi wa Ligi ya NBC. CHAMBUA
  2. vibertz

    JamiiForums Tanzania Inawezekana tukawa tumenunua VAR kwaajili ya urembo

    Miezi kadhaa nyuma tulisikia taarifa za ujio wa VAR kwa Tanzania kwaajili ya kuboresha ligi yetu katika kusaidia utoaji wa maamuzi yenye utata uwanjani. Nimeshangazwa sana kwa kutokuona waamuzi watakaokuwepo kwenye chumba cha VAR siku ya tarehe 8 kati ya Simba dhidi ya Yanga. VAR ilipaswa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ujio wa VAR ligi yetu ya NBC inakwenda kushika nafasi za juu zaidi Afrika na Duniani

    Siku ya jana tulishuhudia. Siku maalum ya kuonesha vifaa vipya na vya kisasa vya kurushia matangazo ya mpira. Kutoka Azam tv sambamba na hilo tukathibitishiwa rasmi matumizi ya VAR kwenye ligi yetu kuanzia msimu ujao wa 2024/2025 hakika hili ni jambo ambalo kwa upande wangu litaenda kuikuza...
  4. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu Bara Young Africans sc watinga bungeni

    Mabingwa wa kihistoria wa Ligi kuu bara club ya Young Africans, wamepata mwaliko maalum kutoka kwa Waziri wa Utamaduni sanaa na michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Bungeni Jijini Dodoma tarehe 23, 2024 ambapo aliwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2024/25...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wekeni kumbukumbu sawa bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu bara

    Msije sema sikuwaambia bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu.
  6. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Azam inamtaka Ibenge

    Wakati Azam FC ikibakiza mechi tano kumaliza msimu wa Ligi Kuu Bara, tayari imeanza kimyakimya kutafuta kocha mpya atakayeiongoza msimu ujao ambao imepania kutwaa ubingwa huku kocha wa Al Hilal ya Sudan, Mkongomani Florent Ibenge akitajwa kutinga kikosini hapo ndani ya kipindi hiki cha mwisho wa...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara: Mtibwa Sugar 0-1 Yanga : Uwanja wa Manungu : 31/12/2013

    Huu ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Manungu Mkoani Morogoro, Mtibwa wakiwa wageni. Kikosi cha Mtibwa Sugar Kikosi cha Yanga kwa ajili ya mchezo huo Mchezo unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa Mchezo umeanza 3' Umeanza kwa kasi ndogo, Yanga...
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara: Yanga 1-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, 4/12/2022

    Full Time, Yanga inashinda 1-0. Fei Toto anaipatia Yanga goli GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 88' Yanga wanapanga mashambulizi kutafuta goli la ushindi 87' Shambulizi kali kwa Prisons lakini mpira unatoka juu ya lango 85' Shuti kali langoni kwa Yanga, kioa Diarra anafanya kazi nzuri inakuwa kona 80'...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania AZAM FC imeshinda mechi 7 mfululizo za Ligi Kuu Bara, unazungumziaje mwenendo wao?

    ✅ 1-0 v Simba ✅ 1-0 v Ihefu ✅ 2-1 v Dodoma Jiji ✅ 4-3 v Mtibwa Sugar ✅ 1-0 v Ruvu Shooting ✅ 1-0 v Namungo ✅ 3-2 v Coastal Unadhani chini ya Kocha Kali Ongala kwa mwendo huu Azam FC wana nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu wa 2022/23 au ushindi wao ni wa ‘mama nibebe’?
  10. Singo Batan

    JamiiForums Tanzania Matajiri watatu wanavyonogesha Ligi yetu ya NBC

    Ligi yetu ya NBC sasa inaonesha kuwa na ushindani mkubwa na malengo ya kufika mbali. Hii inachagizwa sana na jeuri na nguvu ya pesa kutoka kwa matajiri wetu wa Bongo. Battle ya fedha sasa inaonekana kwenye soka, hii sio tu inaleta raha na ushabiki kindaki ndaki katika soka, pia imezidi kufungua...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Yanga chezeni mpira mpate matokeo uwanjani, nyie ni timu bora msimu huu

    Nimeona marumbano mengi kuhusu usajili wa Tuisila Kisinda watu wakiituhumu yanga lakini watu wanajifanya siasa za mpira wa bongo kwamba zimeanza leo. Karia hajawai kuwa na jema juu ya yanga na kuna wahuni serikalini wanamkingia kifua na nilishaleta uzi hapa kumwambia awe makini na anayemkingia...
  12. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Coastal Union 0-2 Yanga | Ligi Kuu Bara | Sheikh Amri Abeid

    Ni weekend tena. NBC Premier League inaendelea ambapo Wagosi wa Kaya, Coastal Union watashuka dimbani kuwaalika Mabingwa watetezi wa taji, Yanga katika dimba la Sheikh Amri Abeid Kaluta jijini Arusha. Mara ya mwisho timu hizo zilikutana katika dimba hilo mwezi wa saba mwaka huu katika mchezo wa...
  13. Rais2045

    JamiiForums Tanzania Naomba ratiba kamili ya Ligi Kuu Bara

    Wakuu naomba ratiba kamili ya LIGI KUU BARA Natanguliza shukrani
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara: Kocha Afungiwa Miaka Mitano Kwa Kushawishi Wachezaji Kugomea Mchezo

    Mbwana Makata Kocha Mbwana Makata na Meneja David Naftali wa Mbeya Kwanza wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano kila mmoja kwa kosa la kushawishi/kuamuru wachezaji wasiingie uwanjani kuanza mchezo tukio lililosababisha mchezo wa timu yao dhidi ya Namungo FC kutofanyika. Kamati ya Saa 72 ya...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga / Uwanja wa Jamhuri / Dodoma / Ligi Kuu Bara

    Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, leo Jumapili Mei 15, 2022, Yanga watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Jamhuri kucheza dhidi ya Dodoma Jiji FC Mkoani Dodoma. Ikumbukwe kuwa Yanga haijapata bao hata moja katika mechi tatu zilizopita mfululizo katika Ligi Kuu Bara, presha kubwa ipo pia kwa mshambuliaji...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara haiwezi kuwa na udhamini wa benki 2 kwa wakati mmoja, huu ni uchambuzi wa NBC na DTB kama itapanda daraja

    Ligi Kuu ya Tanzania Bara mdhamini wake mkuu ni ni Benki ya NBC ambaye amechukua jina kabisa la ligi hiyo ikiitwa Ligi Kuu ya NBC. Upande wa pili kuna Championship au Ligi Daraja la Kwanza ambayo huwa inatoa timu zinazopanda daraja kwenda kucheza katika Ligi Kuu. Swali au hoja ambayo nilikuwa...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Clatous Chama na Pablo wa Simba wabeba tuzo za mwezi Ligi Kuu Bara

    PABLO FRANCO - Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Machi, 2022. CLATOUS CHAMA - Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Machi, 2022.
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Misimamo ya Ligi Kuu Bara, Championship, Ligi ya Zanzibar, Ligi ya Wanawake

    Hivi ndivyo misimamo ilivyo hadi kufikia leo Jumatano Machi 30, 2022 katika Ligi mbalimbali ambazo ni Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza 'Championiship', Ligi Kuu ya Zanzibar na Ligi Kuu ya Wanawake. Chanzo: Mwanaspoti
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dalili za ubingwa kwa Yanga katika Ligi Kuu Bara 2021/22 hizi hapa

    Mpaka leo Jumatano Machi 16, 2022 katika mzunguko wa 17 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC PL 2021/22), kikosi cha Yanga kimeongoza kwenye takwimu muhimu nne. ● Magoli ya kufunga – 29 ● Magoli ya kufungwa – 4 ● Assists – 21 ● Cleansheets – 13 Je, unadhani hizi ni dalili tosha za ubingwa kwa...
  20. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Tamko rasmi la Yanga kuhusu kutotendewa haki na waamuzi katika Ligi Kuu Bara

    Hii ni taarifa rasmi kwa umma kutoka Klabu ya Yanga juu ya malalamiko yao kwa waamuzi.
Back
Top Bottom